mwaka

"Mwaka Moon" is a song by French rapper Kalash featuring Damso and Sfera Ebbasta released in October 2017. The song reached number one on the French Singles Chart.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Jamaa wameniaharibia Raha ya mwaka mpya na na email ya kifedhuli, hivi new year si siku ya mapumziko?

    Niliomba kazi kwenye hii taasisi wiki iliyopita Sasa Leo nakutana na email na hivi ni mwaka mpya nikajua itakua ni habari njema kumbe ni huu upuuzi 🀣🀣🀣 Thank you for the time you took to express interest in Watu. We regret to inform you that at this stage we have decided to proceed with...
  2. JamiiForums Tanzania Mwaka 2025 nawakumbusha shetani na mali zake anaaibisha, anaumiza, anatesa. Vijana tuendelee kuyatafuta maisha kwa jasho halali

    Hakuna vijana wanaopitia Magumu kama Hawa wa Dar , Vijana wa Dar wanataka mafanikio ya haraka sana, wanaumizwa wanapoona watu waliwafaham miezi michache nyuma wakiwa hawana kitu, sasa wanawaona Mitandaoni wakiwa wenye Mali, Magari mazuri, majumba mazuri. Itakufaa nini kua Utajiri wa haraka...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Muislamu anaekesha mwaka mpya kumbi za starehe ili iwe nini?

    Mwaka mpya, iwe wa Hijria au wa kawaida (Gregorian), ni fursa muhimu kwa Muislamu kujitathmini, kufanya maamuzi mapya, na kujikurubisha zaidi kwa Mwenyezi Mungu. Quran na Hadithi zinatoa miongozo ya kimaadili na kiroho ambayo inaweza kumsaidia Muislamu kutumia kipindi hiki kwa mazingatio...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Salam ya Mh.Raisi Samia kufunga mwaka 2024 haina chembe ya uwajibikaji wa serikali katika kupunguza ajali barabarani

    Matatizo ya ajali barabarani tunaweza kuyaondoa haraka endapo mamlaka za serikali zitachukua hatua leo. kama hatutabadili namna ya kufikiri itatuchukua miaka mingi sana kupunguza matatizo ya ajali Tanzania. Takwimu alizotoa rais wakati akifunga mwaka 2024 zinaonesha ajali zilizotokea ni 1735 na...
  5. JamiiForums Tanzania Ukifanya Mambo Haya 50 Utafanikiwa Sana Mwaka Huu

    Hakuna mtu asiyependa kufanikiwa kikazi, kielimu, kibiashara, kiafya, katika ndoa nk. Mwaka unapoanza watu wengi huwa wanajiwekea mipango na mikakati ili wapate mafanikio. Hapa nakuorodheshea mambo 50 yatakayokuwezesha kuona amani, baraka na mafanikio ukiyafanya. Mwishoni nitakueleza kwanini...
  6. JamiiForums Tanzania Mwaka 2025 ni mwaka wa mahesabu makali, usiogope

  7. JamiiForums Tanzania Hongera R.C Makonda Arusha imesheherekea Mwaka mpya bila vurugu

    Mojawapo ya jukumu la Mkuu wa Mkoa ni kuhakikisha Amani na utulivu unatamalaki. Mkoa wa Arusha uliwahi kusifika kwa uhalifu na hususani uhalifu nyakati za sikukuu na nyakati za usiku. Kwa mara ya kwanza katika historia tumejionea Watu wenye haiba mchanganyiko,dini mbalimbali ,vipato...
  8. JamiiForums Tanzania Mwaka mpya umekukuta wapi na ukifanya nini?

    Heri ya mwaka mpya 2025. Nimejiuliza ni namna gani kila mmoja wetu alivyoupokea mwaka nikagundua kila mmoja atakuwa ameupokea akiwa katika situation fulani. Kuna waliokuwa kwenye bata, wengine nyumbani na familia, wengine hospital, wengine safarini, wengine kazini n.k Hebu share na sisi hapa...
  9. JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi kwa sisi tusio wa dini ya Kikristo kusheherekea Mwaka Mpya?

    Huu mwaka siyo wetu...ni Mwaka wa Kikafir kabisa. Si kama kwenye Kalenda yetu. Nashangaa naona watu wanatakiana heri na fanaka.
  10. J

    JamiiForums Tanzania Ujumbe wa mwaka 2025 kutoka kwa Mwenyekiti wa UVCCM Taifa kwa Vijana wa Kitanzania

    UJUMBE WA MWAKA MPYA 2025 KWA VIJANA WENZANGU WA KITANZANIA Na Mohamed Ali Kawaida, Mwenyekiti wa UVCCM Taifa Ndugu vijana wenzangu! Tukiwa tunaanza safari ya mwaka mpya wa 2025, nipende kutumia fursa hii kuwatakia heri ya mwaka mpya, afya njema, na mafanikio tele. Mwaka mpya ni fursa mpya...
  11. JamiiForums Tanzania Mtazamo;Unapoingia mwaka mpya na kutimiza miaka kadhaa unatakiwa usikitike na kutafakari nyakati zako na sio kusherekea......

    Habari za muda huu waungwana..... Mimi nadhani maisha ya kiumbe mwanadamu hapa duniani yamekuja mfano wa simu iliyojaa chaji na kutolewa kwenye chaji pindi anapozaliwa kutoka tumboni kwa mama yake....... Na chaji hutumika na kupungua kwa kadri anavyoziiishi nyakati zake hapa duniani.....na...
  12. JamiiForums Tanzania Mwaka mpya uswazi

    Leo mimi na mke wangu mkubwa,tuliamua kuupokea mwaka 2025 kwenye baa moja hapa mwanza uswazi,kwakuwa hatukuwa na kipato cha kutosha.Tumekunywa bia za Tanzania na kuku wa kienyeji na tumefurahi sana,tukampigia simu mke wangu mdogo ambae yuko nje ya nchi na watoto wetu pia wote tukaongea...
  13. G

    JamiiForums Tanzania Kama umeanza mwaka 2025 ukiwa na zile nywele zenye jina baya hutoboi, utatoboka.!

    Hizo nywele za katikati ya miguu, zina balaa na mikosi kibao. Na ndiyo maana saloon zote duniani hazikubali kutoa huduma ya kuzinyoa hizo nywele. Imekula kwako kama umeingia na nywele hizo mwaka 2025.
  14. JamiiForums Tanzania Oh Mungu wajalie waja wako, waoe na kuolewa mwaka huu

    Kila anayehangaika kupata mwenza ili aoe au aolewe, mwaka huu afanikiwe na sote humu pia tuwasaidie, watimize lengo lao.
  15. JamiiForums Tanzania Heri ya Mwaka Mpya 2025

    Wapendwa Wana Jukwaa letu pendwa, salaam. Sisi familia ya Advocate Gwajima, tunawashukuru sana kwa ushirikiano wenu na upendo wenu kipindi chote cha mwaka 2024. Tunawatakia Heri ya Mwaka Mpya 2025 na Baraka tele mwanzo hadi mwisho wa mwaka huu. Tunawaombea na kuwatakia Upendo, Furaha na Amani...
  16. JamiiForums Tanzania Wakuu huu mwaka 2025 unapoenda sehemu iwe barber shop, restaurant etc, kabla yakupata huduma ni bora ukauliza kwanza bei yalinikuta

    Niliwahi kuingia barbershop moja humu ndani kuna full kiyoyozi huduma si mchezo masaa mawili kinyozi anakunyoa hana haraka. Nikanyoa si unajua tena wadada wa barber shop kaka uso wako una mafuta sana ngoja tukusafishe uso, nikatoka nimeg’aa ile mbaya, ikaja bill macho yalinitoka 45000. Uzuri...
  17. G

    JamiiForums Tanzania Mliozaliwa 1965, 1975, 1985, 1995, 2005 huu ndio mwaka wenu wa kupanda ghorofa / floor mpya

    2005 - second floor, mmekuwa teenagers tangu 13 (thir-teen) hadi 19 (nine-teen), karibuni 20s 1995 - karibu ghorofa ya tatu, najua umestuka sana jinsi miaka ilivyoenda speed, 1985 - 4 th Floor, ujana kwaheri japo mtaufosi 1975 - 5th floor, hongera umeishi nusu karne 1965 - 6 th Floor, Anza...
  18. JamiiForums Tanzania Dakika 13 za kwanza za mwaka mpya kwa ajili ya Maombi ya ushindi kwa Tundu Lissu

    Mungu aifanye roho ya Freeman Mbowe kuwa yenye kuridhika - Mungu anapomuinua Tundu Lissu aifanye njia yake ya uongozi kuzingatia:- * Kutozidisha miaka 10 katika uongozi huo; * Kuamini kuwa mbali yake wapo wafuasi wengi wenye uwezo wa kuongoza taasisi hiyo; * Afahamu kuwa taasisi hiyo siyo ya...
  19. JamiiForums Tanzania Heri ya mwaka mpya 2025

    πŸŽ‡πŸŽ†πŸŽ‡πŸŽ† Heri ya mwaka mpya, Napenda kuwatakia heri ya mwaka mpya 2025 kwa uongozi wote wa JamiiForums na members wote wa JamiiForums mkawe na mafanikio mema 2025, Mungu awajazie pale palipo pungua. Mapambano lazima yaendelee πŸ›‘οΈβš”οΈ. Muwe na mafanikio mema 2025. πŸŽ†πŸŽ‰β™₯️🧨🎈β™₯οΈπŸŽŠπŸŽ‡ πŸŽ‡πŸŽŠβ™₯️KARIBUβ™₯οΈπŸŽ‰πŸŽ† πŸŽ†πŸŽ‰β™₯️ 2025...
  20. Z

    JamiiForums Tanzania Mambo ambayo sitaki nifanye mwaka huu mpya (baadhi nilihaidi sitafanya ila nikafanya)

    1.punyeto 2.uvivu 3.kutoa bikra 4.mademu chuma ulete 5.stress i will live the way i want 6.pombe 7.kucare watu N.k Sema yako
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…