Huwa nawaza, Mimi mke wangu mzuri lakini kuna wake wa jamaa zangu nao ni wakali sasa navyowatamani utadhani mke wangu havutii. Najiuliza je wakulungwa ambao hawafahamu kama mwanamke mzuri kaolewa wanamtongoza mara ngapi na anakwepa vishawishi mara ngapi?
Wengine wanaenda hadi kwa waganga Ili...