mwaka

"Mwaka Moon" is a song by French rapper Kalash featuring Damso and Sfera Ebbasta released in October 2017. The song reached number one on the French Singles Chart.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Je! Bei ya gesi ikoje mtaani kwenu baada ya kupita Kwa bajeti mpya Kwa Mwaka 2025/2026?

    Julai mosi, 2025 bajeti ya mwaka 2025/2026 ilipitishwa na Bunge letu; moja ya mambo yaliyopitiwa ni kuondole kwa ushuru wa ongezeko la thamani (VAT) Kwenye gesi za kupikia (LPG); kusudi lilikua kuhamasisha matumizi ya gesi badala ya nishati kama kuni na mkaa, kama njia ya kupunguza uharibifu wa...
  2. JamiiForums Tanzania Kutoka mtaji wa elfu 50 mpaka milioni 10 ndani ya mwaka mmoja hii kitalaamu tunaitaje.?

    Watalaamu wa uchumi mkuje. Content Credit: Kelvin Kibenje
  3. JamiiForums Tanzania Simba Yashika Nafasi ya 05 kwa Ubora Yanga Wakiwa 12 Kwa Mwaka 2025

    Klabu ya Simba SC imeshika nafasi ya tano kwenye orodha ya vilabu bora Barani Afrika kwa mujibu wa viwango vipya vilivyotolewa na Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF). Simba SC wamekusanya jumla ya alama 48, wakizidi vilabu vikubwa kama Pyramids FC, Wydad Athletic Club na Zamalek SC ambavyo...
  4. JamiiForums Tanzania GE2025 Ukweli ulio mchungu: Uchaguzi wa Wabunge na Madiwani mwaka huu ndio unakamilika siku ya leo kwa asilimia karibu ya 98%.

    Wanabodi, Kutokana na hali ya kisiasa nchini kwetu, huo ndio ukweli. Ukubali au ukatae, wajumbe wakishapitisha majina, hayo majina kwa asilimia kama 98% au 99% ndio wawakilishi tutakaokuwa nao kwa miaka mitano ijayo. Ama kweli SIASA si HASA.
  5. JamiiForums Tanzania MH Polepole atoboa Siri : Mwaka 2015 bila Mstaafu Mkapa kusimama kidete , Wahuni walitaka kumpachika MTU wao kama Rais!

    Watanzania Sasa mnaelewa ni kwanini Vigo vya JPM vilitanguliwa na VIFO vya Mkapa!!. Rais Nyerere aliwakataa Mzee Kikwete na Lowassa kua Marais wa Nchi akiwaita Wahuni.
  6. JamiiForums Tanzania Polepole: wahuni wamevamia chama na wanataka kujimilikisha nchi mwaka 1995 walishindwa 2005 wakajaribu na 2015 walijaribu mkapa akazuia:

    Aliyekuwa balozi nchini CUBA katika mtandao wake wa facebook amenena maneno mazito kwa nchi ya tanzania kwa kusema kwamba nimhimu sana kupigania chama na nchi kwa ujumla kwani kwa sasa wahuni wamevamia chama na wanatengeneza mkakati wa kujilimikisha nchi na ametaja mikakati hiyo ambayo...
  7. JamiiForums Tanzania Tayari huyu mpenzi wangu kaniahidi kunizalia mtoto kabla ya uchaguzi mkuu wa ndani wa CCM mwaka 2027

    Wakuu ninaandika huu uzi nikiwa na furaha isiyoelezeka. Habari inahusu huyu mpenzi wangu niliyemtolea taarifa kwenye huu uzi; Taarifa kwa Umma: Nimezama kwenye penzi la single mama Baada ya majadiliano ya kina huyu bibie kaahidi Mungu akipenda kunipatia mtoto kabla ya uchaguzi mkuu wa ndani wa...
  8. JamiiForums Tanzania Kila mtu Tanga anamiliki TZS3,204,244 kwa mwaka

    === Rais Samia Katika kipindi hiki cha Serikali ya Awamu ya Sita, Mkoa wa Tanga umepokea shilingi 3,091,742,180,252.12 (trilioni 3.091) kwa ajili ya utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo ya kisekta, ikijumuisha sekta za huduma za kijamii, uchumi, miundombinu na mazingira, hali...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Sajili domain yako ya .com sasa kwa TZS 15,000 tu kwa mwaka.

    Tunakuletea ofa ya kipekee – .COM kwa TZS 15,000 tu kwa mwaka! Anza safari yako ya mtandaoni leo. Iwe ni kwa biashara, blogu au jina lako binafsi – jina sahihi la domain linakupa hadhi mtandaoni. Usikose nafasi hii, ofa ni ya muda mfupi tu! Tembelea www.jamiisoft.com au tupigie kwa maelezo...
  10. JamiiForums Tanzania Tathmini ya Huduma za Baraza la Famasi kwa Mwaka 2024/25

    Tunaomba ujaze dodoso ili tupate maoni kwa ajili ya kuboresha huduma zinazotolewa na Baraza.
  11. R

    JamiiForums Tanzania Kamala Harris atangaza kutogombea nafasi ya Ugavana wa California uchaguzi ujao

    Makamu wa Rais wa zamani wa Marekani kutoka chama cha Democratic, Kamala Harris, ametangaza kuwa hatagombea nafasi ya Ugavana wa California, akivunja uvumi uliokuwa ukienea kwamba huenda akawania nafasi hiyo yenye ushawishi mkubwa Harris amesema amefanya tafakari ya kina kuhusu suala hilo na...
  12. JamiiForums Tanzania Chini ya Rais Samia Pato la Mkoa wa Kigoma ni zaidi ya Bajeti ya majirani zetu wa Burundi sasa Kila mwanakigoma anapato la TZS2,400,000 kwa mwaka

    Chini ya Rais Samia Pato la Mkoa wa Kigoma ni juu ya Bajeti ya nchi ya Burundi, Pato la mtu mmoja mmoja lafikia milioni 2.4. Chini ya Rais Samia hali ya Uchumi ya Mkoa imeendelea kuimarika ambapo pato la Mkoa limeongezeka kutoka shilingi Trilioni 4.1 mwaka 2020 hadi shilingi Trilioni 5.6 mwaka...
  13. JamiiForums Tanzania Viashiria muhimu vya kifedha kutoka kwenye taarifa ya kifedha ya CRDB kwa robo ya pili ya mwaka 2025 (Q2 2025) - Unaudited Financial Statements)

    ■ Faida baada ya kodi (Q2 2025): TZS 346 Bilioni, ikilinganishwa na TZS 275 Bilioni kwa Q2 2024. 📈 Imeongezeka kwa 26% – hii inaonyesha ukuaji mzuri wa faida ya kampuni. ■ Interest Income (Mapato yanayotakana na riba za mikopo) Yameongezeka hadi TZS 904 Bilioni kwa nusu ya mwaka (Jan-Jun 2025)...
  14. JamiiForums Tanzania GE2025 Wajumbe ni WATU NA NUSU. Hatima ya utawala bora iko mikononi mwenu kuelekea Uchaguzi Mkuu mwaka huu (Upande wa CCM)

    Ni nani wajumbe hao? Ni walioko kwenye Kamati Kuu ya CCM Taifa (National Executive Council – NEC), pamoja na wajumbe maalum wa kutoka mikoa (Wilaya/Mkoa) na vyama vya UWT, UVCCM, Wazazi nk, ambao wako kwenye ngazi za uchaguzi wa ndani. CCM imeongeza idadi na nafasi kwa wajumbe kutoka vikao vya...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Mkopo wa Milioni 50 NMB na CRDB riba yake ni kiasi gani kwa mwaka?

    Habari wadau, Naulizia, hivi mkopo wa 50m kwa hizi bank NMB na CRDB kwa mwaka riba yake ni kiasi gani?
  16. JamiiForums Tanzania Uchaguzi wa Mwaka huu hauna mvutooo

    Wanajumuia . Salamu kwenuu Leo nimetafakari sanaa. Lkn mwisho wa siku nikagundua UCHAGUZI WA MWAKA HUU HAUNA MVUTOO KABISAAA . NAONA TUME INAFANYA TUU ILIKUFATA UTARATIBU NA MAELEKEZOO. HUKO CCM UNAONA WENYE MAAMUZI WENYEWE HAWANA NURU WAPO TUU WAMEPOWA KAMA PIRITON WAPO TUU KUTIMIZA WAJIBU
  17. JamiiForums Tanzania Mwaka 2022 niliwapekea udsm proposal ya kutengeneza dawa ya Corona wakaikataa- Moja ya sababu iliyoni-inspired kuwa na ndoto za uRais wa Tanzania

    ###Lengo la uzi halina kusudi la kuisema vibaya taasisi ya UDSM bali unaelezea LIFE EXPERIENCE### Corona hiyo inaanza mwaka 2019 mwishoni inaenda weweee zinafanyika jitihada nyingi za kutengeneza dawa mda sisi nchi za afrika tumebakia kama onlookers zinafanikiwa mwaka 2021 Kwanin ilikuwa UDSM...
  18. JamiiForums Tanzania Golden gate in Jerusalem lililofungwa mwaka 1300.

    Sababu za kufungwa:- **** It was believed that Jesus will enter through that gate in His Second Coming -- so the Muslims closed the gates.
  19. JamiiForums Tanzania CCM Mwaka huu wakitoboa ntatembea kwa miguu toka Mwanza to Dar kwa miguu

    Dalili xote znaonesha chama pendwa Tanzania yaani CCM mwaka huu kinaenda kusambaratika. Mwaka huu tutegemee anguko kubwa la CCM. Uhai wa CCM wa miaka 48 umefika mwisho. Kifo chochote kiwe cha Bin-adamu, iwe ni mnyama,iwe ni mmea au Taasisi yoyote, Mungu ndiye anayepanga. Pamoja na hila zoote...
  20. JamiiForums Tanzania GE2025 Kuna mtu huu mwaka utamwishia vibaya sana

    Wakuu mpo wazima hapa. Leo nimewaza tu. 1. Kuna mtu ana jikuta yeye ni NYERERE wa sasa hivi hapa jamhuri ya muungano wa Tanzania 2. Kuna mtu hataki kustaafu. Analazimisha mambo kwa utashi wake na manufaa yake na familia yake. 3. Kuna mtu ameonesha udalali wake wazi wazi. Kashindwa ndani ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…