mwanza

  1. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Mwanza ni zaidi ya Lindi na Mtwara

    Nimeingia Rock City juzi. Aisee I must admit that Mwanza ni zaidi ya Lindi na Mtwara kwenye sekta ya warembo na upatikanaji wao.. Warembo wa mwanza : 1. Wasafi wazuri wapo classic . 2. Sio malaya wakujiuza yani unaweza kupata mademu hata wanne mtaani ndani ya siku moja ( ni sound zako tu...
  2. B

    JamiiForums Tanzania TRC SGR wasirudie makosa ya ujenzi waliyofanya Dar kwa mikoa ya Mwanza, Shinyanga, Tabora nk

    Kuweka uzio ni jambo jema lengo ni kulinda uhai. Lakini kuweka uzio hakukuzingatia athari za kiuchumi kwa wakaazi wa maeneo husika baada ya kuwatenganisha pande mbili ili waweze kuwasiliana ni lazima wafate kivuko ambavyo navyo sio rafiki. Mfano ili uvuke upande wa pili ni lazima ufate kivuko...
  3. Kitchener

    JamiiForums Tanzania Serikali ifikirie kujenga trams DSM, Ddoma, Mwanza, Arusha, n.k

    Hivi kinachoishinda serikali kujenga miundombinu ya trams ni nini? nchi za wenzetu hii kitu imeanza miaka hata kabla hatujapata uhuru.
  4. BUSH BIN LADEN

    JamiiForums Tanzania TANESCO Mwanza mnalala sana mtatusababishia maafa siku si nyingi

    Haya mashirika ya umma sijui kwanini Watumishi wake hawako active kabisa kushughulikia kero zinazowakumba Wananchi. Ni miaka kadhaa sasa TANESCO mkoa wa Mwanza wameshindwa kuondoa nguzo za umeme katika barabara ya Mtaa wa Michungwani Kata ya Kilimahewa Wilayani Ilemela hali iliyopelekea...
  5. Gordon Technology

    JamiiForums Tanzania Fundi wa GPS tracking kwenye pikipiki, bajaji na magari Mwanza na mikoani

    TUNAFUNGA kifaa cha GPS TRACKING Kwny pikipiki,bajaji na magari-0746373222. Kifaa hiki husaidia pindi ukiibiwa uweze KUJUA kipo wapi pia uweze kukizima bila mwizi Kujua. Pia husaidia kuona mizunguko ya chombo chako Kila sehemu kinapoenda lakini hata ukimpa bodaboda hawezi kudanganya Tena kua...
  6. Gordon Technology

    JamiiForums Tanzania MAFUNDI WA CCTV CAMERA-MWANZA NA MIKOANI-0746373222.

    Tunafunga CCTV camera Kwny Nyumba,maduka,biashara,ofisi,kiwanda,HOTELINI NK... Pia TUNAFUNGA ktk nyumba za mifugo kwa ajili ya kufatilia Hali Yao na hata ukiwa umesafiri mbali utaona vyote kupitia SIMU YAKO ya mkononi. Karibu GORDON TECHNOLOGY TUPO MWANZA. Call/Whatsapp 0746373222. Instagram...
  7. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Binti anayedaiwa kulawitiwa na aliyekuwa RC wa Simiyu: Kesi iende Mahakamani, RC alikuwa mpenzi wangu, walimpa mama Tsh. Milioni 3 ili wazime kesi

    https://www.youtube.com/live/ie3dUDq4evE Binti aliyesadikika kulawitiwa na aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu anafunguka yote amtaja RC Mwanza. Tumsime Mathias Mwanafunzi wa mwaka wa kwanza cha SAUT Mwanza anayedaiwa kulawitiwa na aliyekuwa mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Yahaya Newanda anafunguka...
  8. wilsonwizzy

    JamiiForums Tanzania Kwa wale wenyeji wa Mwanza hivi kuna sehemu wanawafikia hawa jamaa kwa huduma za kwenye magari

    Hawa jamaa wanapatikana Igoma,bango,(SUPER BLUE SKY) Wanatoa huduma zote iwe kuweka mafuta, service kwenye gari yako, parking ya gari yako,kuosha gari yako,wana kila kitu mpaka mizani ya kupimia uzito wa mizigo kwenye magari ya mizigo na ni kwa njia za kisasa kabisa na ni b ei rahisi halafu...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Halmashauri ya Manispaa ya Kahama ina mzunguko mkubwa wa pesa ila ina miundombinu mibovu sana

    Mitaa ya Majego, Nyasubi, Nyamhongolo, Nyihogo, Phantom, Nyakato, Mbulu, Marunga, Zongomela, Dodoma viwandani. Hiyo ni baadhi ya mitaa ya mjini ila hakuna sehemu hata Moja yenye Barabara ya lami. Barabara zote ni za vumbi sijui madiwa na Mh. Mkurugenzi hamlioni hilo.
  10. Planet Data bundles

    JamiiForums Tanzania Napata wap Sealer / vifungio vya karanga kwa mwanza??

    Wakuu natafuta ivi vibanio vya kufungia karanga
  11. C

    JamiiForums Tanzania Chuo kipi Bora Cha diploma ya meno kati ya mgao na city college mwanza campus

    Jamani naomba ushauri kati ya hivyoi vyuo kipi ni Bora na pia Nina mpango wa kwenda degree na nilisikia kuwa kama unataka kuendelea na degree ni Bora uende chuo Cha private je ni kweli?
  12. K

    JamiiForums Tanzania Karibu Mama Samia katika Jiji la Mwanza

    Mh.Rais atakuwepo jijini mwanza katika tamasha la kukuza mila za ziwa Viktoria ( BULABO) tamasha ilo litafanyika kisesa mwanza. Nyote mnakaribishwa....
  13. D

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara wagoma majiji ya Arusha na Mwanza

    Wenye akili tulitegemea baada ya Kariakoo nyumbu watafuata mkumbo. Kawaida hakuna mfanyabiashara anapenda kulipa kodi kwa hiyari ni sheria tu inambana. Baada ya serikali kuimarisha mifumo ili kuwabana wameamua kugoma. Mm huwa hainiigii akilini mtu kugomea shughuli zake, anamgimea nani, na je...
  14. Dola Iddy Wa Chelsea

    JamiiForums Tanzania Msaada wapi nitapata kioo cha rising tv inch 43 MWANZA?

    Habari wakuu nahitaji KUjua ni wapi naweza kupata kioo cha tv maeneo ya Mwanza!?
  15. X-Agent

    JamiiForums Tanzania Mgomo wa Wafanya Biashara Mwanza

    Kuna Mgomo wa Wafanya Biashara unaendelea Mwanza sasa hivi, Mliopo Mwanza toeni update nini kinaendelea. Video nimeweka hapa Chini. ************************************************************************************************************ Update Kutoka Mwananchi Digital Siku moja baada ya...
  16. M

    JamiiForums Tanzania SoC04 Ukaushiaji dagaa bado kitendawili Mwanza

    Wakazi wa Mwanza ukaushaji dagaa bado ni kitendawili kwao kutokana na mwalo wa kuanikia dagaa kujaa maji. Wakizungumza na NyakiTv wakazi wa Kijiwenu Chifunfu Sengerema Mwanza wameeleza changamoto wanazopitia kwenye ukaushaji dagaa Domina Benedicto Mwenyekiti wa kikundi cha Faraja ambacho...
  17. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mwanza: Mwandishi wa Habari, Dinna Maningo na wenzake waachiwa kwa dhamana kutoka Polisi

    Mwandishi wa Habari, Dinna Maningo pamoja na wenzake Waandishi wa Habari wawili wameachiwa huru baada ya kushikiliwa kwa zaidi ya wiki moja. Taarifa zaidi zinafuata... ~ Hii kamatakamata ya Waandishi wa Habari na ukimya wa Polisi, ni hatari kwa Uhuru wa Vyombo vya Habari ~ THRDC: Mwandishi...
  18. Faana

    JamiiForums Tanzania Mwanza: Mlioko Huko Yasemekana Kuna Ajali Hapo Mjini Imesababisha Foleni Kubwa Sana

    Habari na picha
  19. K

    JamiiForums Tanzania Taarifa kwa Meneja wa TARURA wa mkoa wa Mwanza

    Sisi wananchi wa Jiji la Mwanza tunaishukuru ofisi yako kuendelea kutujengea barabara za lami kwenye Mitaa yetu hasa Mtaa wa Mwananchi. Barabara ya lami inayoendelea kujengwa hapa Mtaa wa Mwananchi kwanza unatekelezwa na Kampuni ya Jasco na unaendelea kwa mwendo wa kinyonga sana. Tatizo...
  20. Singasinga

    JamiiForums Tanzania Msaada wakuu, binti anaomba kazi yuko Mwanza

    Habari wakuu Naomba kwa mwenye mchongo wa kazi kwa binti. Anaishi na bibi yake na bahati mbaya kapunguzwa kazin kwenye kampuni ya usafi na yeye ndio tegemeo kwa bibi yake. Yuko Mwanza Igoma ana miaka 23 elimu yake kidato cha nne. Namba yangu ni 0764 339 400 kwa ataeguswa kumsaidia. Asanteni...
Back
Top Bottom