mwekezaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kaya 67 za Msakangoto (Tanga) tumebomolewa makazi yetu, tunalala nje, tunaambiwa Mwekezaji atupe laki 2 tuondoke!

    Wananchi Wakazi wa Kitongoji cha Bago (Maisha Plus), Kijiji cha Msakangoto, Kata ya Kigombe, Wilaya ya Muheza Mkoani Tanga tunapitia changamoto ambayo inatuumiza kiasi kwamba tunaona giza katika kesho yetu kwani tunaona kuna dhuluma, uonevu na kutelekezwa tunakopitia wananchi wa Kaya 67...
  2. B

    JamiiForums Tanzania WANANCHI WACHOMA SHAMBA LA MKULIMA MWEKEZAJI MANYARA - MGOGORO WA ARDHI WAHUSISHWA

    Aug 15, 2026 Manyara WANANCHI WACHOMA SHAMBA LA MKULIMA MWEKEZAJI MANYARA - MGOGORO WA ARDHI WAHUSISHWA https://m.youtube.com/watch?v=kXulqFbp-ak Naye mkulima mwekezaji Bi. Jeta aelezea sakata zima la tukio hili la shamba, zana za kilimo na kiwanda cha sukari guru kuchomwa moto. Wananchi wa...
  3. O

    JamiiForums Tanzania Serikali yachukua hatua kumaliza mgogoro wa Mwekezaji na mwananchi kwenye fukwe Luchelele Mwanza

    Serikali yachukua hatua kumaliza mgogoro wa Mwekezaji na mwananchi kwenye fukwe Mwanza Serikali imeanza kuchukua hatua za kumaliza mgogoro wa Ardhi uliodumu kwa takribani miaka minne tangu 2022 kati ya mwekezaji, Amirali Manji na Mohamed Bakiri dhidi ya Moses Zakaria Joram ambae ni Mmiliki wa...
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO Rais tuma timu ichunguze Hifadhi ya Wanyamapori Uyumbu (Tabora), Mwekezaji 'amewaweka mfukoni’ watendaji, Wananchi hawanufaiki

    Ndani sintofahamu na mivutano ya kiutendaji imekuwa mingi katika Hifadhi ya Wanyamapori Uyumbu ambayo inasimamiwa na Jumuiya ya Uhifadhi wa Wanyamapori ya Uyumbu (WMA) Wilayani Urambo, Tabora. Kwa ufupi kuna matumizi mabaya ya madaraka na uingiliaji wa majukumu ya taasisi hiyo unaofanywa na...
  5. JamiiForums Tanzania Ni ngumu sana kupata mwekezaji wa USD Billion 17 wa kujenga kiwanda cha kuongeza thamani ya rasilimali za Afrika

    Ni ngumu sana kupata mwekezaji atakajenga kiwanda cha kuongeza thamani ya madini na rasilima zinazochimbwa afrika Kama nchi kuna sehemu tumekosea unamkataaje mwekezaji wa usd billion 17 sababu tokea tupate uhuru hakuna mwekezaji ambaye amewekeza kwenye kiwango hiki cha fedha Na anachojenga...
  6. N

    JamiiForums Tanzania Nina leseni ya uchimbaji wa madini natafuta mwekezaji ambaye hana tupige kazi

    Wakuu anayehitaji leseni ya uchimbaji madini aje tupige kazi atakuwa ananipa 30% ya kitakachopatikana
  7. E

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwekezaji mwenza wa Chuo cha Kati

    Ndugu zangu nawasalimu Kwa Jina la JMT. Mimi ni mtumishi wa Umma. Pia ni mpambanaji sana wa Biashara hasa kwenye uwekezaji, Kwa sababu Sina muda wa kusimamia Biashara. Naomba kuwasilisha UZI huu:- Ninatafuta Mwekezaji wa Kufanya nae Biashara ya kuendesha Chuo cha Kati. Nina Kampuni ambayo...
  8. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mwekezaji mwenye leseni ya utafiti anatuzuia Wananchi kuchimba madini Kijiji cha Patamela, Wilaya ya Songwe

    Sisi wakazi wa Kijiji cha Patamela, Kata ya Saza, Wilaya ya Songwe, Mkoa wa Songwe tuna changamoto kuhusu mwekezaji ayetambulika kwa jina la Mathayo, ni kuhusu kumiliki eneo kubwa la uchimbaji ambapo sisi Wananchi tumekosa eneo la kuchimba madini. Sisi ni wachimbaji wadogo hatuna leseni ya...
  9. A

    JamiiForums Tanzania KERO Milipuko ya mwekezaji kupasua mawe Mtaa wa Makutano – Sumbawanga unatukwaza Wakazi wa hapo

    Mimi ni mwananchi nipo mkoa wa Rukwa, Sumbawanga Municipal, Kata ya Sumbawanga, Mtaa wa Makutano. Tunapitia kero mtaani kwetu ya mwekezaji kulipua mabomu kila wakati wa kupasua mawe angali tayari kiwanda chake kimezungukwa na makazi ya watu. Nyumba zetu zinapata shida za nyufa na madali...
  10. JamiiForums Tanzania Kwa ukiritimba alio nao Dangote bora atafutwe mwekezaji mwingine

    Mwanzoni nilidhani Dangote ni mtu safi ila baada ya kufuatilia nimegundua ni mtu mbinafsi anayependa apate peke yake. Hataki ushindani. Huko kwao Nigeria analaumiwa kushika biashara nzima ya mafuta peke yake kwa kisingizio cha uzalendo. Pia kuna malalamiko kutoka nchi kadhaa za Afrika kuhusu...
  11. JamiiForums Tanzania Tanzania yaingia soko la Dunia la Helium baada ya kusaini mkataba na mwekezaji Helium One Global. Serikali itamiliki hisa asilimia 17 tu

    Ndio kama mlivyosoma kwamba hisa za Serikali ni asilimia 17% tuu. https://www.instagram.com/p/DX1ya8oCn_S/?igsh=MWlja2xja2QxMHd2aw== My Take Kama hatuna pesa za kuingia kwenye ubia hakuna haja ya kusainiana.Pia soma (1) Mradi wa Kuchimba Gesi Adimu ya Helium kwenye Bonde la Ziwa Rukwa Kuanza...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Mwekezaji mzungu amlalamikia mpangaji kumdhulumu eneo lake karatu

    Mgogoro mkubwa umeibuka katika jengo la biashara la Manyara Safari Lodge – Heritage Camp Lodge lililopo wilayani Karatu, mkoani Arusha, baada ya mwekezaji wa kigeni na mmiliki mwenza wa eneo hilo, Timothy Flavell, kudai kuwa anajaribiwa kutapeliwa na mpangaji wake, Erick Mashauri. Flavell, raia...
  13. JamiiForums Tanzania Mwekezaji anahitajika haraka hapa

    Nyumba inahitajika mwekezaji Location KARIAKOO Mtaa wa Kipata na Kongo. sqm 260 Hati Safi. Anatakiwa muekezaji wa kuingia ubia ajenge anachotaka. 📱0754693556
  14. JamiiForums Tanzania Natafuta Mwekezaji wa Milioni 10+ Kwenye Crypto Trading. Mtaji Unakaa Kwenye Akaunti Yako (Self-Custody). Lengo: Hadi Tsh 500,000 kwa Siku

    Natafuta mwekezaji kwa ajili ya ushirikiano wa kibiashara kwenye masoko ya kifedha (Crypto) kupitia mfumo wa "Quantitative Trading". Kikwazo kikubwa cha uwekezaji mtandaoni ni usalama wa mtaji. Kuondoa hili, katika ubia huu, hutakabidhi mtaji wako kwangu. Usalama wako ni 100% kwa sababu mtaji...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Hofu yatanda kwa wafanyabiashara wa Coco Beach, wadai kupewa mwezi mmoja kuondoka kumpisha mwekezaji

    Hofu yatanda kwa wafanyabiashara wa Coco Beach: Wadai kupewa mwezi mmoja kuondoka kumpisha mwekezaji. Wakizungumza na The Chanzo leo, wajasiriamali na wafanyabiashara wadogo kwenye fukwe za Coco wamesema baadhi ya viongozi na watendaji wa Halmashauri ya Kinondoni waliwaita na kuwapa taarifa ya...
  16. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Hai: Mwekezaji kijiji cha Mbosho, Kata ya Masama Kati amepanda uzio wa miba uliosogea barabarani na kupelekea njia kuwa nyembamba

    TATIZO LA BARABARA (KWARE - MBOSHO - LEMIRA - MASAMA MULA) Barabara hii ni mbovu kupitiliza na imekuwa kero kubwa. Mbaya zaidi, mwekezaji wa hapa Mbosho amepanda uzio wa miiba uliotanuka hadi barabarani. Barabara imekuwa nyembamba kiasi kwamba hata magari mawili au bajaji hayawezi kupishana...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Mwekezaji abaomoa nyumba ya Mzee wa miaka 90, familia yalala nje

    Familia ya Mzee wa Mila afahamikae kwa jina la Chacha Wasinyo Changu (90), Mkazi wa Kitongoji cha Mirimisi, kijiji cha Mrito, Wilaya ya Tarime, inalazimika kulala nje kwa siku ya 5 mfululizo baada ya makazi yao kubomolewa. Tukio hilo linadaiwa kufanywa na Samweli Ngocho, Mkazi wa Kijiji cha...
  18. JamiiForums Tanzania Mgogoro wa mwekezaji Geita: Waziri Shemdoe aingilia kati

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu TAMISEMI, Riziki Shemdoe amemuagiza Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Geita kuhakikisha ndani ya siku 14 anawasilisha taarifa ya kina kuhusu mgogoro unaomhusisha mwekezaji anayedaiwa kubomoa maeneo ya serikali na kuanzisha miradi bila utaratibu...
  19. JamiiForums Tanzania Usimdharau mwekezaji

    Hii picha inatupa funzo usidharau maamuzi ya mtu wala usimlaumu badala yake wewe bariki tu maamuzi yeyote anayetaka kuchukua mtu 🤣 Yule jamaa yetu wa hisa za milion 60 nadhani saivi anaitafuta 300M
  20. K

    JamiiForums Tanzania Mwekezaji na Mbunge wamliza bibi ni kuhusu ghorofa lililopo Kariakoo, aomba Serikali Kuu imsaidie apate haki yake

    BIBI kikongwe Khadija Isihaka (84), amemwangukia Rais Samia Suluhu Hassan,akimsihi aingilie kati mgogoro wake na mwekezaji Munir Harbesh, anayelalamikiwa kuvunja mkataba wao wa kumiliki jengo la ghorofa kwa ubia. Bibi Khadija anasema wakati akihangaika kusaka haki yake kwenye uwekezaji huo wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…