Demokrasia kungojea uchumi ni kosa la karne kutamkwa na kinywa cha mheshimiwa Mama. Ni mshituko mkubwa kwa wapenda demokrasia mchini na Duniani kote.
Kwa muonekano wa sura iliyojawa na busara Tele ya mama yetu kipenzi, hakuna aliyetarajia kusikia alololitamka juu ya Katiba na mikutano ya...