mwanaume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ukiona mwanamke wako ana kuheshimu na kukutii kwa viwango vya juu basi tambua kuwa ameshindwa "kuku-manipulate". Haijalishi pesa au status yako

    Endapo mwanamke atajua ume fall crazily kwa muonekano, status, personallity yake, etc atahakikisha akuweke under control yake, kumaanisha kuwa hatakuheshimu kwa kuwa jembe tena kwa maana umeanguka mtihani wa yeye kucheza na akili yako. Tatizo ni kuwa wanaume tunakuwa naive sana katika maamuzi...
  2. Loyalty ya mwanamke inajaribiwa pale mwanaume anapokuwa hana kitu. Loyalty ya mwanaume inajaribiwa pale mwanaume anapokuwa na kila kitu.

    Ukata umewakimbiza wadada wengi, unafuu ndio umewaleta karibu. Wengi wao wamekuwa evolved kutokujali kama yuko deeply connected na wewe as long as una uwezo. Vijana wengi wa kiume waliokuwa na ukata waliwashikilia kwa dhati wenzi wao na wakawafabya faraja yao kipindi walikuwa hawana chochote...
  3. Ni hatari sana kwa Mwanaume kushinda nyumbani

    Mwanaume kushinda nyumbani umelala au kuangalia TV ni hatari kuliko maelezo. Uwe umeoa au hujaoa, haitakiwi kabisa ukae nyumbani mchana umeangaliana na mkeo, dada zako, shemeji yako, wazazi wako au kucheza na watoto. 1. Kwanza kabsa kama umeoa, ni rahisi kugombana na mkeo, hii jinsia ikikuona...
  4. Mwanaume jenga tabia ya kutokusamehe makosa ya mwanamke utakuja kunishukuru Sana

    Mwanamke anapokuja kwenye mahusiano na wewe huwa anakuja akiwa hana tabia. Tabia atazikuta kwako. Wewe ndo utakae mfanya awe anakuomba hela ya nauli kila ukimuita magetoni na wewe ndio utakae mfanya awe anakuja kwa nauli yake mwenyewe. Wewe ndo utakae mfanya akuone mkoloni. Na wewe ndo utakae...
  5. D

    Dada zetu, please usi-date na mwanaume anayevaa kofia kama hii. Kila mwanasiasa maarufu "alisomaga naye Galanosi"

    Dada yangu ukikutana na mwanaume amevaa kofia kama hii, kaa naye mbali. Watu wanaovaa kofia hizi, kila mwanasiasa maarufu alisoma naye shule moja Tosamaganga au Galanosi, ukimkopesa pesa ndio imeisha hiyo, kama ni baba yako ujue una ndugu zako nje lakini hauwajui, wanapenda sana wanawake...
  6. Mambo Ambayo Hutofundishwa Shuleni: Ukweli Kila Kijana wa Kiume Anapaswa Kujua ni kwamba hakuna anayekuja kukuokoa!

    Maisha si hadithi ya kufurahisha. Si tamthilia ya kihisia unayoweza kufurahia kwa mbali huku ukiamini kuwa mambo mazuri yatakujia bila jitihada. Kila kijana wa kiume anapaswa kukabiliana na ukweli huu wa maisha—kwa maana usipoukabili, utabaki kuwa dhaifu, usiyejiweza, na mnyonge kwa njia...
  7. Je, nini kifanyike kuboresha urafiki wa msichana na mvulana/ mwanamke na mwanaume?

    Binafsi nimewahi kuwa na marafiki wa kiume kadhaa katika ukuaji wangu, lakini waliishia kunitaka kimapenzi kisha urafiki ukafa hapo. Je, kuna haja ya kuwa na urafiki wa hizi jinsia mbili? na nini kifanyike kuulinda huu urafiki uendelee kuwa urafiki na siyo maswala ya mahusiano ya kimapenzi?
  8. Sababu Za Mwanaume Kuwahi Kumwaga

    Kuwahi Kumwaga: Kuwahi kumwaga (kuwahi kufika kileleni) kwa mwanaume ni hali ambayo hutokea pale mwanaume anapopata mshindo (anapofika kileleni) mapema zaidi kuliko yeye au mwenza wake wanavyotarajia, mara nyingi ndani ya dakika chache baada ya kuanza tendo la ndoa. Tatizo hili hujulikana kwa...
  9. Mwanaume mpakistani anataka mke

    1.Ana umri miaka 36 2.mwislamu 3.Yupo Dar ni injinia 4.Anataka mwanamke mtanzania kwa ajili ya kuishi nae kwa ndoa 5.Awe na umri 25-35 6.Ajue kiingereza Huyo bwana nimekutana nae hapa mza alikuja kikazi na nikakutanishwa nae na rafiki yangu ambae anajua kuwa passion yangu ni kusaidia watu kuoana
  10. Kwa binti mwenye umri mkubwa acha hizi tabia unapompata mwanaume mwenye nia ya kukuoa

    Naongea na mabinti wa miaka 35 au zaidi. Huu umri kama upo single ni mkubwa kwa mwanadada hivyo kuna mambo lazima ukubaliane nayo kuwa hayapo upande wako kwa sasa. Ukishupaza shingo shauri yako. Endapo umepata mwanaume aliye tayari kukuoa mwenye umri kukuzidi lazima ukubali kuwa hakutakuwa na...
  11. Hili tukio limenifanya nisimuamini mwanaume yoyote

    Hili tukio lilitokea miaka mingi iliyopita, kipindi nasoma nakumbuka kati ya form 1 au form 2. Nitafupisha ili nisiwachoshe, baba angu alituambia kuwa kuna mwanamke alimpa mimba miaka hiyo wakaachana mwanamke akaolewa na mwanaume mwingine sasa yule mtoto alivyokuwa akaambiwa baba yake ni mzee...
  12. K

    Hii ipoje kuhusu mwanaume kuwa na kipato ndio aoe??

    Kumekuwa na mijadala mingi kuhusu suala la "Wakati gani wa Mwanaume kuoa". Wengi wameenda mbali zaidi na kusema, "Suala la mwanaume kuoa sio umri, bali ni kipato na uwezo wa kuilea familia" Swali: Mwanaume huyo atagundua vipi kuwa kipato chake alichonacho sasa kinamwezesha yeye kuoa?? Ni kipato...
  13. Nani yupo nyuma ya mwanaume aliefeli?

    Embu tuangalie uhalisia duniani kuna population kubwa ya wanaume masikini zaidi ya wanaume matajiri. Kuna rate kubwa ya wanaume wanaoanguka katika biashara na ajira zaidi ya wanaofanikiwa. If behind every succesfull man there is a woman, then who is behind a failure man? Himself? He get blame...
  14. J

    David Kafulila: 35% tu ya kipato Cha mwanaume kinafika nyumbani tofauti na 90% ya Mwanamke

    Katika salama zake za siku ya Wanawake Dunia Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia nchini PPPC Bwana David Kafulila kwanza amewapongeza wanawake wote kwa kuzaliwa wanawake. Pili, David Kafulila amerejelea Utafiti uliofanywa na UNAC ya nchi Marekani uliokuwa na majibu kwamba Wanaume sio...
  15. Siku ya Wanawake duniani:- Ni aibu mwanaume kuomba lift kwenye gari ya mwanamke, kumuomba mwanamke vocha, rent ya nyumba etc

    Huna gari, huna nauli, msomeshe mwanaume mwenzako akusaidie. Sio umuombe Hela, mweleze, nafika sehemu Fulani ila nimekwama nauli, je unanisaidiaje ili nifike huko niendako? Kama atajisikia kukupa pesa, sawa, kama atakuitia boda sawa, kama atakuombea lift kwa jamaa zàke waendao huko uendako ni...
  16. Mwanaume; Kuna wakati muambie Mmke wako kwaheri, ukubali kuwa yameisha!

    Mwanaume, nikukumbushe tu, kiasili hatujaumbwa kuvumilia, yaani ile hisia ya uvumilivu tunakuwa hatuna kabisa, ndiyo tulivyoumbwa. Kama ukishaona mke wako anaanza kukufanyia dharau, iwe ni sababu ya kipato au kwa sababu tu anaona ameshakuzoea, kama mke wako umeshaanza kukufumania na wanaume...
  17. Mke wangu hanisalimii, anasema salamu ni wajibu wa mwanaume kwa mke au familia yake

    Aslaam, Niko na mke takribani miaka 10 Sasa ya ndoa yetu. Bahati mbaya mda mwingi hatulali na kuamka pamoja, kutokana na harakati za kutafuta maisha. Huaga natumia siku 5 za wiki kwenda mahala pakazi yangu na siku 2 za mwisho wa wiki kushinda nyumbani na familia yangu, japo mara nyingine...
  18. Wewe kama mwanaume Unaweza kuvumilia?

    Hellow Nilimuonaga mdada mmoja huko kwenye mahangaiko kwenye kasemina fulani ila tupo nae sehemu ila sasa ni mgumu balaa yapata mwaka sasa tangu numtongeze ila jibu sipewe nazungushwa na nina mpenda sana kibaya zaidi anataka mimi nisolve changamoto zake ila mimi jibu hanipi kabisa Nimewekeza...
  19. Kwanini Mwanaume huwa anakataa mimba/ujauzito?

    Kwa mwanaume makini na halisi hawezi kukataa mimba kwa mwanamke aliyelala nae na kufanya nae tendo la ndoa hakika hawezi kuikataa. Iko hivi mwanaume mwenye akili timamu ambae anaweza kuikataa mimba ni pale mwanamke unapokuwa kiruka njia yaani unachnganya wanaume kama shanga leo upo na iddi...
  20. Kulea ni kazi ya mwanamke, kutunza ni kazi ya mwanaume

    "Kulea ni kazi ya mwanamke na kutunza ni kazi ya mwanaume. Ili mwanamke aweze kulea ni mwanaume anahusika kutoa matunzo. Kujiunga na chama hichi ni kuanzia miaka 18 ambapo tunatengeneza wanaume ambao hawakimbii familia. Waliojiandikisha mpaka sasa ni wanaume 31,000" - Claude Benedict Kimu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…