mwalimu nyerere

Julius Kambarage Nyerere (Swahili pronunciation: [ˈdʒuːliəs kɑmˈbɑɾɑgə njɛˈɾɛɾɛ]; 13 April 1922 – 14 October 1999) was a Tanzanian anti-colonial activist, politician, and political theorist. He governed Tanganyika as Prime Minister from 1961 to 1962 and then as President from 1963 to 1964, after which he led its successor state, Tanzania, as President from 1964 to 1985. A founding member of the Tanganyika African National Union (TANU) party—which in 1977 became the Chama Cha Mapinduzi party—he chaired it until 1990. Ideologically an African nationalist and African socialist, he promoted a political philosophy known as Ujamaa.
Born in Butiama, then in the British colony of Tanganyika, Nyerere was the son of a Zanaki chief. After completing his schooling, he studied at Makerere College in Uganda and then Edinburgh University in Scotland. In 1952 he returned to Tanganyika, married, and worked as a teacher. In 1954, he helped form TANU, through which he campaigned for Tanganyikan independence from the British Empire. Influenced by the Indian independence leader Mahatma Gandhi, Nyerere preached non-violent protest to achieve this aim. Elected to the Legislative Council in the 1958–1959 elections, Nyerere then led TANU to victory at the 1960 general election, becoming Prime Minister. Negotiations with the British authorities resulted in Tanganyikan independence in 1961. In 1962, Tanganyika became a republic, with Nyerere elected its first president. His administration pursued decolonisation and the "Africanisation" of the civil service while promoting unity between indigenous Africans and the country's Asian and European minorities. He encouraged the formation of a one-party state and unsuccessfully pursued the Pan-Africanist formation of an East African Federation with Uganda and Kenya. A 1963 mutiny within the army was suppressed with British assistance.
Following the Zanzibar Revolution of 1964, the island of Zanzibar was unified with Tanganyika to form Tanzania. Nyerere placed a growing emphasis on national self-reliance and socialism. Although his vision of socialism differed from that promoted by Marxism–Leninism, Tanzania developed close links with Mao Zedong's Marxist–governed China. In 1967, Nyerere issued the Arusha Declaration which outlined his vision of ujamaa. Banks and other major industries and companies were nationalised; education and healthcare were significantly expanded. Renewed emphasis was placed on agricultural development through the formation of communal farms, although these reforms hampered food production and left Tanzania dependent on foreign food aid. His government provided training and aid to anti-colonialist groups fighting white-minority rule throughout southern Africa and oversaw Tanzania's 1978–1979 war with Uganda which resulted in the overthrow of Ugandan President Idi Amin. In 1985, Nyerere stood down and was succeeded by Ali Hassan Mwinyi, who reversed many of Nyerere's policies. He remained chair of Chama Cha Mapinduzi until 1990, supporting a transition to a multi-party system, and later served as mediator in attempts to end the Burundian Civil War.
Nyerere was a controversial figure. Across Africa he gained widespread respect as an anti-colonialist and in power received praise for ensuring that, unlike many of its neighbours, Tanzania remained stable and unified in the decades following independence. His construction of the one-party state and use of detention without trial led to accusations of dictatorial governance, while he has also been blamed for economic mismanagement. He is held in deep respect within Tanzania, where he is often referred to by the Swahili honorific Mwalimu ("teacher") and described as the "Father of the Nation".

View More On Wikipedia.org
  1. Maharage: Mradi wa Bwawa la Mwalimu Nyerere unaelekea kufikia 91%, matarajio ya kuanza kuzalisha umeme ni Juni 2024

    Sehemu ya Mradi wa JNHPP katika Tuta Kuu ambapo ujenzi unaendelea. Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limefanya ukaguzi na tathmini ya Mradi wa Kufua Umeme wa Bwawa la Julius Nyerere (The Julius Nyerere Hydropower Project - JNHPP) uliopo Rufiji. Akizungumza baada ya ukaguzi huo uliofanyika...
  2. R

    Unahitaji vitu VIWILI tu kutambua kuwa Hayati Magufuli na Mwalimu Nyerere ndio walikuwa marais bora kuwahi kutokea katika nchi yetu

    Habari jf , 1.Una hitaji uwe na akili kubwa sana -High IQ kama mfano wa Tundu lissu kutambua JPM alikuwa kiongozi bora na aliyeipenda Tanzania kutoka moyoni . Akili kubwa siku zote huielewa akili kubwa ,Mbali na kwamba TL katika nyakati tofauti aliwaza inawezekana JPM na Serikali yake...
  3. Mzee Butiku aigeuza Mwalimu Nyerere Foundation kutoka kuwa taasisi kubwa ya kimataifa mpaka level ya kikao Cha ukoo wa Nyerere. Ikabidhiwe UDSM

    Mwalimu Nyerere Foundation wakati inaanzishwa, ilikuwa na malengo makubwa sana. Ilivutia wafadhili, ilivutia serikali kuweka fedha. Na Kila mtu alitarajia kwamba itakuwa ndio kisima Cha mawazo ya kisiasa, kiuchumi, kijamii, kidiplomasia kwa Kila namna. Mwanzoni ilianza vizuri, kabla haijawekwa...
  4. Sheikh Mwaipopo amuonya Prof. Shivji, amwambia hajawahi kuunga mkono jambo lolote la Serikali toka enzi ya Mwalimu

    Naunga mkono hoja ya Shekh Mwaipopo. My Take Huyu Mjamaa Mzee Shivji ana mchango gani kwenye hii Nchi Hadi anastaafu? Anaejua atujuze.. Kiufupi hana tofauti na Lisu, kazi yao ni kupinga kila kitu. Watu wa hivi ni useless kwenye jamii. === Sheikh Mwaipopo amesema Shivji hajawahi kusapoti...
  5. SoC03 Ni jinsi gani Viongozi wa sasa wanaweza kurejesha Tanzania ya Viwanda ya Mwalimu Nyerere?

    Utangulizi: Tanzania ni nchi iliyojaaliwa rasilimali nyingi sana zinazofanya ionekane ni nchi yenye fursa nyingi za uwekezaji, masoko ya ndani na nje, na nguvu kazi yenye uwezo. Kwa kutumia rasilimali hizi, kuunganisha nguvu na kuchukua hatua madhubuti, Tanzania inaweza kurejesha hadhi yake...
  6. R

    Sababu hizi zitatufanya ichukue muda sana kupata viongozi kama Hayati Magufuli na Mwalimu Nyerere

    Habari JF, Ukiaachana na nguvu kubwa inatumika kuonesha umma kwa Hayati Magufuli hakufanya kitu huku vitu vinaonekana na tuhuma nzito ambazo hazina ushahidi bado haiwezi ondoa ukweli kwamba hawa viongozi wawili watabaki kuwa bora kuwahi kutokea nchini mwetu. Kwa kifupi bado tunawahitaji lakini...
  7. Ester Bulaya: Mkandarasi wa Bwawa la Mwalimu Nyerere anataka kushtaki alipwe nyongeza wakati mradi haujakamilika

    Mbunge Ester Bulaya amesema “Mkataba wa ujenzi wa Mradi wa Bwawa la Mwalimu Nyerere unaeleza mkandarasi akichelewa kukamilisha mradi anatakiwa kutozwa tozo, mradi ulitakiw akukamilika 2022 na taarifa zilizopi hautakamilika mwaka huu. Amesema hayo Bungeni na kuhoji kwanini TANESCO hawajamtoza...
  8. Ikulu ya Chamwino: Nani hasa anastahili credits?

    Zuhura Yunus ambaye ni mwandaaji wa simulizi ya Ikulu naona anaowataja ni Nyerere, Mwinyi na Kikwete. Hivi mnafikri watanzania bado wapo zama za giza? Magufuli hata msipomtaja mawe yatamtaja, Kikwete sioni mchango wake hapo.
  9. Mwalimu Nyerere: Wazanzibari hawapendelewi kwenye serikali ya Muungano; wanahaki kwani ni wabia sawia

  10. Picha ya Hemed Mashaka Mdose na Mwalimu Nyerere Kura Tatu Tabora 1958

    PICHA YA BABA WA TAIFA YA MKUTANO WA KURA TATU 1958 KUTOKA MAKTABA YA MZEE HEMEDI MASHAKA MDOSE TABORA John Iliffe alipata kusema katika miaka ya mwishoni 1960 wakati akiwa mwalimu wa historia University of East Africa, Dar es Salaam kuwa historia ya TANU iko katika mikono ya watu binafsi...
  11. Utoaji wa tuzo ya Taifa ya Mwalimu Nyerere ya Uandishi wenye Ubunifu yafana

    Viongozi mbalimbali nchini na nje ya Tanzania, wamehudhuria hafla ya utoaji tuzo ya taifa ya Mwalimu Nyerere ya Uandishi Bunifu. Hafla hiyo imefanyika leo Alhamisi 13, 2023 katika Ukumbi wa Hoteli ya Johari Rotana jijini Dar es Salaam. Miongoni mwa viongozi waliohudhuria ni Rais Mstaafu wa...
  12. CAG afichua Serikali ya Magufuli ilivyoisababishia taifa hasara ya Sh 1.7 trilioni mradi wa SGR

    Ripoti mpya ya CAG iliyotolewa Aprili 6, 2023, yasema Serikali ya Awamu ya 5 ilivunja sheria ya nchi kwenye utoaji wa kandarasi ya reli Ilikubali masharti mabovu ya Benki ya StanChart kuwapa kandarasi Waturuki kwa gharama ya juu bila tenda ya wazi ya ushindani ========= Na Waandishi Wetu...
  13. F

    Mwalimu Nyerere na Mkapa wamepumzika kwa amani, kwanini Magufuli haachwi apumzike kwa amani?

    Viongozi wetu wakuu waliokwisha kutangulia kama Mwalimu Nyerere na Mkapa wanaonekana “kupumzika kwa amani”, lakini yupo mmoja wao John Magufuli anayeonekana kutoachwa “apumzike kwa amani”. Je, Kuna nini nyuma ya jambo hili la kihistoria? Kwa mtazamo wangu Nyerere na Mkapa (kwa kiwango kikubwa)...
  14. K

    Rais Samia: Bwawa la Umeme la Mwalimu Nyerere kujaribiwa mwakani

    Rais Samia Suluhu Hassan leo ameshuhudia utiaji saini wa mikataba ya kuimarisha Gridi ya Taifa na usambazaji wa umeme Vijijini iliofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 14 Februari, 2023. Kwenye hotuba yake Rais Samia anasema wakati anakabidhiwa madaraka jambo lililokua linamuumiza kichwa ni...
  15. J

    Tundu Lissu: Msimamo wangu kuhusu vita vya Ukraine unafanana na msimamo wa Mwalimu Nyerere wakati wa vita vya Soviet Union na Czechoslovakia 1968

    Lambert alimuuliza Lissu swali la kushtukiza kuhusu msimamo wake kuhusiana na vita ya Drc na Ukraine kama angebahatika kuwa Raisi. Lissu alijibu kwa kifupi kuhusu Drc kwamba suluhisho ni kuunganisha nguvu za nchi majirani ili kupata amani nchini humo. Kuhusu vita vya Ukraine Lissu aliibua hoja...
  16. CHADEMA wanapaswa kwenda Butiama kwenye kaburi la Mwalimu Nyerere

    Kwa vile CHADEMA wapo Mara, ingefaa kama wangekwenda kulizuru kaburi la Mwalimu. Kwa sababu inafaa kama watu wanafanya shughuli za kisiasa Mara wapite kumsabahi Mwalimu. Inafaa watu wanaotaka kuongea na Watanzania,waende kwanza kumsabahi Mwalimu. Inafaa watu wanaotaka kuongea na Foreigners...
  17. Rufiji Kumenoga: TAZARA yanunua behewa la tani 200 kubebea mitambo bwawa la Mwalimu Nyerere isiyobebeka kwa barabara

    TAZARA imesema imenunua behewa lenye uwezo wa kubeba tani 200 litakalotumika kubeba mizigo ya bwawa la umeme la Mwalimu Nyerere iliyozidi uzito au upana wake unazidi kiwango cha upana unaopaswa kusafirishwa kwa barabara. Msemaji wa TAZARA amesema behewa hilo limenunuliwa kwa dola za kimarekani...
  18. Kongamano la Kodi Kitaifa, Ukumbi wa Mwalimu Nyerere, Januari 11, 2023

    Lenye lengo la kupokea maoni kuhusu maboresho mbalimbali ya tozo na ada kuelekea uandaaji wa bajeti ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2023/24 Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema maendeleo yoyote Nchini lazima yawe na uhusiano wa moja kwa moja na kodi Amesema “Kwa Nchi...
  19. V

    Kukithiri Kwa vitendo vya rushwa mradi wa bwawa la mwalimu Nyerere (Julius Nyerere hydro power project)

    Habari zenu Wana jukwaa la JamiiForums Kwanza napenda kuipongeza serikali kusimamia utekerezaji wa ujenzi wa bwawa hili kubwa nchini la kufua umeme na kutoa fursa za ajira Kwa vijana wengi wa kitanzania Lakini mradi unapoelekea kumalizika kumetokea tatizo kubwa sana la urasimu upande kupata...
  20. Bwawa la Mwalimu Nyerere kuanza kujazwa maji Desemba 22, 2022

    Ujenzi wa Bwawa hilo (JNHPP) ambao hadi Novemba 2022 ulikuwa umefikia 77.15%, unatazamiwa kufikia 80% wakati mchakato wa kujazwa maji utakapoanza. Meneja Mawasiliano wa Shirika la Umeme Tanzania TANESCO, Elihuruma Ngowi amesema “Ujazaji maji utaanza wiki ijayo Desemba 22, 2022 na siyo leo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…