mwema

Mwema(Tarime) is a ward in Tarime District, Mara Region of northern Tanzania, East Africa. According to 2012 Census, the population of the ward was 10,204.

View More On Wikipedia.org
  1. B

    Said Mwema ni IGP pekee aliyejikita ku-transform jeshi kutoka Ulimwengu wa Tatu kulipeleka Ulimwengu wa Kwanza, (community policing is global agenda)

    Mzee Said Mwema live long, you did what IGP suppose to do. Ulifanya Kwa uelewe na maarifa makubwa. Ulifanya jamii kuwa sehemu ya ulinzi wa nchi, ulitenganisha kazi ya Polisi na kazi ya siasa. Ulitambua wapi Kuna siasa na uingieje katikati ya wanasiasa nakuwadhibiti wasikulazimishe kutenda...
  2. Nahitaji nyumba ya kupanga Kigamboni Mji Mwema au jirani

    Habari ya asbuhi wakuu. Ninahitaji nyumba ya kupanga maeneo ya Kigamboni kuanzia Mji mwema kuja uelekeo wa Maweni, hadi kwa Mwingira. Ninahitaji iwe na vigezo vifuatavyo: 1. Vyumba viwili vya kulala ambapo kimoja kati ya hivyo kiwe self contained. 2. Kuwe na sebule 3. Public toilet ndani 4...
  3. Serikali: Daraja la Tanzanite kuanza kutumika Feb 1, magari kupita bure

    Serikali kupitia kwa Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Prof. Mbarawa leo Jan. 30 imetangaza kukamilika kwa 100% kwa daraja la Tanzanite lililojengwa juu ya bahari kutoka Aga khan hadi Oysterbay Jijini Dar Es Salaam na sasa magari yataanza kupita bure kuanzia Feb. Mosi mwaka huu.
  4. I

    Pale ambapo mzazi mwema anapata watoto watukutu na watoto wema wanapata mzazi mbaya

    Kama umejaaliwa kuwa kwenye familia ambayo tabia zako na za mzazi wako zinaendana, yaani mambo mengi yakiwa yanaenda sawia baina yenu basi mshukuru mungu umebahatika sana. Nimeshuhudia sana mifano mingi ambapo mtoto safi amekua akitaabika kutokana na mapungufu makubwa aliyonayo mzazi wake. Kwa...
  5. Raia Mwema: Makonda Kibarua kizito, wengine wajitokeza kumshitaki

    Gazeti la Raia Mwema limeripoti kuwa watu wengine wamejitokeza kumshitaki aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda. Mfanyabiashara mmoja amenukuliwa na gazeti hilo akisema "Makonda ametufanyia mambo mengi kinyume na sheria za nchi. Kuna wakati baadhi yetu, tulijaribu kumshitaki...
  6. Ujirani Mwema: Rais Samia akosoa uamuzi uliowahi kufanywa kuchoma vifaranga vya Kenya

    Katika kongamano la biashara lililofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam ambalo limehusisha viongozi wawili wakubwa ambao ni Rais wa Uganda Yoweri Museveni na Rais wa Tanzania Samia Hassan Suluhu. Rais wa Tanzania Samia Suluhu amesema kwamba hakukuwa na haja ya kuchoma vifaranga waliokamatwa...
  7. Nawatakia mkesha mwema ndugu, jamaa na marafiki katika kuadhimisha Mawlid ya Mtume Mohammad SAW

    Kwa ndugu zetu waislam nawatakia kila la heri katika kusherekea kuzaliwa kwa kiongozi mkuu wa kiroho Mtume Mohammad SAW Mungu ibariki Tanzania
  8. Nahitaji kazi katika kampuni za ujenzi wowote

    Mungu ni Mwema kila wakati. Wakuu tusaidiane mimi ni kijana ambaye nahitaji kazi katika kampuni za ujenzi wowote. Naomba mwenye msaada aniunganishe. Kiufupi nipo na Huwezo mkubwa wa kufanya kazi za nguvu katika site za ujenzi ....Mfano ujenzi wa barabara,Majumba n.k Nb hata maswala ya...
  9. T

    RC Homera anawatakia mtihani mwema wanafunzi wote wa darasa la 7-Mbeya

    "Niwatakie kila la kheri Wanafunzi wote wa darasa la saba mkoani Mbeya katika mitihani yao ya kuhitimu elimu ya msingi." Mhe Juma Zuberi Homera, Mkuu wa Mkoa wa Mbeya.
  10. Gazeti la Raia Mwema lafungiwa kwa siku 30

    Msemaji wa Serikalini Gerson Msigwa, amelifungia Gazeti la Raia Mwema kwa siku 30 Pia soma: Utetezi wa Gazeti la Raia Mwema kabla ya kufungiwa
  11. M

    Mpenzi kukuomba pesa ya sherehe ukiwa mgonjwa. Huyu ni mwema kweli?

    Upo hoi kitandani alafu mwenza wako anakubana umpatie pesa ya mchango wa Sendoff au harusi. Kwa picha kama hii unapata kumuelewa vipi? Anafaa kuitwa mwenza mwema?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…