mwendokasi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Tunaomba taarifa rasmi kama Wananchi wa Kunduchi tunatakiwa kupisha mradi wa Mwendokasi

    Dear Serikali, kuna tetesi kuwa wananchi wako wa Kunduchi Mbuyuni wanatakiwa kuondoka kupisha mradi wa Serikali wa mwendokasi. Tatizo wananchi hatujawekwa wazi kuhusu huo mradi. Taarifa zinakuja kienyeji. Mfano mimi jana ndo mjumbe ananipigia simu kunieleza kwamba watu wa kuthaminisha maeneo...
  2. Serikali yatangaza tenda ya ujenzi wa mwendokasi kutoka Maktaba ya Taifa Posta- Mwenge- Ubungo-Tegeta

    Nimeona katika gazeti Serikali inatafuta kampuni ya ujenzi wa barabara ya mwendokasi pamoja na vituo vyake. Kutoka maktaba ya taifa to Mwenge/Ubungo 13.5 km utakuwa na vituo visivyopungua 20 Kutoka Mwenge to Tegeta Dawasa 15.63 km itakua na vituo visivyopungua 19. Ujenzi wa phase 4 katika...
  3. Barabara za Mwendokasi zinadharaulika na wenye mamlaka wenyewe

    Matukio ya magari yasiyohusika kupita kwenye barabara ya mwendo wa haraka, yameibua hisia za kudharau utendaji wa mradi wa mabasi yaendayo haraka (BRT) na Sheria ya Usalama Barabarani. Uvunjifu wa sheria na taratibu zilizowekwa umeonekana kufanywa zaidi na magari ya vyombo vya usalama, magari...
  4. DART: Magari pekee yanayoruhusiwa kutumia njia za Mwendokasi

  5. Video: Polisi watoa tamko baada ya kuzuiwa kupita kwenye barabara ya mwendokasi

    Kwa hiyo hata jengo la MWENDOKASI Likiwa linaungua hakuna kupitisha zimamoto humo wawahi kuzima? Hawa ni walinda usalama wetu wanalinda mabenki, wanalinda wakuu wetu wa nchi, wanalinda hata ambavyo sisi kwa uelewa wetu hatuwezi ona! chukulia mfano kukawa na tukio hata la ujambazi ndani ya...
  6. Ajali: Mabasi mawili ya Mwendokasi yamegongana leo Septemba 13, 2022

    Kuna taarifa kuwa kumetokea ajali ya mabasi mawili ya Mwendo Kasi maeneo ya Mbezi kwa Yusuph, Dar es Salaam, leo Septemba 13, 2022. Kuna mwenye taarifa kamili kuhusu tukio hili?
  7. Kigwangalla kushangaa UDART kushindwa kuendesha mwendokasi ni unafiki wa kiwango cha juu

    Udart kushindwa kuendesha mwendokasi sio suala la kushangaa ni unafki sana kushangaa kama wameshindwa. Kingwangala kama walivyo watanzania wengi anasumbuliwa na unafiki pale wanaposhangaa kuona udart wameshindwa mwendokasi. Yani unajenga barabara unamuita Mchina aje kuweka mabus abebe faida...
  8. J

    Naarifiwa wiki hii wanaopita kwenye barabara za Mwendokasi Kimenuka wanakamatwa na maafisa wa UDART, hawaangalii Jeshi, Polisi wala nani

    Kipindi cha mwendazake watu walikua na adabu hasa kufuata sheria bila shuruti ila kwa sasa Mama wanamchukulia poa, pale Jangwani barabara za Kasi wako MP kabisa inamaa Polisi nao wamweshindwa kazi. Tanzania ni nchi ambayo kufuata sheria hasa kwa viongozi ni kitendawili wakati Ulaya ndio takwa...
  9. Waziri Bashungwa, mikoani hatuhitaji mabasi ya mwendokasi

    Matatizo yetu huku mikoani sio mabasi ya mwendokasi. Maliza kwanza changamoto za hayo mabasi japo Dar. Mengi ni mabovu, machache na hata spika hazifanyi kazi kuwaambia abiria kituo kinachofuata. Nenda Kimara ongea na wananchi wakupe changamoto za hayo mabasi kisha uzifanyie kazi. Huku mikoani...
  10. Kwa jinsi mwendokasi unavyojengwa na flyover tutashuhudia mengi

    Ukiangalia tu kwa karibu jinsi ambavyo mwendokasi unajengwa na madaraja ya flover yajayo ikiwamo la kurasini na Vetah pale. Utagundua aidha mkandarasi amepewa standards za chini tofauti na aliyejenga phase ya kwanza ya Kimara Mwisho hadi posta pamoja na Morroco. Barabara zimeunganishwa na...
  11. Nauza mbegu za pilipili (mwendokasi)

    Nina mbegu za pilipili mwendokasi rangi ya njano OPV, siyo Hybrid. Zimechambuliwa vizuri na zinazaa vizuri sana Kilo moja ni shilingi elfu thelatini na nane 38,000/= Natuma popote kwa uaminifu mkubwa Piga/sms/whatsapp 0752042670 Karibu sana
  12. Kero ya kusota vituo vya mwendokasi muda mrefu

    Wakuu Salaam. Sijui kama watu wengine wanakerwa na huu utaratibu. Kumekuwa na utaratibu abiria wanakaa sana vituo vya mwendokasi haswa Gerezani, Msimbazi B na Msimbazi A huku mabasi yamepaki Gerezani kule madereva wanapiga hadithi. Ni nini maana ya kuita Rapid Transfer ikiwa abiria anakaa...
  13. Madalali wa pilipili mwendokasi

    Naomba kama kuna mtu anawafahamu madalali wa pilipili za mwendokasi kwa dar anijuze ili nifanye nao biashara kwa zao la pilipili mwendokasi aka Habanero
  14. Madereva wa kampuni ya mabasi ya Sauli wamshambulia abiria aliyeripoti kuhusu mwendokasi

    Dereva wa basi la Kampuni ya Saul T 485 DXE wamemshambulia abiria kisa kureport gari ikiwa na speed 115-120. Kutokana na story ya muhusika anasimulia kuwa alikua na App ya kusoma speed ya gari na kutuma kwenye group la wasafiri mojawapo. Baada ya muhusika kurecord tukio hilo kwenye group...
  15. Mradi wa barabara ya mwendokasi Kilwa Road

    Wakuu! Jana nimetembelea kujionea maendeleo ya ujenzi wa kipande hiki cha barabara kutokea mbagala hadi kariakoo! Hakika inapendeza sana. Asilimia kubwa imekamilika hivyo soon mradi huu utakuwa unaanza kazi! Lakini tofauti niliyoiona ni kuwa ile awamu ya kwanza ambayo ilijengwa Na strabag...
  16. Kigamboni: Hivi Kwanini Mwendokasi Wanazikataa N-CARD?

    Hizi kadi za kielektroniki zililetwa kwa mbwembwe nyingi na ilielezwa zitatumika maeneo mengi ya kufanya malipo ikiwa pamoja na mwendokasi. Lakini cha ajabu leo hii kadi hizi zinatumika kwenye mpira wa ligi kuu na kule kwenye vivuko/pantoni za kuvukia kigamboni tu basi. na ukifika maeneo haya...
  17. Msaada wa rangi kwenye tunda la pilipili mwendokasi

    Naomba msaada mimea yangu ya pilipili mwendokasi, matunda ambayo hayajaiva yanaonyesha hali ya rangi kama ubluu hivi (nimeambatanisha picha ) hilo ni kawaida au ni ukosefu wa nini. Natakiwa nifanyeje kwa hali hiyo. Mimi ndio nimeanzisha hiki kilimo. Niko Dodoma.
  18. DART kuleta mabasi mapya 95 ya mwendokasi

    Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART) umesema mwaka huu utaongeza mabasi mengine mapya 95 ikiwa ni sehemu ya hatua za kupunguza msongamano wa abiria kwenye vituo vya mabasi hayo. Mtendaji Mkuu wa Wakala huo, Dk. Edwin Mhede alibainisha hayo jana wakati akifungua mafunzo kuhusu mipango ya...
  19. Kamati ya Bunge yabaini Mwendokasi wanajiendesha kwa hasara

    Kauli ya kamati ya bunge imeniacha hoi na mshangao sana kwamba eti kampuni ya mwendokasi inajiendesha kwa hasara. Hili nalipinga kwa nguvu zote, kwa jinsi wanavyojaza abiria na wateja wake ni wengi hakuna muda unakuta mwendokasi haijajaa sasa hizo kauli za kwamba wanajiendesha kwa hasara...
  20. Hivi unakubaliana na kauli kwamba Mwendokasi wanajiendesha kwa hasara?

    Kauli ya kamati ya bunge imeniacha hoi na mshangao sana kwamba eti kampuni ya mwendokasi inajiendesha kwa hasara Hili nalipinga kwa nguvu zote, kwa jinsi wanavyojaza abiria na wateja wake ni wengi hakuna muda unakuta mwendokasi haijajaa sasa hizo kauli za kwamba wanajiendesha kwa hasara...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…