mwaka

"Mwaka Moon" is a song by French rapper Kalash featuring Damso and Sfera Ebbasta released in October 2017. The song reached number one on the French Singles Chart.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Weekend nyingine mbaya kwa Man City na Liverpool. Huu mwaka wa Arsenal. Period!

    “Hali inazidi kua mbaya. Ata baada ya mapunziko marefu ya EPL bado kuna team zinapwetapweta. Walibebwa sana misimu iliopita na system ila sasa ukweli unajiweka wazi. “ -Kuna mlevi anaongea hapa. Nimemnukuu.
  2. W

    JamiiForums Tanzania Ni kumbukumbu gani Mwaka 2025 unakuachia ambazo unadhani hautaweza kusahau?

    Takriban wiki 6 zimesalia kuumaliza mwaka 2025, bila shaka kuna matukio mengi mazuri na mengine magumu umekutana nayo mwaka huu Kati ya matukio hayo ni yapi unadhani hautaweza kuyasahau kabisa?
  3. JamiiForums Tanzania Hii Hapa Orodha ya Washindi wa Tuzo za CAF Kwa Mwaka 2025

    LIST NZIMA YA WASHINDI WA TUZO ZA CAF 2025 ✅Mshambuliaji wa Pyramids na timu ya taifa ya DR Congo, Fiston Kalala Mayele ametwaa tuzo ya mchezaji bora wa mwaka 2025 barani Afrika kwa wachezaji wanaocheza soka ndani ya bara la Afrika. ✅Beki wa Timu ya Taifa ya Morocco na PSG Achraf Hakimi ndiye...
  4. JamiiForums Tanzania 2025 ni mwaka ulioongeza watoto yatima

    Kwasababu waliouwawa wengi ni vijana, halafu pili wengi wao walikuwa wanaishi mjini, halafu tatu maisha ya mjini yalivyo magumu, na halafu nne baba ndiye nguzo kuu ya familia. Basi watoto wa mtaani wataongezeka kuanzia sasa na kuendelea, maana kuna wengine wameachwa na mimba.
  5. JamiiForums Tanzania Tetesi: Kumbe yule mkuu wa kikosi Cha watekaji anaitumikia Rwanda toka mwaka 2007?

    Kuna mtu maarufu Sana katika utekaji kumbe ni mfanyakazi mtiifu wa kagame Wanamtandao wamemtumia bila kumfahamu vizuri kwa sababu ya kutanguliza maslahi ya matumbo yao mbele Nawaambia Samia asipojiuzulu kabla ya tarehe 9/12 Tanzania inaenda kuungua. Hii taarifa nimeipata kutoka ndani ya idara...
  6. I

    JamiiForums Tanzania Jeshi 10 bora zaidi barani Afrika mwaka 2025, uwezo, nguvukazi na bajeti

    Faharasa hupima nguvu kazi, vifaa, na rasilimali za kifedha ili kutoa “Kielezo cha Nguvu” linganishi. Katika ripoti hii, tunaangazia mataifa 10 yenye majeshi bora zaidi barani Afrika, tukielezea uwezo na nguvu zao muhimu, pamoja na takwimu za hivi punde za bajeti ya ulinzi kwa dola za...
  7. JamiiForums Tanzania Ukisoma Historia ya Tanzania toka mwaka 1961 mpaka sasa, Tanzania si nchi ya kutishwa na Gen Z, hawa wanadhibitiwa na migambo tu na Dunia ione

    Duniani hakuna adui mkubwa Wala mdogo lipokuja swala la amani ya Taifa, Leo tunaona wageni wanafanya vurugu nchini huu uhuru wanautoa wapi? Tuionyeshe kuwa Tanzania si nchi ya kuichezea kiusalama, waone umoja wa waTZ tukipigania masilahi ya Taifa letu. Ni muda Sasa wa kuionyesha Dunia kuwa...
  8. JamiiForums Tanzania Orodha ya mawaziri wakuu wa Tanzania tangu mwaka 1961

    Hii ndiyo orodha ya Mawaziri Wakuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania tangu nchi ilipopata uhuru mwaka 1961. Tanzania imekuwa na jumla ya Mawaziri Wakuu 12 hadi sasa, na hii leo, Novemba 13, 2025, Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania linatarajiwa kupokea jina la Waziri Mkuu mpya, ambaye...
  9. JamiiForums Tanzania Naweza kusoma nikiwa kazini Diploma za Sayansi kwa ufaulu huu kidato cha sita wa mwaka 2014?

    Habari za muda huu ndugu wana jukwaa. Niende moja kwa moja kwenye mada; nilihitimu kidato cha sita mwaka 2014 mchepuo wa PCM na kupata alama zifuatazo; Physics- D Chemistry- E Advanced Mathematics-E General Studies- D ( japo haina maana). Baada ya matokeo hayo yasiyoridhisha nikajikatia tamaa...
  10. JamiiForums Tanzania USHAURI: Nifanyeje kupata mkopo wa HESLB ili nianze kusoma diploma ya afya mwaka huu 2025 ?

    Pole kwetu wote kwa msiba mzito uliolipata Taifa letu mwaka huu, mwenyezi Mungu awarehemu ndugu zetu waliotangulia mbele za haki, Amina 🙏. Enyi viongozi, muwe na hekima, madaraka ni ya kupita tuu, tutakufa tunaacha vyote hapa duniani tupendane tuu ndugu. Sasa, nilifanya mtihani wa kidato cha...
  11. JamiiForums Tanzania Orodha ya Wasaliti Wakuu Wa Taifa la Tanzania Waliolitumbukiza Kwenye Machafuko ya Mwaka 2025!

    Kwa maoni yangu, wafuatao ndio wasaliti wakuu waliolitumbukiza taifa letu kwenye machafuko lililomo hivi sasa. Wapo wengi, lakini mchango wa hawa ndio mkubwa zaidi. 1. Jakaya Mrisho Kikwete 2. Samia Suluhu Hassan 3. Hamza Johari (Attorney General) 4. Francis Mutungi (Msajili, Vyama Vya Siasa)...
  12. JamiiForums Tanzania Uchaguzi wa mwaka huu umeheshimu madhehebu ya kikristu umefanyika katikati ya wiki

    Mojawapo ya manunguniko ya muda mrefu ni madhehebu ya dini ya kikristu kukosa fursa pale ambapo uchaguzi ulikuwa ukifanyika siku za Ibada hususani jumapili. Niwapongeze INEC kuchukua maoni ya viongozi wa dini na madhehebu mbalimbali na kutenga siku ya katikati ya wiki.
  13. JamiiForums Tanzania Alaah Salah kiongozi wa Gen Z wa Sudan mwaka 2019, na je amefanikiwa kiasi gani kuijenga Sudan mpya

    Maaka 2019 Alaah Salah alikuwa na umri wa miaka 22 huku akiwa mwanafunzi wa mwaka wa 2 pale University of Sudan. Aliongoza na kuhamasisha maandamano yaliyomtoa Omar Bashir madarakani. Mpaka sasa Omar Bashir yuko kifungoni akitumikia adhabu ya makosa ya jinai aliyotenda. Hapo awali Sudan...
  14. JamiiForums Tanzania Mwaka huu watu wa diploma wanaoenda Bachelor hamna mkopo

    Kila mtu wa diploma ninayr mfahamu hamna aliyepata hata aliye weka cheti cha kifo . Ni kazi kweli kweli kama mikopo ni ya form six tu waseme
  15. JamiiForums Tanzania Silver Strikers leo ikishinda nipigwe Ban mwaka huu wote

    Hii match tumeimaliza nje ya Uwanja. Na ubao unasoma tuna goals zisizopungua 3. Leo hawa madogo wanapigika kinyama hasa. Wameshakubali matokeo. Sisi tupo vizuri na tunaingia uwanjani kuwachakaza hasa. Wanayanga njooni kwa wingi ushindi ni kama pai 22/7 haibadiliki
  16. JamiiForums Tanzania Yasipofanyika maandamano mwaka huu itakuwa ni aibu ya karne na kuitia aibu dunia

    Dunia nzima inaitazama Tanzania Majirani zetu Kenya wanatutazama Tayari walishaatuonesha njia Ila vijana wa Tanzania wanatia mashaka Nafsi yangu inaniambia wataandamana wachache na watachapika vibaya sana. mchana mwema!
  17. JamiiForums Tanzania Tukiwa tumebakiza miezi miwili ya kumaliza mwaka, hadi sasa tukiwa ukingoni, huu ndio uzi wa ovyo wa mwaka huu kwa upande wangu

    👇🏻👇🏻👇🏻 "Uislamu hauruhusu mambo haya dhidi ya Mtawala: Kumkosoa hadharani, kumdhalilisha, kufanya maandamano na kutoka dhidi yake" https://www.jamiiforums.com/threads/uislamu-hauruhusu-mambo-haya-dhidi-ya-mtawala-kumkosoa-hadharani-kumdhalilisha-kufanya-maandamano-na-kutoka-dhidi-yake.2346643/...
  18. JamiiForums Tanzania Shikamoo mama mara ya mwisho ulienda Sumbawanga mwaka 1997?

  19. JamiiForums Tanzania GE2025 Nitasamehewa na Historia? Sitoshiriki Kupiga Kura Uchaguzi wa Mwaka Huu 2025

    Mwaka 2025 umekuja na msisimko mkubwa wa kisiasa nchini Tanzania. Ni mwaka wa uchaguzi mkuu, kipindi ambacho Watanzania wanapata fursa ya kikatiba kumchagua kiongozi wao mkuu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania pamoja na wabunge na madiwani. Lakini kwa mara ya kwanza tangu nianze kushiriki...
  20. JamiiForums Tanzania Mwaka wa uchaguzi, mitihani huwa rahisi au matokeo huboreshwa ili kuvutia wapiga kura.

    Wanafunzi pamoja na jamii huamini kwamba mwaka wa uchaguzi, mitihani huwa rahisi au matokeo huboreshwa ili kuvutia wapiga kura. Je, hii ni kweli? Au ni kasumba isiyo na ushahidi? Wengine huamini kwamba serikali haitaki lawama mwaka wa uchaguzi na matokeo mazuri huongeza mvuto kisiasa. Lakini...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…