mwamuzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BARD AI

    Klopp apigwa faini Tsh. Mil 81 kwa kujibizana na mwamuzi

    Shirikisho la Soka (FA) limempa adhabu hiyo Meneja wa Liverpool kwa kosa la kugombana na mwamuzi msaidizi kwenye mechi ya Ligi Kuu dhidi ya Manchester City. Klopp, alioneshwa kadi nyekundu kwa kujibizana na Mwamuzi baada ya Mohamed Salah kunyimwa mpira wa adhabu kwenye mechi iliyochezwa Oktoba...
  2. JanguKamaJangu

    Mwamuzi aliyesimamia pambano la Mandonga asimamishwa

    Kamisheni ya Ngumi za Kulipwa (TPBRC) imemsimamisha kwa muda Mwamuzi Habib Mohammed 'Mkarafuu' ambaye alichezesha pambano kati ya Karim Mandonga dhidi ya Salim Abeid hadi atakapopata Mafunzo ya Uamuzi. Wali, Rais wa TPBRC, Chaurembo Palasa aliufuta mchezo huo wa Septemba 24, 2022 kutokana na...
  3. Greatest Of All Time

    Hatimae mwamuzi Mike Dean anastaafu kuchezesha soka jumapili hii

    Jumapili hii, msimu wa EPL utakuwa unaenda ukingoni. Bingwa wa EPL atajulikana siku hiyo, vita ya top 4 kati ya Spurs na Arsenal itajulikana siku hiyo lakini pia vita ya kushuka daraja itajulikana siku hiyo kati ya Burnley na Leeds nani ataungana na timu nyingine mbili kushuka daraja. Msimu wa...
  4. Joseverest

    Mwamuzi Ramadhani Kayoko kuwa 'Pilato' mechi ya Yanga vs Simba

    SIKU chache baada ya Mwanaspoti kufichua juu ya waamuzi waliokuwa wakipewa nafasi kubwa ya kuchezesha mchezo wa Kariakoo Derby utakaofanyika April 30, 2022 katika dimba la Benjamin Mkapa saa 11 jioni, huku kikao kizito kikifanyika, ukweli umebainika kwamba mwamuzi Ramadhan Kayoko amepewa kazi...
  5. ESCORT 1

    Kwanini mpaka leo mwamuzi wa mechi ya Yanga Vs Simba hajatangazwa?

    Yaani bado masaa 48 lakini mpaka sasa mwamuzi bado hajatangazwa! TFF amkeni acheni kuongoza soka kizamani. Tunaomba alhamisi mumtaje mwamuzi ili tumjue
  6. M

    Nyote mnaosema kuwa Simba SC jana ilionewa sana na Refa ( Mwamuzi ) tafadhali nijibuni upesi haya Maswali yangu yafuatayo

    Je, 1. Refa ndiyo alikipanga Kikosi kile cha wasiwasi cha Simba SC Jana? 2. Refa ndiyo alimwambia Mshambuliaji wetu Mpuuzi Chris Mugalu acheze Faulo za Kipumbavu ambazo zilitugharimu Kiufundi hasa pale alipotolewa kwa Kadi Nyekundu? 3. Refa ndiyo alimwambia Kocha wa Simba SC Pablo Franco...
  7. M

    Nasikitika Wadau wa Mpira hatumpongezi Mwamuzi wa leo aliyewachezesha Yanga SC na Namungo FC kwa Uchezeshaji mzuri na wa Kuigwa

    Mwisho wa Msimu wa Ligi Kuu hii ya NBC nisiposikia amepewa Tuzo sitawaelewa TFF. Leo amechezesha vyema na kwa Haki.
  8. Kipenzi Changu

    Mwamuzi wa mechi ya Yanga na Geita Gold apelekwa kwenye kamati ya waamuzi ya TTF kwa ajili ya kuchukuliwa hatua

    Hizi kanuni zibadilishwe maana hazitendi haki. Mwamuzi anachukuliwa hatua lakini matokeo yanabaki yaleyale. Kuleta haki ni bora kanuni zibatilishe matokeo kutenda haki kwa upande ulioumizwa
  9. Adimu

    Mwamuzi Eli Sasii na mapenzi ya wazi kwa timu ya Simba na chuki iliyopindukia kwa timu ya Yanga

    Ninaandika uzi huu kwa maslahi ya ligi yetu na ustawi wa soka letu liweze kupiga hatua. Katika mchezo wa tarehe 10/4/2022 mwamuzi wa akiba Eli Sasii alionyesha maumivu ya wazi kabisa kutokana na matokeo ya pale Kilimanjaro kati ya Polisi Tanzania dhidi ya Simba. Hii imejidhihirisha kwa vitendo...
  10. N

    USGN waishtaki Rs Berkane CAf kwa "zengwe" lao na mwamuzi Mwarabu mwenzao

    Duh kwa kweli aiseee jamaa full time unaambiwa walikuwa wanabonga kiarabu na huyo mmisri awapendelee wanajua wakiongea Kifaransa wa Niger watawasikia inanikumbusha yule aliyemtukana kanoute tusi zito kwa mama yake kwa kiarabu kumbe dogo anakijua akamla mtama wa nguvu.
  11. kavulata

    Prisons wafanye nini kurudishiwa point yao walionyang'anywa na mwamuzi dhidi ya Simba?

    Hii haikubaliki kwa mwamuzi kuamua ni timu ipi ishuke daraja na ipi ibaki na ipi iwe bingwa. Kumpa adhabu mwamuzi aliyefanya makusudi kuamua matokeo haitoshi. Mwamuzi amelipwa bei gani ku risk taaluma yake?
  12. Lupweko

    Nilichogundua kutoka kwa mwamuzi Nassir Salim (Azam FC vs Simba SC) fainali ya Mapinduzi Cup

    Mwamuzi Nassir Salim wa Zanzibar aliyechezesha fainali ya Kombe la Mapinduzi kati ya Azam FC na Simba SC hakuwa na ufahamu kuhusu sheria ya mchezaji kurudisha mpira kwa golikipa wake. Mwamuzi huyu alikuwa anajua kwamba mpira wowote uakaorudishwa na mchezaji kwa golikipa wake ni faulo. Alifanya...
  13. M

    Refa Martin Saanya adaiwa kuwabeba Simba kwenye mechi dhidi ya Geita Gold

    Soma mwenyewe
  14. idoyo

    Ni vita kati ya Wapigakura na Walipakodi. Mwamuzi anawataka wote, ila mmoja zaidi

    .
  15. GENTAMYCINE

    Simba SC tafadhali hili la Yanga SC Kumkataa Mwamuzi wa ASFC Final Ahmed Aragije liangalieni 'Kiujasusi' zaidi

    Kwa Taarifa ambazo nimezipata na GENTAMYCINE naendelea Kuzithibitisha ni kwamba Kitendo hiki cha Yanga SC Kumkataa Mwamuzi (Referee) Ahmed Aragije kutokea Mkoani Manyara kina Fumbo kubwa na Mtego kwa Simba SC. Nimedokezwa (za chini chini) kuwa kutokana na Yanga SC (hasa kupitia Mdhamini wao...
  16. Kipenzi Changu

    Yanga yamkataa mwamuzi Ahmed Arajiga kuchezesha fainali Kombe la Shirikisho Julai 25, 2021

Back
Top Bottom