mwanafunzi

  1. JamiiForums Tanzania Arusha: Baba atafutwa na jeshi la polisi kwa kumlazimisha mwanafunzi amlawiti

    Jeshi la polisi wilayani Arumeru, mkoa wa Arusha, linamsaka Baba mmoja ajulikanae Kwa jina la Steve, umri miaka 50 anaeishi katika kitongoji Cha olmareti katika Kijiji Cha kivulu, Kwa kosa la kumuomba mwanafunzi wa kiume wa kidato Cha tatu mwenye umri wa miaka 16 amuingile kinyume na...
  2. JamiiForums Tanzania 'Nyaraka yenye utata' yaibuka Mahakamani wakati shahidi akitoa ushahidi katika Kesi ya Mwalimu kutuhumiwa kumlawiti Mwanafunzi wake

    Shahidi wa tatu upande wa Jamhuri katika Kesi Namba Cc 32444/24 inayomkabili Saleh Ayoub (39), Mwalimu wa Shule ya Msingi Green Acres iliyopo Mbezi Africana, anayetuhumiwa kumlawiti Mwanafunzi (11) ametoa ushahidi Aprili 15, 2025. Katika ushahidi huo ambao ulitumia takribani saa tano...
  3. JamiiForums Tanzania Mwanafunzi mwenye miaka 18 matatani kwa tuhuma za kujifungua na kumtupa mtoto chooni

    Jeshi la Polisi mkoani Rukwa linaendelea kufanya uchunguzi wa kina kuhusu tukio linalomhusisha mwanafunzi wa kidato cha nne, Julitha Saimon (18) siyo jina lake sahihi, kutoka Shule ya Sekondari Nkasi, ambaye alijifungua na kisha kumtupa mtoto chooni. Akizungumzia tukio hilo leo Jumatano Aprili...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mkazi wa Njiapanda, Malampaka wilaya ya Maswa afungwa jela kwa kumbaka mwanafunzi wa miaka 11

    Mkazi wa kijiji cha Njiapanda, Malampaka kilichopo wilaya ya Maswa mkoani Simiyu.Charles Mwiburi(50)amehukumia kifungo cha miaka 30 jela baada ya kupatikana na hatia ya kumbaka mwanafunzi wa miaka 11. Hukumu hiyo imetolewa leo,Jumatano Aprili 16,2025 na Hakimu Mkazi wa Mahakama ya wilaya ya...
  5. JamiiForums Tanzania Mwanafunzi akutwa amejinyonga baada ya kukatazwa kucheza kamari

    Mwanafunzi wa kidato cha nne shule ya sekondari Kagemu iliyopo Manispaa ya Bukoba mkoani Kagera Caren Mwemezi (18) amekutwa amejinyonga nyumbani kwao mtaa wa Nyakanyasi huku sababu zikitajwa kuwa ni kulazimishwa kuhudhuria masomo na kukatazwa kucheza michezo ya kubahatisha (bonanza)...
  6. JamiiForums Tanzania RC Sendiga amwagiza Mkuu wa Polisi Simanjiro kumkamata Afisa Polisi kwa uzembe Kesi ya Ujauzito wa Mwanafunzi

    Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Queen Sendiga, amemwagiza Mkuu wa Polisi Wilaya ya Simanjiro kumkamata na kumweka ndani Afisa wa Polisi Kata ya Loibosiriet, Ester Tairo, kwa uzembe kutokana na kushindwa kumkamata kijana aliyemsababishia ujauzito mwanafunzi wa kidato cha tatu katika Shule ya Sekondari...
  7. I

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi wa chuo kikuu anayelengwa na Trump aondoka Marekani saa 9 zilizopita.

    Mwanafunzi wa chuo kikuu anayelengwa na Trump aondoka Marekani saa 9 zilizopita. Mwanafunzi mhitimu wa Chuo Kikuu cha Cornell ambaye viza yake ya Marekani ilifutwa kutokana na maandamano dhidi ya Israel ameamua kuondoka Marekani badala ya kusubiri kufukuzwa nchini humo. Momodou Taal, ambaye...
  8. JamiiForums Tanzania RUKWA: Mwalimu Mkuu na Wawili wawili watuhumiwa kumpiga Mwanafunzi kwa Waya na kusababisha kifo chake

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Rukwa limewakamata watuhumiwa watatu kwa tuhuma za kumuua Mwanafunzi wa Kidato cha Nne wa Shule ya Sekondari Kagwa iliyopo Manispaa ya Sumbawanga aitwaye Novatus Adelhard Mgeni, miaka 15. Waliokamatwa ni pamoja na Mkuu wa Shule ya Sekondari ST. Kagwa ambaye ni Zacharia...
  9. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia akamilisha ujenzi wa Shule kubwa ya Wasichana Lugalo, Iringa – Mwanafunzi aahidi ufaulu wa Divisheni 1 pointi 3

    Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Tanzania Samia Suluhu Hassan amekamilisha ujenzi wa shule kubwa ya wasichana Lugalo Iringa. Timu ya waandishi wa habari wakiambatana na officialbabalevo washuhudia juhudi za serikali ya awamu ya sita inavyofanya uwekezaji mkubwa katika sekta ya Elimu hakika katika...
  10. JamiiForums Tanzania Kaimu Mwalimu Mkuu akamatwa kwa tuhuma za kumbaka Mwanafunzi wake

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro limemkamata mwalimu mkame Living Mwaisumo mwenye umri wa Miaka 30 kwa kosa la kumbaka mwanafunzi wa kidato cha pili katika shule ya sekondari zombo wilayani Kilosa Mkoani Morogoro. Akizingumza na waandishi wa habari kamanda Jeshi la Polisi Mkoa wa morogoro...
  11. JamiiForums Tanzania Mwalimu adaiwa kumbaka mwanafunzi akitazama mpira nyumbani kwake

    Jeshi la Polisi mkoani Mwanza linawashikilia walimu wawili kwa tuhuma za ubakaji wa wanafunzi wao katika matukio mawili tofauti, yaliyotokea wilayani Sengerema. Akizungumza na wanahabari siku ya Jumatano Machi 19, 2025, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, DCP Wibroad Mutafungwa, amesema katika...
  12. U

    JamiiForums Tanzania Nimebubujikwa na machozi ya shangwe mwanafunzi Esther akimshukuru Rais Samia kwa uwekezaji mkubwa kwenye elimu utakaowasaidia kutimiza ndoto zao

    Wadau hamjamboni nyote? Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan akiwa ziarani mkoani Tanga hususani wilaya za Muheza na Mkinga alikutana na mwanafunzi wa sekondari ya magila aendaye kwa jina la Esther aliyemshukuru kwa kufanya uwekezaji mkubwa sekta ya elimu. Wadau nimeguswa sana na tukio hili na...
  13. JamiiForums Tanzania Simiyu: Mazishi ya Mwanafunzi Mhoja Maduhu yalivyokuwa, ni yule aliyefariki muda mfupi baada ya kuchapwa na mwalimu wake

    Mwanafunzi Mhoja Maduhu anayedaiwa kuuawa kwa kupigwa na mwalimu kupita kiasi na kusababisha damu kuvujia kwenye ubongo, amezikwa huku huzuni na simanzi kubwa vikitawala. Pia soma ~ Simiyu: Mwanafunzi adaiwa kufariki kwa kuchapwa viboko na kukanyagwa kichwani na mwalimu shuleni
  14. JamiiForums Tanzania Mwanafunzi simiyu afariki kwa kupigwa na mwalimu. waziri wa elimu lifanyien kazi hiili hii shule wanasema ni mara ya tatu mtoto kufariki

    Mwanafunzi MMOJA amefatriki SIMIYU kwa KUPIGWA na MWALIMU kisa kuchelewa kupeleka hmwk Akiongea kwa huzuni mama MZAZI WA marehemu amesema mwanae alienda shule Alipofika ghafla akapigiwa simu na mwl mkuu mtoto amepata shida akamuuliza shida gan akamwomba aje shule mtoto amedondoka Akamwomba...
  15. JamiiForums Tanzania Video: Rais Samia ampisha kwa muda kukalia kiti cha Urais mwanafunzi aliyesema anatamani kuwa Rais

    Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa wilayani Muheza mkoani Tanga katika siku ya tano ya ziara yake ya kikazi, amempisha mwanafunzi kiti chake cha urais akalie kwa muda.
  16. JamiiForums Tanzania DOKEZO Arusha: Mwanafunzi wa darasa la 6 abakwa hadi kuzimia

    Mwanafunzi wa darasa la 6 mwenye umri wa miaka 11 anaesoma katika shule ya msingi Ungalimited amebakwa hadi kuzimia pamoja na kutoka damu nyingi na kijana ajulikanae kwa jina la kelvin anaekadiriwa kuwa na umri wa miaka 25. Tukio hilo limetokea wakati binti huyo akiwa njiani akitoka shule...
  17. JamiiForums Tanzania Hali ngumu ya maisha ya nyumbani ndo ilisababisha mwanafunzi kutaka kuacha shule

    Baada ya kufuatilia tukio zima la mwanafunzi wa darasa la sita kuchapwa na mwalimu wake hadi kuumia mkono, huko mkoani kilimanjaro nimegundua mambo kadhaa toka kwenye familia yake Familia anayotoka ni duni sana ,mama yake anafanya vibarua vya kufua kwa watu japo sio mara zote hupata kibarua...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Si kila kitabu kwenye Biblia ni kwa ajili ya wakristo wote

    Amani iwe kwenu wapendwa! Siku ya mwaka mpya nilikutana na Baba yangu mdogo ambaye alisomea upadre hadi level ya ushemasi na kwakweli alibakiza muda mfupi sana kupewa daraja la upadre, isivyo bahati aliacha kuendelea na wito wa upadre na hivyo aliamua kuwa mlei (mwanandoa). Sasa juzi hiyo...
  19. JamiiForums Tanzania Dar: Kesi ya Mwalimu Saleh Ayoub (Shule ya Msingi Green Acres) anayedaiwa kumlawiti Mwanafunzi yaahirishwa hadi Februari 17, 2025

    Kesi namba Cc 32444/24 inayomkabili Saleh Ayoub (39) Mkazi wa Salasala, Dar es Salaam ambaye ni Mwalimu wa Shule ya Msingi Green Acres iliyopo Mbezi Africana, anayetuhumiwa kumlawiti Mwanafunzi wake imeshindwa kuendelea ikidaiwa shahidi upande wa Jamhuri ambaye alitakiwa kutoa ushahidi hakufika...
  20. JamiiForums Tanzania Mwalimu ni mwanafunzi wa kudumu

    Mwalimu ni mwanafunzi wa kudumu Mwalimu Akiipenda kazi anajituma sana. Na huwa ANAUMIA mwanafunzi wake Wakifeli. Sema hurudishwa nyuma na maneno ya kashifa kutoka kwa viongozi wa juu yake. WENGI Huwadharau Waalimu huona hawana thamani hapa duniani. Wala hawafai kusikilizwa
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…