Mwenyewe anadai kuna watu walilipa gharama mara baada ya utawala wa Magufuli kwa kosa la kumtolea kauli chafu mtandaoni. Askofu amedai ana watu wake wa kumfanyia hiyo kazi ya kuwaadhibu watu waliomkosea. Je, Askofu Mwamakula sio mhusika wa genge la WASIOJULIKANA? Kwa maelezo yake ni kwamba genge...
Inasikitisha sana kuona huyu Askofu wa CHADEMA, ndugu Mwamakula pamoja na chama chake wakipost mara kwa mara habari za uongo ili mradi kuishambulia CCM. Wakikamatwa na kufunguliwa mashtaka watamlaumu mtu?
Jana Askofu wa CHADEMA kazusha kuwa Rais Samia kahojiwa na THE REPORTER KE na kujibu jinsi...
Kamanda wa Polisi katika Mkoa wa Njombe, Mahamoud Banga ametoa taarifa ya kifo cha Dickraka Mwamakula (24) aliyekuwa askari wa Jeshi la Magereza katika Mkoa wa Njombe. Na kwamba, kijana Mwamakula alipotea tarehe 7 Septemba 2025.
Lakini baadaye mwili wake umepatikana ukiwa amefukiwa shambani...
JE, WAISLAMU WAMPIGIA KAMPENI SAMIA?
Andiko hili la Emaus Mwamakula ni la hovyo kabisa!!!!!! Why amegenerilize?
Viongozi wa wote wa Dini ya Kiislamu kutoka nchi nzima [Tanzania Bara?] wamekusanyika muda katika Ukumbi wa Diamond Jubilee, jijini Dar es katika 'Kongamano la Amani Kuelekea...
USHAURI WA ASKOFU KWA RAIS SAMIA JUU YA WANAHARAKATI WATOKAO NCHI ZA NJE!
Tarehe 19 Mei 2025 ni siku iliyokuwa imebana sana kwangu. Sikuweza kufanikiwa kufuatilia hotuba yeyote iliyotolewa na Mheshimiwa Rais Samia Saluhu Hassan. Hata hivyo, usiku niliona habari picha kadhaa zikiwa na maneno...
Waswahili wanasema hivi;
"...ukiona mwenzio kanyolewa, basi wewe jiandae kwa kutia maji kichwa chako, maana inayofuata ni zamu yako..."
Dali zote zinaonesha kuwa vita iliyopo sasa Tanganyika ni;
Vita kati ya HAKI na UOVU...
Vita kati ya MUNGU na SHETANI - IBILISI...
Watumishi wa Mungu...
Mwamakula Ametuma salamu za pole huku akilaani tukio hilo huku akieleza kuiwa tukio hilo haliwezi kuwarudisha nyuma katika kudai haki nchini tanzania
ameeleza kuwa misimao hiyo intoka na kile ambacho inatokana na fr kitima kutoa tamko kuhusu hali ya demokrasia nchi
na kuelezea kuwa tukio...
Huwa nashangaa wanao wapelekea wakina Mwaposa Sadaka na Manabii wengine type yake kama yule tapeli wa Arusha Geo David. Hawa ili waendeleze injili za kitapeli lazima pia wawe chawa.
Au wanao peleka Sadaka KKKT, SDA, EAGT, TAG, Angalican, Pentecost, AIC, na wengineo wengi sana. Hawa ni chawa pro...
Askofu Mwamakula, ni vizuri kujua kuhusu kanisa lako, wachungaji, na waumini wako.
Hapa kuna maswali kadhaa ambayo yanaweza kusaidia kuelewa vizuri zaidi kuhusu kanisa lako.
Kanisa Lako Liko Wapi?
Ni muhimu kujua eneo la kanisa lako. Je, liko katika jiji, kijiji, au eneo maalum? Mahali...
Kuna uzi hapa umeandika mambo ya enzi ya JPM kwamba Mwamakula alikuwa anapata baadhi ya taarifa, na hata wakati mwingine alitumiwa mtu na JPM.
Hoja yangu imejikita pale aliposema baadhi ya taarifa zilikuwa classfied (za siri) asingeweza kuzitoa. Classified information zinalindwa na sheria ya...
Hivi hawa jamaa ni maaskofu wa maisha? Mwamakula japo haijulikani hata uaskofu aliuokotea wapi, lakini kila siku yupo. Hayo makanisa hayana watu wengine?
N. B:
Mwenye clip ya Mwamakula akihubiri injili, nina milioni yake.
Askofu Mwamakula aliwahi kuonya kuwa siku akigundua kuwa ndani ya chadema kuna ufinyaji wa haki hatawatetea tena.
Sasa kwa hili la Tundu Lisu kuandamwa na wanachadema wenyewe baada ya kutangaza kugombea uenyekiti, analisemeaje...
“Juzi tumekuwa na janga pale Kariakoo, nchi imesimama kwa sababu ya janga la pale Kariakoo. Wote tumeguswa kwa ajili ya watu ambao tumetangaziwa 13 wamefariki, wale watu wamekufa wakati wanatafuta Maisha, wamekatishwa na kifusi kama Watanzania ni janga la kitaifa.”
“Lakini iweje mtu...
Akichangia mjadala katika Siku ya Kimataifa ya Demokrasia, Askofu wa Kanisa la Moravian Revival Church, Emmaus Mwamakula amesema kuwa kuna vyuo vikuu nchini vinashindwa kuandaa viongozi wa baadae badala yake kuzalisha wahitimu wanaojipendekeza kwa wanasiasa na kuona Siasa ni ajira
Amesema hayo...
Askofu Emmaus Mwamakula ameonyesha wasiwasi wake mkubwa kuhusu tukio la utekaji lililotokea ndani ya basi la Tashriff Luxury Coach, ambapo Ali Mohamed Kibao alitekwa kwa nguvu. Katika taarifa yake ya hivi karibuni, Askofu Mwamakula amekosoa hatua zilizochukuliwa na askari mstaafu wa jeshi la...
Ndugu Watanzania!
Serikali ya Tanzania, kupitia Supplement Na. 30 imetoa Tangazo la Serikali Na. 673 la 2/9/2024 la kufuta Kata 11, Vijiji 25 na Vitongoji 96 katika Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro katika Mkoa wa Arusha. Kuna taarifa kuwa nyaraka hii inayosambaa mitandaoni kuanzia leo...
ASKOFU ATAJA USHAHIDI WA KI-BIBLIA WA KWANINI WAKRISTO HUABUDU JUMAPILI!
Kwa mujibu wa Biblia, siku ya saba ya juma ni Jumamosi, siku ya kwanza ya juma ni Jumapili. Tangu mwanzo, Wayahudi walikuwa na dini yao (Judaism) ambayo hadi leo ipo na ndio dini kuu nchini Israel. Dini nyingine katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.