mwenge

Mwenge is a county of the Kyenjojo district in Uganda. It makes up the western half of the district. It contains twelve sub-counties and four town councils, namely:

Butunduzi
Katooke
Kyarusozi
Kyenjojo

View More On Wikipedia.org
  1. radhiya

    Plot For Sale at Mwenge TRA

    Plot For Sale at Mwenge. Location: TRA rd/Mazwile st, opposite Kenton High School. Size: 1154.5061 SQM (12.427 SQFT). Land use: Commercial/Residential. Price: TZS 2.4B, Negotiable. Document: Title Deed. For more information or to schedule a viewing, kindly contact us. A small viewing fee will...
  2. radhiya

    Plot For Sale at Mwenge

    Plot For Sale at Mwenge. Location: TRA rd/Mazwile st, opposite Kenton High School. Size: 1154.5061 SQM (12,427 SQFT). Land use: Commercial/Residential. Price: TZS 2.4B, Negotiable. Document: Title Deed. For more information or to schedule a viewing, kindly contact us. A small viewing fee will...
  3. radhiya

    Plot For Sale at Mwenge

    Plot For Sale at Mwenge. Location: TRA rd/Mazwile st, opposite Kenton High School. Size: 1154.5061 SQM (12.427 SQFT). Land use: Commercial/Residential. Price: TZS 2.4B, Negotiable. Document: Title Deed. For more information or to schedule a viewing, kindly contact us. A small viewing fee will...
  4. jamaikatz

    Miradi inayo zinduliwa na mwenge huwa haiendelei

    Natamani ifike nyakati mwenge baada ya kuizindua miradi mbalimbali, mwaka unaofuata upite tena kuangalia ile miradi kama bado ipo .
  5. shwjo

    KERO Kwanini Serikali haijengi Flyover makutano ya barabara Mwenge!

    Mataa ya Mwenge ni one of the busiest intersections hapa mjini. Hili ni miongoni mwa maeneo yanayofahamika sana kuwa chanzo cha foleni. Ni hasa kwa watu wanaoelekea maeneo ya Tangi Bovu, Tegeta, Bunju, Kunduchi n.k. Ni eneo ambalo miundombinu yake si ya kimajaribio, bali ni eneo la mkakati...
  6. Gibeath-Elohimu

    Uchafuzi wa hewa Mwenge

    Habari wanajamvi watu makini Kabisa.Natumai sote tuko poa. Naomba kuwasilisha kero hii Kwa NEMC sijui ni mimi pekeyangu ndo napua kali ama vipi. Kwa siku kadhaa na tuseme Kwa miezi hata mwaka hapa maeneo ya Mwenge kuanzia ITV,stendi mpya,njia yote mpaka huu upande wa petrol station ya ORYX...
  7. figganigga

    Huku Samia kule Mwenge, Barabara hazipitiki

    Leo Mbeya imesimama tokea asubuhi Kazi hazifanyiki. Mnasimamishwa masaa manne kupisha mwenge na haupiti. Mara upishane na Malori yanaenda kwa Samia kwenye mikutano yake. Mnasimamishwa masaa matatu. Mwenge sijui utaondoka lini Mikoani. Kipindi hiki Nashauri upelekwe Zanzibar ambapo hakuna...
  8. Tajiri Tanzanite

    Nasikia mwenge ndio mzimu unaowafanya watanzania tusiwe na ummoja wakati za hatari

    Hapo vip! Hapa nina imani kuna kwa ukweli fulani hivi!! Hivi ni umuhimu wa kufukuzana na moto nchi nzima. Kuna wazee walinieleza yakwamba hili ni tambiko la hatari mno. Ndio maana mtu mjinga au mpumbavu mpumbavu anaweza kufanya jambo lolote akaangaliwa kwa uwogo na hofu kubwa.
  9. Damaso

    Je, thesis defence ya chuo inapaswa kuwa wazi ama siri?

    Katika ulimwengu wa taaluma, ulinzi wa tasnifu (thesis defense) ni tukio la heshima na ukomo wa safari ya mwanafunzi wa shahada ya Uzamili au Uzamivu, Master's pamoja na PhD. Ni hapa ndipo mwanafunzi huwasilisha matokeo ya utafiti wake mbele ya jopo la wasomi na kujibu maswali ya kina, ili...
  10. mdukuzi

    Adui wetu mkubwa ni mwenge wa uhuru, kuna mavumba huwa yanafukizwa kutupumbaza watanzania

    Amin nawaambia mwenge wa uhuru ni silaha kubwa sana inayotuangamiza watanzania. Moto wa mwenge ukiwaka na mavumba huwa yanafukizwa mule na kununiwa maneno fulani kutupumbaza watanzania Kila kata utakapopota wakazi wa hiyo kata wanakuwakama tulivyo leo, mimi na wewe, hatujielewi kwa chochote...
  11. Pdidy

    Kwa hayo yanayoendelea kwenye mataa ya Mwenge nashauri baadhi ya maaskari wabadilishiwe vituo

    Ni jambo la kushangaza sana, katika njia ya Mwenge kuelekea Tegeta kuna askari wa traffic wanne ambao badala ya kuongoza magari na kurahisisha foleni, wamegeuza eneo hilo kuwa kituo cha kudai rushwa. Wanaacha majukumu yao ya msingi na kushughulika na dhambi, hali inayosababisha mateso makubwa...
  12. M

    Tetesi: Wananchi wa Tabora wakataa kupokea mwenge ulionakshiwa na picha ya Rais Samia

    Huko Tabora, mkuu wa mkoa acharuka kuwatishia wananchi kuhama kwenye mkoa huo kisa kukataa mwenge ulio na picha ya Rais Hii inaleta maana gani kwa Wananchi kuanza kukataa jambo la kitaifa, sababu tu linafungamanishwa na siasa za ccm? Ni kwamba, Rais hakubaliki sasa...! Ama wanataka kuona...
  13. Sifi Leo

    Waziri w Afya anaenda zindua kituo Cha Afya kilichokataliwa na Mwenge baada ya KUKOSA uhusinaonwa fedha iliyojenga na jengo lenyewe Haydom

    Waziri tunjua mnatafta kura ila sio hivyo HACHENI kuchezea fedha za UMMA tafadhali hicho kituo Mwenge ulikikataa wewe unakizindua baada ya takukuru na DSO kutoa ripoti ya ubadhilifu uliodanyika?
  14. agudev

    Mwenge wa Uhuru unahifadhiwa wapi baada ya kutembezwa?

    Habari za muda huu wanajamvi, Naomba msaada kwa anayejua wapi mwenge wa uhuru unapohifadhiwa baada ya mbio za mwenge. Mwanangu wa shule ya msingi alinipiga hili swali jana nikawa napepesa macho tu, shuleni kwao wapo katika topic inayohusiana na mambo ya uhuru wa Tanzania pamoja na mwenge wa...
  15. R

    GE2025 Miradi 68 yaandaliwa kwa Mapokezi ya Mwenge Mkoa wa Mara

    Mwenge wa Uhuru unatarajia kuanza mbio zake mkoani Mara Agosti 15, 2025, ukitokea mkoani Simiyu, ambapo utazunguka katika halmashauri zote tisa za mkoa huo na kukagua, kuweka mawe ya msingi, kufungua na kuzindua miradi 68 ya maendeleo yenye thamani ya shilingi bilioni 26.54 Akizungumza na...
  16. M

    DOKEZO Wafanyabiashara Busega walalamikia kuchangishwa kwa shuruti mchango wa mwenge

    Wafanyabiashara katika Wilaya ya Busega, mkoani Simiyu, wamelalamikia kile walichokieleza kuwa ni michango ya lazima kwa ajili ya maandalizi ya Mwenge wa Uhuru, wakidai kuwa wanatozwa fedha kupitia maelekezo kutoka kwa Ofisi ya Mkuu wa Wilaya bila mashauriano wala ridhaa yao. Wakizungumza kwa...
  17. Nipe Maji

    GE2025 Kaliua: Mwenge wa Uhuru wazindua, na kuweka mawe ya msingi miradi tisa ya maendeleo yenye thamani ya zaidi ya Shilingi bilioni 2

    Mkuu wa Wilaya ya Kaliua, Dk. Garald Mongela, amewaongoza maelfu ya wananchi wa wilaya hiyo kushiriki uzinduzi wa miradi ya kimkakati iliyozinduliwa na Mwenge wa Uhuru. Katika mwaka huu Mwenge wa Uhuru umezindua, umeweka mawe ya msingina umetembelea miradi tisa ya maendeleo yenye thamani ya...
  18. N'yadikwa

    KERO Mitaro ya Mwenge & Mikocheni 'B' ni michafu sana, Majitaka yanatiririka kila mifereji

    Ukifika hapa Mwenge jirani na Equity Bank na Mikocheni 'B' usawa wa Clouds FM mitaro imejaa maji taka na taka. Hii ni aibu ikiwa tunazo mamlaka za kuhakikisha usafi. Wahusika DAWASA na Halmashauri Kinondoni tokeni maofisini mje mfiksi hizi kero, ni aibu kuwa na uchafu namna hii.
  19. Stephano Mgendanyi

    Iramba: Mwenge wa uhuru wazindua miradi ya tsh. Bilioni 7.8

    IRAMBA: MWENGE WA UHURU WAZINDUA MIRADI YA TSH. BILIONI 7.8 Mwenge wa Uhuru 2025 Umeendelea na Mbio zake Wilayani Iramba Mkoani Singida ambapo Miradi Saba yenye Thamani ya Shilingi Bilioni 7.8 imekaguliwa, Kuwekwa Mawe ya Msingi na Kuzinduliwa Waziri wa Fedha ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la...
  20. Tabutupu

    Kwanini TANROADS wanajenga kituo cha mwendo kasi eneo la Flyover Mwenge?

    Nchi hii ni ya maajabu sana, ukipita pale mwenge junction, utakuta kuna kituo cha mqendokasi kila upande kinajengwa. Kwa utalaam wa ujenzi, unatakiwa kuondoa vitu kama stand au masoko karibu na junction. Imekuwaje tanroad wameamua kujenga vituo vya mqendo kadi mita chache kutoka junction...
Back
Top Bottom