muziki wa tanzania

Muziki wa dansi (in Swahili: "dance music"), or simply dansi, is a Tanzanian music genre, derivative of Congolese soukous and Congolese rumba. It is sometimes called Swahili jazz because most dansi lyrics are in Swahili, and "jazz" is an umbrella term used in Central and Eastern Africa to refer to soukous, highlife, and other dance music and big band genres. Muziki wa dansi can also be referred to as Tanzanian rumba, as "african rumba" is another name for soukous.
Muziki wa dansi began in the 1930s in the Dar es Salaam area (where most dansi bands come from), and it is still popular in Tanzania, although new generations are more likely to listen to bongo flava or other forms of pop music. Notable dansi bands include DDC Mlimani Park, International Orchestra Safari Sound, Juwata Jazz, Maquis Original, Super Matimila, and Vijana Jazz.

View More On Wikipedia.org
  1. Alexido jz instagram

    JamiiForums Tanzania Mimi ndio mfalme wa muziki aina ya Bongo Piano

    Sijigambi sijitapi lakini baada ya kusikiliza kichupa nilicho kianda itoshe kusema NIMEJITAWADHA RASMI kuwa Mimi ni mfalme wa wafalme king of BONGO la PIANO, huu ni mziki MPYA nilio uvumbua Mimi mfalme ALEXIDO JZ, nikichanganya Radha tofauti tofauti chocolate na maziwa kwenye beats za BONGO LA...
  2. Vien

    JamiiForums Tanzania Huyu ndiyo Msanii aliyedharaulika zaidi kwenye muziki wa Tanzania? – Kisa cha Rashidi Ziada (KR)

    Ukizungumzia wasanii ambao hawajawahi kupewa heshima inayolingana na mchango wao kwenye muziki wa Tanzania, kwangu jina la kwanza ni Rashidi Ziada (KR). KR alianza muziki tangu miaka ya 90. Amepitia makundi mbalimbali kama GWM, Wachuja Nafaka, hadi kuwa sehemu ya TMK Wanaume Family. Licha ya...
  3. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kenya wanajitahidi kutumia udhaifu na mabaya ya nchi yetu kuzamisha maeneo tunayoonyesha kuwazidi kama upande wa Sanaa na burudani

    Hamjambo wote! 1. Juzi nilibahatika kuwa Nairobi, usiku nilienda K1 Klub House maarufu kama Kimoja cha nguvu. Ambayo ni moja ya night club yenye vibes la kutosha Nairobi. Hasa Siku ya Jumanne. 2. Nikiwa na mwenyeji wangu. Nilifurahia uwepo WA watoto wakali hasa wakisomali waliokuwa wakicheza...
Back
Top Bottom