Leo hii mimi au wewe tukaamua kumtukana Rais aliyeko madarakani, Mzee kikwete, na viongozi wengine ndani ya mda mfupi sana kila mtu atanijua au atakujua sababu ndo mambo baadhi ya watu wanapenda kusikia masikioni mwao na hizo ndo siasa mwendokasi ila mwisho wa siku utakua ume-achieve nini jibu...