Habari zenu wakuu. Poleni sana kwa yote tuliyopitia na tunayoendelea kupitia ndani ya taifa letu.
Wakuu, ukiwa katika mchakato wa kuoa/kuolewa (engagement, send off& kufunga/kubariki ndoa) jitahidi sana kuwa na utulivu na muaminifu. Hiki ndio kipindi muhimu sana kuelekea kufanikisha safari ya...
Nimekuwa nikiitumia JamiiForums tangu inaanza. Kwanza niliitumia kawaida bila kujiunga, mpaka nilipoamua kujiunga rasmi mwaka 2013. Kila ninapoingia mtandaoni mtandao wangu wa kwanza ni JamiiForums. Mara zote nilipoingia, nilikuta habari za watu wengine mpaka hii leo nilipoingia na kukuta tuhuma...
Kwema Wataalam !
Ndio linapokuja swali... Hivi mnaosema unawekeza kwa mwanamke una moyo imara vya kutosha kihimiri tukio atakalokutandika nao. Hapo chini nimeweka tu baadhi ya Comments za wadada asee ni balaa.
Ushauri kwa wanaume wenzangu, Kama unataka kuwekeza na kuweka akili yako kwa...
Naitwa Fredy Gendo, nipo Kilimanjaro Moshi, natafuta kazi nimesomea uongozi wa biashara ngazi ya cheti na nina VIP katika upande wa udereva, naomba msaada wenu wadau, barikiwa.
Habari.
Kama kichwa cha habari kinavyojielezea.Natafuta fundi mzuri na mwaminifu anaweza kutengeneza Kabati.Showcase.dressingtable nakuendelea.
Pia vijana wawili ambao watakuwa kama wasaidizi wake.Ima wawe wanajua ufundi au hawajui ilimradi wawena moyo wa kujifunza.
Ofisi ipo Chanika na...
Habari.
Kama kichwa cha habari kinavyojielezea. Natafuta fundi mzuri na mwaminifu anaweza kutengeneza Kabati.Showcase.dressingtable nakuendelea.
Pia vijana wawili ambao watakuwa kama wasaidizi wake.Ima wawe wanajua ufundi au hawajui ilimradi wawena moyo wa kujifunza.
Ofisi ipo Chanika na...
Habari.
Kama kichwa cha habari kinavyojielezea.Natafuta fundi mzuri na mwaminifu anaweza kutengeneza Kabati.Showcase.dressingtable nakuendelea.
Pia vijana wawili ambao watakuwa kama wasaidizi wake.Ima wawe wanajua ufundi au hawajui ilimradi wawena moyo wa kujifunza.
Ofisi ipo Chanika na...
Sifa kubwa ya waislamu ni kusoma, mtume ametuasa kuitafuta elimu popote ilipo ndiyomaana watoto wa kiislamu anaanza kusoma madrasa mahali ambapo anapata madini yakutosha.
Leo tupitie na kutafakari nukuu hii mujarabu toka kitabu cha Mkweli Mwaminifu
"Anamwijia mmoja wenu shetani katika sala...
Sasa ifike sehemu mseme kama mnashida kwenye mtandao wenu ama mnyamaze tu na sisi tuondoke.
Internet shida sana. Mpesa shida kiasi, kupida simu shida pia.
Freeman Aikaeli Mbowe, aka Saluti ya Zege, kwa wanasiasa wengine amekuwa mwalimu na mkufunzi wa siasa za Bongo.
Kati ya wanasiasa wengi, nadhani watamkumbuka kwa mafundisho yake. Aliwafunza wengine namna ya kuongoza.
Maneno yake, nanukuu: "Nimeongoza chama hiki kwa muda mrefu kwa josho na...
Siku zote utakutana na wanawake wenye mvuto kuliko mwanamke wako, utakutana na wanawake wenye vibes zaidi, utakutana na wanawake ambao wana habari zaidi, utakutana na wanawake wanaofanya kana kwamba wanamjali kuliko mwanamke wako.
Pia ukiwa mwanamke utakutana na wanaume ambao ni matajiri sana...
Ndoa inapaswa kuheshimiwa na watu wote.
Inasiktiisha na kuhuzunisha mwanaume kulea watoto wasio wake na pia Inasiktiisha mwanamke/ mwanaume kuletewa magonjwa yasiyotibika kwasababu mwenza wake hakuwa mwaminifu.
Kama unajijua huwezi kujizuia , usioe wala kuolewa, we danga tu.
Nimemaliza.
Habarini Wadau?
Nina semi-trailers 2 moja inabeba mizigo Tani 31 na nyingine Tani 32. Natafuta Mdau/Wadau wenye mizigo ya uhakika ya kusafirisha ndani na nje ya Nchi jirani. Awe tayari tuingie Mikataba ya Kisheria ili tuweze kufanya kazi kwa uhakika zaidi.
Aliye tayari tuwasiliane inbox.
Huyu Emmy ni mara ya tatu sasa anataka kuja kwangu. Tulizoeana miaka mi3 hivi nyuma. Kipindi hicho maringo kama yote kunitolea nje. Leo hii anaforce kuja, kuna nini?
Nimempiga chenga wee mpaka nikaona isiwe tabu. Acha nimchane ukwee
Salaam wakuu,
Imenibidi nihoji maana generetion yetu sio poa.sio walio kwenye ndoa sio walio kwenye mahusiano ya kawaida, sio wachumba kukosa uaminifu imekuwa kitu Cha kawaida sana.hadi naogopa.
Kuna visa nimesoma na kushuhudia vingi,zaidi sana matukio vinanifikirisha
Kucheat imekuwa kitu Cha...
Habari wanajamii, mimi ni kijana wa kike natafuta kaz za ndani mshahara angalau uwe laki, naweza kufanya kaz zote za ndani na kutunza watoto pia. Ni mchapakaz na mwaminifu napatikana dar es salaam...
Habari wakuu.
Nipo na binti wa miaka 25, ni mkazi wa Wilaya ya Dodoma mjini Kata ya Ihumwa.
Elimu yake ni Stashahada ya mahusiano kazini kati ya mwajiri na mwajiriwa (diploma in industry relation/labour relation.)
Mwaka 2020 alihitimu na kufanya mafunzo ya miezi6 katika ofisi ya tume ya uamuzi...
UKIMPATA KIONGOZI AMBAYE NI MWAMINIFU KATIKA MAJUKUMU YAKE MAENDELEO NI KAZI RAHISI SANA: MHE. NICODEMAS HENRY MAGANGA, MBUNGE WA JIMBO LA MBOGWE MKOANI GEITA
"Mwanzoni kulikuwa na watu siyo waaminifu, wakipewa leseni za uchimbaji Madini walikuwa wanawafukuza kama wanyama. Mimi nilikuwa na upeo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.