mwenge

Mwenge is a county of the Kyenjojo district in Uganda. It makes up the western half of the district. It contains twelve sub-counties and four town councils, namely:

Butunduzi
Katooke
Kyarusozi
Kyenjojo

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Je, thesis defence ya chuo inapaswa kuwa wazi ama siri?

    Katika ulimwengu wa taaluma, ulinzi wa tasnifu (thesis defense) ni tukio la heshima na ukomo wa safari ya mwanafunzi wa shahada ya Uzamili au Uzamivu, Master's pamoja na PhD. Ni hapa ndipo mwanafunzi huwasilisha matokeo ya utafiti wake mbele ya jopo la wasomi na kujibu maswali ya kina, ili...
  2. JamiiForums Tanzania Adui wetu mkubwa ni mwenge wa uhuru, kuna mavumba huwa yanafukizwa kutupumbaza watanzania

    Amin nawaambia mwenge wa uhuru ni silaha kubwa sana inayotuangamiza watanzania. Moto wa mwenge ukiwaka na mavumba huwa yanafukizwa mule na kununiwa maneno fulani kutupumbaza watanzania Kila kata utakapopota wakazi wa hiyo kata wanakuwakama tulivyo leo, mimi na wewe, hatujielewi kwa chochote...
  3. JamiiForums Tanzania Kwa hayo yanayoendelea kwenye mataa ya Mwenge nashauri baadhi ya maaskari wabadilishiwe vituo

    Ni jambo la kushangaza sana, katika njia ya Mwenge kuelekea Tegeta kuna askari wa traffic wanne ambao badala ya kuongoza magari na kurahisisha foleni, wamegeuza eneo hilo kuwa kituo cha kudai rushwa. Wanaacha majukumu yao ya msingi na kushughulika na dhambi, hali inayosababisha mateso makubwa...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Wananchi wa Tabora wakataa kupokea mwenge ulionakshiwa na picha ya Rais Samia

    Huko Tabora, mkuu wa mkoa acharuka kuwatishia wananchi kuhama kwenye mkoa huo kisa kukataa mwenge ulio na picha ya Rais Hii inaleta maana gani kwa Wananchi kuanza kukataa jambo la kitaifa, sababu tu linafungamanishwa na siasa za ccm? Ni kwamba, Rais hakubaliki sasa...! Ama wanataka kuona...
  5. JamiiForums Tanzania Waziri w Afya anaenda zindua kituo Cha Afya kilichokataliwa na Mwenge baada ya KUKOSA uhusinaonwa fedha iliyojenga na jengo lenyewe Haydom

    Waziri tunjua mnatafta kura ila sio hivyo HACHENI kuchezea fedha za UMMA tafadhali hicho kituo Mwenge ulikikataa wewe unakizindua baada ya takukuru na DSO kutoa ripoti ya ubadhilifu uliodanyika?
  6. JamiiForums Tanzania Mwenge wa Uhuru unahifadhiwa wapi baada ya kutembezwa?

    Habari za muda huu wanajamvi, Naomba msaada kwa anayejua wapi mwenge wa uhuru unapohifadhiwa baada ya mbio za mwenge. Mwanangu wa shule ya msingi alinipiga hili swali jana nikawa napepesa macho tu, shuleni kwao wapo katika topic inayohusiana na mambo ya uhuru wa Tanzania pamoja na mwenge wa...
  7. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Miradi 68 yaandaliwa kwa Mapokezi ya Mwenge Mkoa wa Mara

    Mwenge wa Uhuru unatarajia kuanza mbio zake mkoani Mara Agosti 15, 2025, ukitokea mkoani Simiyu, ambapo utazunguka katika halmashauri zote tisa za mkoa huo na kukagua, kuweka mawe ya msingi, kufungua na kuzindua miradi 68 ya maendeleo yenye thamani ya shilingi bilioni 26.54 Akizungumza na...
  8. M

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Wafanyabiashara Busega walalamikia kuchangishwa kwa shuruti mchango wa mwenge

    Wafanyabiashara katika Wilaya ya Busega, mkoani Simiyu, wamelalamikia kile walichokieleza kuwa ni michango ya lazima kwa ajili ya maandalizi ya Mwenge wa Uhuru, wakidai kuwa wanatozwa fedha kupitia maelekezo kutoka kwa Ofisi ya Mkuu wa Wilaya bila mashauriano wala ridhaa yao. Wakizungumza kwa...
  9. JamiiForums Tanzania GE2025 Kaliua: Mwenge wa Uhuru wazindua, na kuweka mawe ya msingi miradi tisa ya maendeleo yenye thamani ya zaidi ya Shilingi bilioni 2

    Mkuu wa Wilaya ya Kaliua, Dk. Garald Mongela, amewaongoza maelfu ya wananchi wa wilaya hiyo kushiriki uzinduzi wa miradi ya kimkakati iliyozinduliwa na Mwenge wa Uhuru. Katika mwaka huu Mwenge wa Uhuru umezindua, umeweka mawe ya msingina umetembelea miradi tisa ya maendeleo yenye thamani ya...
  10. JamiiForums Tanzania KERO Mitaro ya Mwenge & Mikocheni 'B' ni michafu sana, Majitaka yanatiririka kila mifereji

    Ukifika hapa Mwenge jirani na Equity Bank na Mikocheni 'B' usawa wa Clouds FM mitaro imejaa maji taka na taka. Hii ni aibu ikiwa tunazo mamlaka za kuhakikisha usafi. Wahusika DAWASA na Halmashauri Kinondoni tokeni maofisini mje mfiksi hizi kero, ni aibu kuwa na uchafu namna hii.
  11. JamiiForums Tanzania Iramba: Mwenge wa uhuru wazindua miradi ya tsh. Bilioni 7.8

    IRAMBA: MWENGE WA UHURU WAZINDUA MIRADI YA TSH. BILIONI 7.8 Mwenge wa Uhuru 2025 Umeendelea na Mbio zake Wilayani Iramba Mkoani Singida ambapo Miradi Saba yenye Thamani ya Shilingi Bilioni 7.8 imekaguliwa, Kuwekwa Mawe ya Msingi na Kuzinduliwa Waziri wa Fedha ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la...
  12. JamiiForums Tanzania Kwanini TANROADS wanajenga kituo cha mwendo kasi eneo la Flyover Mwenge?

    Nchi hii ni ya maajabu sana, ukipita pale mwenge junction, utakuta kuna kituo cha mqendokasi kila upande kinajengwa. Kwa utalaam wa ujenzi, unatakiwa kuondoa vitu kama stand au masoko karibu na junction. Imekuwaje tanroad wameamua kujenga vituo vya mqendo kadi mita chache kutoka junction...
  13. E

    JamiiForums Tanzania Mwenge wa Uhuru watajwa kuwa sababu kusitishwa operesheni C4C CHAUMMA

    Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) kimesema ratiba ya Mwenge wa Uhuru mkoani Tanga ndio ilikuwa sababu ya kuzitisha ziara yao ya Operesheni C4C iliyopangwa kufanyika katika mikoa yote nchini kwa siku 16. Itakumbukwa Mei 21, katika ukumbi wa Ubungo Plaza jijini Dar es Salaam, Katibu Mkuu wa...
  14. JamiiForums Tanzania Lori lagonga daladala Mwenge mataa, watu watano wanadaiwa kujeruhiwa

    Mapema leo mida ya Saa 12 asubuhi EATV imepokea taarifa ya kutokea kwa ajali ya gari kwenye makutano ya barabara ya Bagamoyo na Sam Nujoma, maeneo ya Mwenge Mataa ambapo Lori lililokuwa linatoka barabara ya Bagamoyo kuelekea Makumbusho linasemekana kuwa limegonga daladala inayofanya safari zake...
  15. JamiiForums Tanzania Miradi hiyo hiyo inakaguliwa na mwenge wa uhuru, hiyo hiyo kamati za Bunge, hiyo hiyo CCM, hiyo hiyo inakaguliwa na viongozi wa serikali

    Naomba kuuliza, mbona wakaguzi wa miradi ni wengi sana na bado miradi mingi ufanisi wake ni wa hovyo. Hizo pesa zinazotumika kwa ajili ya ziara za kukagua miradi si bora zikafanya kazi nyingine tu na miradi ikawa inakaguliwa na taasisi moja maalumu baada ya hapo inapeleka ripoti kwa wengine.
  16. M

    JamiiForums Tanzania Kukimbiza mwenge wa uhuru kitaifa

    Nimewahi kuona matangazo ya nafasi za wakimbiza mwende wa uhuru kwenye halmashauri na mikoa, lakini sijawahi kuona wakitangaza nafasi hizo kitaifa. Hawa watu huwa wanapatikanaje?
  17. JamiiForums Tanzania Uwajibikaji unaooneshwa wakati wa Mwenge unapopita uwe Utamaduni wa Viongozi wetu Kila Siku

    Kwa takribani miaka saba sasa nimekuwa nikifuatilia kwa karibu masuala ya Kijamii na Kisiasa nchini, nimejikuta nikijiuliza swali moja ambalo hadi leo halijapatiwa majibu ya kuridhisha. Nimewahi pia kuwauliza baadhi ya watu walioko karibu nami, lakini hata wao walionekana kuwa na mashaka au...
  18. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Picha: Hii ndiyo miradi inayotarajiwa kupitiwa na mwenge wa uhuru, Ruangwa 2025

    Mkuu wa Wilaya ya Ruangwa, Hassan Ngoma, amefanya ziara ya kukagua na kuhakiki miradi mbalimbali ya maendeleo itakayopitiwa na Mbio za Mwenge wa Uhuru mwaka 2025 pamoja na barabara zitakazotumika katika mbio hizo. Ziara hiyo imefanyika leo Mei 21, 2025, ambapo Ngoma ametembelea maeneo...
  19. JamiiForums Tanzania Mwenge wapita Mufindi, mradi wa REA wa bilioni 17 wazinduliwa

    📌Rais Samia aipongeza REA utekelezaji miradi ya umeme vijijini 📌Kiongozi wa Mwenge ahamasisha matumizi ya nishati safi na salama 📍Mufindi - Iringa Kiongozi wa mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa 2025, Ismail Ussi ameipongeza Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kwa utekelezaji wa mradi wa umeme...
  20. K

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mkuu wa wilaya Uyui analazimisha watumishi wote kuchangia pesa Tsh 20,000 kwa ajili ya mbio za mwenge

    Heri ya pasaka wanajamvi. Habari za usiku huu. Mkuu wa wilaya amezidi ubabe. Anawafanyia ubabae watumishi wa umma na anajidai hakuna wa kumgusa hata akifanya lolote. Kwani analazimisha watumishi wote kuchangia pesa sh 20,000 kwa ajili ya mbio za mwenge ambapo watakaochangia lazima waandikwe...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…