mwembamba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. N

    Kuna mstari mwembamba sana kati ya Serikali na Chama tawala, hiyo inachangia changamoto nyingi za Kidemokrasia Tanzania

    Katika mifumo ya kidemokrasia Duniani, moja ya nguzo kuu za uchaguzi huru na wa haki ni kutenganishwa kwa Serikali kama taasisi ya umma na vyama vya siasa kama washindani wa uchaguzi. Hata hivyo, katika baadhi ya nchi zinazoendesha mfumo wa vyama vingi baada ya historia ndefu ya chama kimoja...
  2. Bueno

    Nyoka Mwenye Kichwa Kidogo sana umbo kubwa eneo la katikati na Mkia Mwembamba

    Wakuu, kwamba naomba msinichoke hapa kuna kitu kinaniumiza kichwa sana sielewi. Hapa majuzi katika pitapita zangu za hapa na pale humu nyumbani ndani nimepishana na nyoka ana kichwa kidogo sana ila katikati ni mnene balaa na ana mkia mdogo. Kwanza najua wapo wadau watasema leta picha, sikia...
  3. ELI COHEN

    Penzi la binti alie mwembamba lipo genuine na original kuliko penzi la tipwa tipwa

    Kosa tipwa tipwa ajue unababaika kuhusu yeye Au ajue maisha yako ni ya kuunga kuunga Au ajue wewe ni mnyonge utapelekeshwa balaa mnoo kama gari taka. Naona kila siku mabinti wembamba ndio wanaolewa na unene wanaenda kuupatia ndoaani na hata wakiwa wanaoelewa wakiwa wanene hauwezi kuta wana...
  4. R

    Kuna mstari mwembamba sana unaomtofautisha kahaba, mchawi na jambazi

    Hellow! Kwa mwonekano wa nje, hawa watatu kuna wakati huwa wanapingana lakini ni kitu kimoja. 1. KAHABA. IIli awapate waume kirahisi, atahitaji uchawi, awaroge wote wamuangaliapo Ili wafungwe fikra na kumtamani Kisha awatie kifungoni na kusahau ndoa zao au kuwasahaulisha vijana kuoa. Huu nao...
  5. Stability

    Kila mdada mwenye makalio makubwa ana huyo rafiki yake mwembamba mwenye mdomo sana

    Ukimuita tu huyo mdada utakasikia kanasema "aziza ebu twende tunacheleewa"
  6. Brain Kingdom

    Mtazamo: Mwanamke Kibonge na Mwanamke mwembamba Ladha na Kukidhi Kiu

    Habarini nyote ndugu zanguni Niseme machache kuhusu hizi aina mbili za Wanawake. A. Kibonge Anatakiwa awe msafi sana, awe na sauti ya mahaba, afanye vizuri mbuzi kagoma kwa kadri ya ufundi wa juu sana. Anapokuja kwenye shoo asiwe na haraka. B. Mwembamba Huyu anatakiwa asipende pesa kuliko...
  7. Unasemeje

    Picha: Ualimu ni Wito

  8. M

    Tofauti ya kugongewa mwanamume mwembamba maskini na mwanamume mnene tajiri

    Kuna uzi flani uliletwa humu jamvin kuhusu wanaume wanene matajiri hawapeleki moto ndo maana wanachapiwa sana. Mmoja wa members Basi Nenda alipinga vikali na kujigamba eti yeye ni mnene lakini anawagongea sana wanaume wembamba . Sasa tofauti ni hii. Sisi wanaume wembamba maskini tunawagongea...
  9. Mwande na Mndewa

    Mwembamba akutana na Zakayo mtoza ushuru

    MWEMBAMBA AKUTANA NA ZAKAYO MTOZA USHURU., Ndugu yangu mwembamba nikupe siri kali, ukiwa mkubwa usifanye kama ngosha kuwasumbua sumbua "wanene" wanaokuweka mjini. Ukiwasumbua "wanene" kuwadai kodi ni sawa na kumkumbatia papa nyangumi ndani ya maji halafu utake kumuua,atakuua wewe. Ukiwa mkubwa...
  10. HUKU ABROAD

    Uzi kwa Mdada Mzuri Mwembamba

    Nimeanza maisha , sina mwenza wa kuishi nae , uwezo wa kugharamia ninao , ila tu nataka mwanamke ambae anaweza kupika na kufua nguo vizuri ... nikifanikiwa kumpata nitamsaidia kwa hali na mali .. ikiwezekana ntamfundisha na kazi ili asikae kizembe .. Kama kuna mdada yupo single .. basi uzi hu...
  11. Mejasoko

    Ninatafuta mpenzi (girl friend) awe Iringa mjini

    Natafuta mpenzi I mean a girlfriend- awe Iringa mjini au karibu na maeneo ya Iringa, umri uwe kati ya miaka 22-27, asiwe na mtoto Wala kuwahi kuzaa, awe na mwili wa kawaida sio mnene, Wala sio mwembamba sana, rangi yoyote tu Haina shida, elimu yake kuanzia kidato Cha nne na kuendelea, awe...
  12. Chizi Maarifa

    Hii ni Experience yangu niliyoipata kwa Mwanamke Mwembamba

    Huyu mwanamke ndo wa kwanza kabisa mimi ku sex naye akiwa ni mwembamba. Binafis nimekuwa nikipenda wasichana wanene, wenye hips, huo ndo ugonjwa wangu sana, yaani nikiona wa hivyo nachanganyikiwa kabisa. Basi nikasema anyway ngoja nijaribu na upande wa pili hasa kwa kuwa huyu dada alikuwa...
  13. FAJES

    Ukweli ulio mchungu: Kuna mstari mwembamba sana unaotenganisha kati ya utajiri wa mali na neno 'ubinafsi'

    Wanabodi heshima kwenu. Naomba nijielekeze moja kwa moja kwenye mada. Kwanza kabisa niwashukuru sana wadau wote waliochangia kwenye uzi wangu huu uliopita, ukipenda unaweza kusoma hapa. Baada ya kusoma comments zote za wadau kwenye uzi huu na kufanya tafakuri ya kina, nimebaini na kujifunza...
  14. Maleven

    Nilipokutana naye alikuwa mwembamba, sasa ananenepa

    Napenda sana slim girls (English figure), nilipokutana nae alikuwa mwembamba sasa ananenepa, sipendi mwanamke mwenye mahipsi hipsi na mwili sana, I like models but inaonekana ana asili ya mwili. Nashindwa kuelewa, leaving someone for this reason seems to be ridiculous
  15. Ferruccio Lamborghini

    Kuna mstari mwembamba unaomtofautisha Askofu Gwajima na Kibweteere

    KABLA Joseph Kibweteere, kushawishi mamia ya wafuasi wa kanisa lake kuamini dunia ilikuwa mwishoni, kisha kusababisha vifo vya watu 778, Uganda, dunia ilishakuwa na madhehebu ya Heaven's Gate (Geti la Mbinguni). Heaven’s Gate ni kanisa lililoasisiwa mwaka 1972 na watu wawili, wa kwanza ni...
  16. Kibosho1

    Ukiwa mnene unakula sana; ukiwa mwembamba una roho mbaya. Dunia inataka nini?

    Hii dunia haina shukrani kabisa, sababu kunenepa utaambiwa unakula sana, ukikonda utaambiwa una roho mbaya ndio maana hunenepi. Mnataka mtu awe na mwili wa aina gani? Au naombeni picha za ukubwa wa mwili elekezi kwa dunia ili watu waige hapo.
  17. frenderPH

    Tabia za mwanaume mwembamba

    TABIA ZA MWANAUME MWEMBAMBA: 1. Anapenda wanawake vibonge (zawadi ya kudumu) 2. Ana uwezo wa kubuni nakutatua matatzo ya mpnzi wake,pia ni mtu mwenye hisia kal kwenye mapenzi 3. Ana nguvu kubwa katika biashara tena hupata mafanikio makubwa kutokana na juhud zake 4. Ni mwenye mawazo mengi...
Back
Top Bottom