mwanafunzi

  1. JamiiForums Tanzania GE2025 Wanu: Mimi ni mwanafunzi wa Rais samia wasiwe na wasi wasi, atakavyotiki kwake na kwangu wakatiki

    “Nimewasikia watani wetu katika mkutano wako kuwa wao hawana shida na Rais Samia lakini wanashida na mimi, niwatoe hofu kuwa mimi ni mwanafunzi wa Dkt Samia kama watakavyotiki kwake na kwangu wakatiki nikawaonyesha maaana ya uongozi” alisema Wanu ambae ni mtoto wa Rais Samia na Mgombea Ubunge...
  2. JamiiForums Tanzania Nimeona mwanafunzi wa sekondari kavaa burqa(ninja)

    Wanafunzi wa kike wanaruhusiwa kuvaa burqa(ninja) mashuleni? Nimeona mwanafunzi wa kike kama wa kidato cha pili amevaa burqa(ninja) anaenda shule nikashaangaa sana. Ukiacha kuwa ni mwanafunzi kwa nini watoto wadogo wavalishwe burqa? Nani mwenye akili timamu anaweza kuwatamani watoto wadogo?
  3. JamiiForums Tanzania Epuka kuombwa simu na mwanafunzi usiyemjua

    Nilikuwa napitia uzi huu twitter (X). Kwamba mwanafunzi usiyemjua akiomba simu ukampa, unahatarisha kuoza jela miaka 30. Wanaume tuwe makini aisee. #NimejifunzaKitu
  4. JamiiForums Tanzania Kufeli kwa mwanafunzi kunasababishwa na kufundishwa na mwalimu au mkufunzi asiye na uwezo wa kuwasilisha mada na kueleweka

    Kwa sababu, kufeli kwa mwanafunzi kunasababishwa na mwalimu kutokueleweka darasani. Iwe ni shule za msingi, sekondari, vyuo vya kati, vyuo vikuu n.k Mwalimu au mkufunzi aliyebobea vizuri kwenye taaluma yake, atakuwa na uwezo pia katika kuwasilisha hiyo taaluma kwa wanafunzi wake anao...
  5. JamiiForums Tanzania ARUSHA: Mlinzi adai Mwalimu Mkuu huamuru Wanafunzi kufungwa kwa Mnyororo kwa Utoro

    Anayedaiwa Mlinzi wa Shule ya Msingi Ngarenaro, ambako Mwanafunzi wa Darasa la Saba (13), ameonekana amefungwa kwa mnyororo kwenye dawati kwa kosa la utoro, amedai kuwa Mwalimu Mkuu wa shule hiyo ndiye aliyeagiza mtoto huyo afungwe, akieleza kuwa adhabu hiyo imekuwa ikitekelezwa Shuleni hapo na...
  6. JamiiForums Tanzania Mwalimu Mkuu amfungia mwanafunzi darasani kwa Mnyororo

    Mwanafunzi wa darasa la saba (13) shule ya Msingi Ngarenaro Jijini Arusha amefungwa na mnyororo na kufungwa kwenye dawati Darasani na Mwalimu mkuu wa shule hiyo kwa kile kilichoelezwa kuwa kuwa ni mtoro. Wakizungumza wazazi wameleza kuwa walipigiwa simu na mlinzi wa shule aliyekuwa zamu mchana...
  7. O

    JamiiForums Tanzania KIJANI kusomba Watu Hawajaanza Leo! Mimi Mwenyewe Nikiwa Mwanafunzi Darasa la 4 Shule Flani Apo Mwanza Nilisombwa Kwenda Kumshangilia JK 2005 kirumba!

    Wakuu hawa jamaa hii michezo Hawajaanza leo ni tangu miaka na miaka uko nyuma! Kwahiyo ata Aya yanayosemwa sasa ni marudio tu na ni kama hawa jamaa hii michezo washaizoea! Nikiwa Mwanafunzi wa darasa la 4 mkondo A pale shule ya msingi Nyamanoro, nakumbuka tulisombwa kwenda CCM kirumba tena...
  8. JamiiForums Tanzania Jela maisha kwa kumbaka mwanafunzi

    Emmanuel Mussa (27), mkulima na mkazi wa Kijiji cha Ighombwe, mkoani Singida, amehukumiwa kifungo cha maisha gerezani baada ya kupatikana na hatia ya kumbaka mwanafunzi wa darasa la tano wa Shule ya Msingi Ighombwe. Tukio hilo lilitokea Novemba 12, 2023 katika Kata ya Sepuka, Wilaya ya Ikungi...
  9. JamiiForums Tanzania Kijana wa kiume mwanafunzi wa shule ya Msingi anaingiliwa kinyume na maumbile !Msaada hatua za kuchukua

    Wadau Habari, Jana nikiwa nje ya nyumbani nilipigiwa simu na mke wa rafiki yangu.Akanieleza kuwa ameingia kwenye chumba cha mtoto wake wa kiume kufanya usafi amekuta kuna Boxa na kaptura zimechafuka kwa haja kubwa. Alipo subiri kijana arudi shule akamuuliza taratibu na majibu yalikua ndio...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi Yohana Amani Konki 17,auliwa na wanafunzi wenzake,kwa ramli ya mganga,kuwa ksiba simu

    Mwanafunzi auliwa na wenzake,anayeitwa Yohana Amani Konki 17,kwa ramli ya mganga,kuwa kaiba simu
  11. JamiiForums Tanzania Ulimtia Mimba Mwanafunzi, Ukafungwa Miaka 30 umetoka jera, Unaambiwa mimba iliharibika! Ungefanyeje?

    Kwa mfano imetokea wewe kijana umefungwa kwa kumtia mimba mwanafunzi. Miaka 30 baadaye, ukarejea na kukutana na ukweli mchungu ambao hukutarajia. 📜 Kwa mfano, wewe ni kijana wa kiume na katika harakati za hapa na pale katika ujana wako, ukajikuta unamtia mimba mwanafunzi wa shule. Kwa kosa...
  12. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Mwanafunzi wa Makerere aliyetekwa nyara akisubiri hukumu dhidi ya matumizi mabaya ya kompyuta

    Mtayarishaji wa maudhui wa TikTok na mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Makerere, Elson Tumwine, anasubiri kusomewa hukumu baada ya kukiri kosa la kuhariri taarifa inayodaiwa kuwa ya Spika wa Bunge, Anita Among, kuhusu msamaha wa hivi karibuni wa Rais Yoweri Museveni kwa Buganda. Upande wa mashtaka...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Kuna uwezekano ukawa mwanafunzi huku ukiwa kiongozi wa kisiasa?

    Habarini wakuu. Hivi kuna uwezekano ukawa bado mwanafunzi wa chuo halafu hapo hapo ukawa kiongozi wa kisiasa mathalan diwani wa kata? Na je ukafanikisha kuwa na hiyo nafasi, kuna uwezekano ukaweza kufanya majukumu yote hayo mawili kwa nyakati moja!? Na je utayafanyaje na utapangiliaje muda...
  14. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanaume wa miaka 23 ahukumiwa kifungo cha miaka 30 kwa kumbaka mwanafunzi County ya Lamu

    Mwanaume mmoja mwenye umri wa miaka 23, Lukman Ismail Athman maarufu kama Jelal, amehukumiwa kifungo cha miaka 30 jela na Mahakama ya Lamu kwa kosa la kumbaka mara kadhaa mwanafunzi wa Darasa la Tisa kati ya Novemba 14 na 24, 2024 katika eneo la Paradise, Langoni. Hukumu hiyo imetolewa na Hakimu...
  15. JamiiForums Tanzania Ukiumwa nenda Hospital acha kujifanya Daktari Mwanafunzi

    Wakuu, juzi kati hapa nilipatwa na kahoma nikawa sielewi elewi mwili wangu huu vipi. Basi mimi na JF Doctaz Jukwaa la Afya ni sehemu yangu ya kupokea maarifa mawili mawili matatu kuhusu magonjwa mbalimbali na Afya zetu, nikajikusanya nikaingia JF nikaanza kuandika dalili kwenye search box pale...
  16. JamiiForums Tanzania Mwanafunzi anayeanza form one mpaka form four anatakiwa afundishwe sheria za barabarani na udereva wa magari mbalimbali

    Mwanafunzi anapoanza form one anatakiwa ajifunze udereva na sheria za barabarani ni ajabu udereva haufundishwi mashuleni Kuanzia form one mpaka four Mwanafunzi anatakiwa asomee udereva wa Magari madogo Magari makubwa Fork-lift Grader Telescopic handler Magari yanatotumika kwenye kilimo...
  17. JamiiForums Tanzania Anayejiita Geoffrey Kiliba, Rais wa TAHLISO, sio mwanafunzi wa Chuo Kikuu au cha Kati chochote

    Haka kajamaa tumegundua sio kanafunzi ka Chuo chochote Tanzania, Sio Kwa Vyuo vya TCU, Wala NACTEVET !. Kwa Mujibu wa Miongozo ,Kanuni, Sheria Katiba zinazoongoza TAHLISO , ni umoja ambao haufungamani na Chama chochote Cha kisiasa . Huyu Pimbi, alipoanza kujitokeza, alianza kama Genge la...
  18. JamiiForums Tanzania Nafasi za Kazi kwa Aliyesoma Education

    Ajira kwa aliyesoma Education (kozi yoyote yenye education) nafasi 4. Eneo la Kazi, Prime School Dar es Salaam. sifa Awe mkazi wa Dar es Salaam. Elimu ya cheti, diploma au degree. Awe amehitimu kati ya mwaka 2024 au 2025. Jinsi ya kuomba: Andika ujumbe kwenda WhatsApp namba 0653 250 566...
  19. JamiiForums Tanzania Tafadhali toa mbinu sahihi itakayowafanya Walimu na Wahadhiri wa Kiume wasiwatani Kingono Mwanafunzi wa Kike Shuleni na Vyuoni

    Kwa aina ya Watoto wa Shule za Sekondari na Vyuoni ninaowaona hapa / huku niliko walivyo Kiumbwaji na Mungu na Kiushawishi kuanzia leo GENTAMYCINE sitowalaumu tena Walimu au Wahadhiri wa Kiume wanaowatamani Kingono Wanafunzi ndani na nje ya Tanzania. Haya Dada yangu Waziri mwana JamiiForums...
  20. JamiiForums Tanzania GEITA: Mwalimu Shule ya Msingi Waja ahukumiwa kifungo cha maisha kwa kumuingilia kinyume Mwanafunzi wake mwenye umri wa Miaka 7

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Geita imemkuta na hatia na kumuhukumu kifungo cha maisha Mwalimu wa Shule ya Msingi Waja, Josephat Masenema Shikome kwa kosa la kumuigilia kinyume na maumbile Mwanafunzi wake wa Darasa la Tatu mwenye umri wa Miaka 7, kinyume na kifungu cha 154(1)(a) na (2) cha Kanuni ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…