mwanza

  1. JamiiForums Tanzania Elimu ya Ukatili yawafikia wavuvi wa Mkuyuni, waonaofanya vitendo hivyo waonywa

    Dawati la Jinsia na watoto Wilaya ya Nyamagana Mkoa wa Mwanza katika kuhakikisha linafikisha elimu juu ya vitendo vya ukatili vinavyofanyika katika Jamii imetoa elimu kwa wafanyabiashara na wavuvi wa mwalo wa Mswahili Mkuyuni huku likiwaonya wanaofanya vitendo hivyo kuwa watachukuliwa hatua za...
  2. P

    JamiiForums Tanzania KERO Madalali wa Magari Mwanza wanaegesha magari yao Vituo vya daladala na kusababisha foleni

    Madalali wa magari jijini mwanza wanapaki magari ya biashara kwenye vituo vya dalala na kusababisha foleni barabarani. Daladala inabidi zipaki nje ya kituo kushusha au kupandisha abiria na kusababisha foleni kubwa za magari. Vituo hivyo ni Nera barabara ya Airport na Kona ya Bwiru barabara...
  3. JamiiForums Tanzania Ofisi za Katarama Luxury Mwanza ziko maeneo gani?

    Habari wakuu. Naomba kwa anayefahamu zilipo ofisi za Katarama luxury mkoa wa mwanza anielekeze. Au ofisi zao zipo mule mule Nyegezi stand? Natanguliza shukrani.
  4. T

    JamiiForums Tanzania Kati ya Ilala dar es salaam na nyamagana mwanza . Wilaya ipi imeendelea?

    Habari wadau . Nataka kufaham kati ya wilaya ilala (Jiji) dar es salaam na wilaya ya nyamagana (Jiji) mwanza. Ip imeendelea kimajengo, miundombinu, mapato na huduma za kijamii
  5. JamiiForums Tanzania Nani mwenye muendelezo wa hii habari ya wananchi Mwanza kuzuia watu waliovaa kiraia kukamilisha ukamataji?

    Jana kulisambaa video ikisemekana ni maeneo ya mwz. Wananchi wakilisonga na kuzuia gari kutoondoka na watu waliokamatwa hadi hapo ocs wa pamba aje.
  6. JamiiForums Tanzania Wananchi Mwanza wadaiwa kuzuia watu waliovalia kiraia kuondoka na watuhumiwa, waita Mkuu wa Kituo Pamba kuja kuwatambua

    Wakuu, tukio hili inasemekana limetokea Mwanza ambapo watu waliojitambulisha kama polisi waenda kukamata watu eneo hilo, raia wakazuia gari hilo mpaka mkuu wa kituo pamba aende kuwatambua kuwa kweli ni polisi. Mwenye taarifa juu ya kilichojiri atujuze.
  7. I

    JamiiForums Tanzania Mjadala: Mwanza Vs Dar Es Salaam. Nani ni mfalme wa majiji Tanzania?

    Mwanza vs Dar es Salaam: Nani Mfalme wa Majiji Tanzania? Hadithi Mbili za Maendeleo,Tofauti, Ushindani, Mustakabali, Utalii, Uchumi, Miundombinu bora
  8. JamiiForums Tanzania Ni wapi nitapata duka la dawa za asili Kisuna Mwanza mjini?

    Kuna dawa nazitafuta kwa dharula zinahitajika kwa mgonjwa. Naomba anaefahamu duka la dawa za asili hapa Mwanza linapatikana maeneo gani... utakuwa umetoa msaada mkubwa sana.
  9. JamiiForums Tanzania Support ya media kwa wasanii wa hip hop jijini Mwanza

    MOVEMENT YA HIP HOP KUPITIA MEDIA ZA MWANZA. Mwanza kupitia Radio Free Africa na Kiss FM walifanya mapinduzi makubwa sana kwenye kuiendeleza Hip hop na hii waliifanya makusudi ili kutoa ile dhana kwamba ukiwa Dar ndio utatoka kimuziki. Kwenye harakati hizi za kuhakikisha Hip hop inafika mbali...
  10. JamiiForums Tanzania Mwanza yaja na Kliniki ya Ardhi kata kwa kata kuwafikia watu kwenye maeneo yao

    Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi inaendelea kutoa huduma kwenye sekta ya Ardhi kwa Watanzania katika maeneo mbalimbali nchini kuhakikisha kila kipande cha ardhi kinapangwa, kinapimwa na kumilikishwa. Akikabidhi Hati Miliki za ardhi kwa wananchi wa Kata ya Pansiansi Mkoani Mwanza...
  11. JamiiForums Tanzania Walimu wanne wakamatwa wakituhumiwa kufanya utapeli kwa safaru ya kimtandao Mwanza

    Jeshi la Polisi nchini, linawashikilia walimu 4 na mfanyabiashara mmoja, kwa tuhuma za kuwatapeli wananchi kwa kuwadanganya kuwekeza katika sarafu za kimtandao (cryptocurrency) na matokeo yake kutoweka na fedha zao walizowekeza. Hayo yamesemwa na Msemaji wa Jeshi la Polisi, Naibu Kamishna wa...
  12. JamiiForums Tanzania Utamaduni viongozi kuwajibika umeishia wapi? Mbona Mwinyi mauaji Mwanza aliwajibika? Tusiruhusu madoa haya ya damu kuichafua nchi yetu -Wajibikeni!

    Wanabodi, Hii ni makala yangu kwenye gazeti la Mwananchi la leo. https://www.mwananchi.co.tz/mw/kolamu/taamuli-huru-viongozi-wetu-wawajibike-kwa-makosa-yao-4757170 Paskali
  13. R

    JamiiForums Tanzania Nauza kiwanja Mwanza, Shibula, 20x41, miloni 2 laki 3

    Kiwanja kimefanyiwa survey mnunuzi utaenda kuandikisha hati kwa jina lako. Whatsapp 0656388678
  14. P

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha dagaa wa Mwanza

    Nahitaji kulima dagaa Mwanza, hasa maeneo ya Kabuku mkoani Tanga. Kwa yeyote anayeuza eneo au shamba KABUKU -TANGA TUWASILIANE 0713383604
  15. JamiiForums Tanzania KERO Responded Kivuko eneo la Busisi na Kigongo ferry hakifanyi kazi 24hrs

    Habari za asubuhi ndugu zangu,hii ipoje kivuko kipindi cha mwenda zake kilikuwa ni 24 hrs kwa sasa imekuwa tofauti toka 7 usiku tupo jam Busisi eti hadi kuche ile kauli kuwa kazi iendelee ina puuzwa au ipoje wakuu? Watu wanawahi katika uzalishaji sasa wanakalishwa hapa je ingekuwa kivuko...
  16. JamiiForums Tanzania Plot4Sale Ninauza viwanja Maeneo ya Mwanza

    Habari wana JF Ninauza viwanja vilivyoko maeneo tofauti tofauti hapa Mwanza.Viwanja hivi ni yale yaliyokuwa mashamba,lakini baada ya mji kuendelea kukua sasa yalikatwa na yanaendelea kukatwa kwa ajili ya viwanja vya makazi.Maeneo haya siyo mali yangu binafsi,isipokuwa nimeaminiwa na kupewa...
  17. JamiiForums Tanzania Ofisi za NHIF Mwanza ziko sehemu gani?

    Wakuu nataka nikakate Bima ya kulipia sijaajiriwa na mfanyabiashara!! Naombeni msaada wa maelekezo ili nifike hapo
  18. JamiiForums Tanzania KERO Barabara ya Igombe – Kahama (Mwanza) inatupa mateso makubwa Wananchi, Serikali ije kuokoa jahazi

    Ni Mwendo wa takribani kilomita 16 nilipoianza safari mimi na abiria wenzangu kutoka mjini Mwanza kwenda Igombe, Kata ya Bugogwa, iliyopo Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela, mkoani Mwanza. Tunasafiri kwa dakika kadhaa na kufika stendi ya Igombe, nashuka na kusogea katika maegesho ya pikipiki...
  19. N

    JamiiForums Tanzania KERO Mamlaka Jiji la Mwanza mulikeni wavuta sigara wanakera

    Juzi nilijaaliwa kuingia jijini Mwanza sasa leo nikaona nitoke nilifahamu japo kidogo jiji hili! Hakika kwa ujenzi wa SGR nimeshuhudia unaendelea lakini pia nimependa kuona ujenzi wa soko kuu japo nimeona paa lake tu but hope litakuwa soko zuri! Sasa kilichonikera ni hii tabia ya wavuta sigara...
  20. JamiiForums Tanzania Njia ya gharama nafuu na uhakika ya kusafirisha mizigo kutoka Dar kuja Mwanza

    Wakuu Nafanya biashara ya kuchukua mzigo Dar. Changamoto ni gharama za usafiri unajikuta faida inaishia kwenye nauli. Nielekezeni njia rahisi ya kusafirisha mizigo kutoka Dar kuja Mwanza kwa bei rahisi ila uhakika. Achana na magari vishoka, wale wa kuunganisha unganisha wezi sana.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…