mwanamke

  1. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke mwenye umri wa miaka 28 anaswa akiwa ameficha dawa za kulevya gramu 300 sehemu za siri

    Mwanamke mmoja mwenye umri wa miaka 28 amekamatwa na kuwekwa rumande baada ya kukutwa na takriban gramu 300 za dawa za kulevya aina ya cocaine, kufuatia msako wa pamoja wa vyombo vya usalama nchini Kenya, uliolenga njia zinazotumiwa kusafirisha mihadarati kutoka maeneo ya kaskazini mwa Kenya...
  2. JamiiForums Tanzania Jitahidi uoe mwanamke uliyemzidi kuanzia miaka kumi kama alivyofanya Juma JUX kwa mke wake Prisca

    Jitahidi uoe mwanamke uliyemzidi kuanzia miaka kumi kama alivyofanya Juma JUX kwa mke wake Prisca. Faida ni kuwa utakuwa Comfortable Sana . Na pia utakuwa unawaza kitofauti Sana . Na itakuongezea heshima 35 Yrs Jux 23 Yrs Prisca.
  3. JamiiForums Tanzania Taasisi ya Mwanamke Initiatives Foundation (MIF) Yakabidhi Sanitary Pads 350 kwa Wanafunzi wa Kike

    Taasisi ya Mwanamke Initiatives Foundation (MIF) chini ya Mwenyekiti wake, Mhe. Wanu Hafidh Ameir (Mb) leo tarehe 18 Aprili, 2025 imekabidhi Taulo za Kike (Sanitary Pads) 350 kwa Wasichana walio katika mazingira magumu nyakati za hedhi husababisha changamoto kubwa kwa wasichana kuhudhuria masomo...
  4. JamiiForums Tanzania Ukiacha sex, mwanamke ana nini cha ziada anachotoa kwenye mahusiano?

    Hivi dada zetu wanafahamu Mambo wanayopaswa kuchangia kwenye relationship ukiacha sex ?
  5. JamiiForums Tanzania Mwanamke mwenye uvimbe anaweza kushika mimba?

    Msaada tafadhali wakuu Hivi mwanamke mwenye uvimbe tumboni namaanisha kwenye mfuko wa uzazi uterus anaweza shika mimba na kuzaa?
  6. JamiiForums Tanzania Pale umaarufu, trend na umashuhuru utakapohamia ndipo mwanamke anapoenda.

    Kuna wakati warembo wetu hawakutaka kusikia kitu kinaitwa soka ila soka la bongo lilipo fanyia investment na promotion ya nguvu basi dada zetu hao wakatia kambi🤣 ili wawe na show off na gears za ki-soka Kuna wakati mwanamke mnene na makalio alionekana kama kama mzigo fulani hivi akawa...
  7. JamiiForums Tanzania MAN TO MAN : Ni Nini alikifanya ukagundua kuwa yule mwanamke hakufai ??

    Seriously ... Tusaidiane kujua aina ya red flags mlizowahi kutana nazo wakulungwa kwa upande wenu na mkazichukulia hatua .... Hata wanawake mnaruhusiwa kutoa red flags zenu zilizowakimbiza kwenye baadhi ya Mahusiano.
  8. JamiiForums Tanzania Inaboa sana kuwa na mwanamke mwenye utambuzi mdogo hata kama ana tabia nzuri

    Aisee kataa ndoa sometimes nawaelewa Fulani ila nyie sababu yenu haswa Huwa haina mantiki Mimi yangu ni spesheli. Binafsi Mimi Huwa sipendi mwanamke msahaulifu wa mambo na ukimuhoji kwanini anasahau anajibu kwamba kichwani mambo mengi wakati hatafuti hela kila kitu unatafuta mwanaume.. Yaani...
  9. JamiiForums Tanzania Kitu gani ulikiona kwa mwanaume au mwanamke ukajua huyu siyo wako wa maisha (sio future mume / mke)

    Niliona uchafu wa haja kubwa kwenye nguo yake ya ndani, nikajua kama mwanaume hawezi kutawaza vizuri basi pia hawezi kuja kua kichwa cha familia yangu. Niliona anavyoongea kwa dharau na mzazi yake nikajua huyu hana heshima kuanzia nyumbani kwao, hanifai. Alinipigha alivyotoka mpirani amelewa...
  10. JamiiForums Tanzania Kwa kweli katika kitu ambacho kimenishinda ktk huu ulimwengu,ni kudekeza mwanamke.

    Kwa kweli unakuta umerudi zako home kutoka kwenye shughuli zako unakuta mwanamke kakuvutia tu domo bila sababu za msingi,lengo lake kubwa ni eti kutafuta attention ya wewe kumbembeleza. Yani nikulishe,nikutimizie mahitaji yako ya msingi na bado nikubembeleze? Hii kitu ya kubembeleza wanawake...
  11. JamiiForums Tanzania Sijawahi kumtukana mwanamke

    Ukiacha kumtukana mwanamke kwenye sex,sijawahi kumtukana mwanamke kwa kugombana.Mara zote panapotokea kutoelewana na mwanamke,wawe wake zangu au mchepuko sijawahi kuwatukana matusi.Mara zote panapotokea kutoelewana huwa naongea nao tena kwa lugha nzuri na bila kupandisha sauti,na mwanamke akija...
  12. JamiiForums Tanzania Itoshe tu kusema Mungu ni wa ajabu maake sio kwa mwanamke huyu

    Dah! Asikwambie kitu, Dar ina wanawake wazuri lakini sikuwahi kuona mwanamke kama niliyemuona siku ya leo Siku ya leo nimeamua kutoka kwangu, somewhere X nikatembelea maeneo fulani hivi ya uswazi kumcheki mshkaji wangu ambaye nilikuwa naye pale UDSM kitambo kile Wakati tukiwa nje ya fremu...
  13. JamiiForums Tanzania Ewe Mwanaume, Jifunze Kutofautisha Kati ya Mapenzi na Huruma Unavyokuwa Unaishi na Mwanamke

    Katika mahusiano mengi ya watu wanaoishi kinyumba, mara nyingi mwanaume anaendelea kubaki na mwanamke hata kama moyoni alishamaliza safari—si kwa sababu ya mapenzi, bali kwa huruma. Unakuta kabisa mwanamke hana ile spirit ya kupambana na maisha; kwa wenzetu wengine kulelewa na kutegemea ni kama...
  14. JamiiForums Tanzania Hamisa Mobetto ajitabiria kuwa baada ya miaka mitano atakuwa mwanamke wa ndoto yake, atastawi kiuchumi, mwenye furaha na aliyefanikiwa

    Hamisa Mobetto ajitabiria kuwa baada ya miaka mitano atakuwa mwanamke wa ndoto yake, atakua kiuchumi, mwenye furaha na aliyefanikiwa Baada ya kutoa kauli hiyo walimwengu wameenda mbali na kusema kuwa wanaelewa anachomaanisha, wanasema kuwa anamaanisha hivi sasa yupo kwenye shamba la AK baada ya...
  15. JamiiForums Tanzania Wanawake Mjitafakari na Wanaume Usimpende Mwanamke kwa Kumuonea Huruma Utajiponza

    Km kichwa cha mada kinavyojieleza ningependa nieleze kwa ufupi sana sababu mimi sio mwandishi mzuri. Lakini ningeanza na wanawake mjitafakari sana mnapoingia kwenye mahusiano. Ipo hivi unakuta mwanamke ana umri 28+ jioni ile pale jua lishazama kashatembea kilometres nyingi kashaishi sana...
  16. JamiiForums Tanzania Kitu gani kipya umejaribu na mwanamke au mwanaume wako hivi karibuni?

    Kigiza hicho, haya nimeachana na siasa nimerudi kwenye mada zetu pendwa. Wiki hii nimemchangamsha shemeji yenu na style mpya . Mikao inaitwa “nilie juu ya meza” na “naokota hela uvunguni” Mkao wa Nilie juu ya meza: tulimaliza kula nikamwambie abaki mezani anisubiri nitoe vyombo. Nilivyomaliza...
  17. JamiiForums Tanzania Arusha; Boda Boda auwawa kinyama na mwanamke Kisha achomwa Moto

    Tukio hilo la kusikitikitisha na la aina yake limetokea katika kata ya Ungalimited ambapo kijana mmoja ameuliwa kinyama na mwanamke mmoja Kwa kushirikiana na baadhi ya vijana. Jana wakati mechi ya Yanga ikiendelea Kuna bodaboda aliibiwa pikipiki yake wakati akiangalia mpira maeneo ya katikati...
  18. JamiiForums Tanzania Binafsi kama mwanamke hajabarikiwa Nyuma ni changamoto sana

    Mwanamke ambaye hajabarikiwa Nyuma awekeze katika Kutafuta pesa sana tofauti na hapo hali sio nzuri Ahsante
  19. JamiiForums Tanzania Usichukue Nguvu zako kumpa nguvu Mwanamke (empowering woman). Bali tumia nguvu alizonazo kumuwezesha

    Hamjambo wote! Usije isahau hii! Kamwe usitumie nguvu zako kumuongezea mwanamke ili kumwezesha. Hilo ni kosa. Na wengi wao wamelijutia na wanaendelea kulijutia. Usipokuwa tumia nguvu alizonazo mwenyewe huyo mwanamke ajiwezeshe mwenyewe. Hiyo ni Kanuni ambayo ni universal Law. Na sio tuu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…