UTANGULIZI
Taarifa ya maandishi, ya tarehe 07 Oktoba 2025, kutoka "Ofisi ya Mkuu wa Jeshi la Polisi, Makao Makuu ya Polisi," huko Dodoma, ambayo "Imetolewa na Msemaji wa Jeshi la Polisi Nchini," lakini isiyosainiwa wala kuonyesha jina la mwandishi wake, inahusika na imeambatanishwa hapa chini...