muwekezaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kumfunga pingu Mwekezaji wa Mabasi ya Tilisho ni udhalilishaji, Vitisho na Ulevi wa madaraka

    Baada ya mkurugenzi wa mabasi ya Tilisho Safari aitwae John Tilisho (aliyevaa suti[angalia chini kwenye Video] ), kufungwa pingu kwa madai ya kukaidi agizo la uongozi wa Juu wa mkoa wa Dar es Salaam kuhusu stendi ya kimataifa ya Magufuli, Mkuu wa Mkoa wa Dar bwana Chalamila kasema; "...kama...
  2. JamiiForums Tanzania Je hili lipo sawa muwekezaji kutoa sharti la namna hii?

    ๐ƒ๐€๐๐†๐Ž๐“๐„ ๐–๐€๐๐“๐’ ๐๐‘๐Ž๐“๐„๐‚๐“๐ˆ๐Ž๐ | ๐Ÿ›ข ๐—”๐—น๐—ถ๐—ธ๐—ผ ๐——๐—ฎ๐—ป๐—ด๐—ผ๐˜๐—ฒ wants to build a mega oil refinery in Lamu. But there's a catch: They want government protection first. Dangote wants govt to block cheap imported fuel so his Lamu refinery can survive. No company will build for 5+ years if imports can undercut them...
  3. JamiiForums Tanzania Kama mahakama zetu hizi zinaendeshwa na wati sizani kama mtu mwenye akili ambaye muwekezaji anaweza kuweka mali zake labda naye yupo kwenye huyo mtu

    Wanacho jisahau CCM na Jaji mkuu wanahisi mwisho kukutana na maswali ni hapa ndani nchini. Mahakama zetu na jaji mkuu ili muwe na sifa kesho mfano mumeenda mkutano wa majaji duniani ukaulizwa kesi ya lisu utasema amani. Wawekezaji wa kubwa wanaangali kwanza mahakama zetu na wakiona mwenendo...
  4. JamiiForums Tanzania Natafuta mwekezaji tufanye utafiti wa dhahabu kwenye shamba langu

    Wakuu rejea kichwa cha habari hapo. Nina tafuta mtu aliye tayari tufanye utafiti wa kuchimba dhahabu kwenye shamba langu. Jirani na shamba langu Kuna mgodi unaendelea, hivyo na Mimi naitaji kuanza kuanza utafiti. Aliye tayari aje inbox tuwasiliane. Location ni kanda ya ziwa mkoa wa Mara.
  5. JamiiForums Tanzania Kulikuwa na haja gani kumfuata Muwekezaji na makamera maiki wakati kuna wataalamu waliopaswa kuhojiwa?

    Lack of sense. Yaani kukosa akili ya kuweza kug'amua mambo ya msingi kama mtu makini. Ni upumbavu na upuuzi. Wataalamu waliochini ya halmsahauri wote wanalipoti kwa baraza la madiwani. Msukuma na kamati yake walishindwa vipi kuwahoji hawa wataalamu kwanza? Kwa nini mwekezaji ajenge bila...
  6. JamiiForums Tanzania Mwekezaji kwa Tanzania ni mtu wa aina gani?

    Hivi muwekezaji hapa Tanzania ni mtu wa aina gani au anakuwa na vigezo vipi? Mfano Katika video iliyosambaa mtandaoni ya mbunge wa CCM Musukuma akipigana mtu anayepigana anaitwa Muwekezaji, ukisikiliza hiyo story huyo anayeitwa Muwekezaji anajenga fremu za maduka! Kiluwa anayefanya udalali wa...
  7. JamiiForums Tanzania Je, wewe kama muwekezaji kwenye soko la hisa unafahamu maana ya return on equity (roe)?:twende pamoja ๐Ÿ‘‡

    ๐Ÿ”‘ RETURN ON EQUITY (ROE) ๐Ÿ‘‰ ROE ni kipimo kinachoonesha uwezo wa kampuni kutumia mtaji wa wanahisa (shareholdersโ€™ equity) kutengeneza faida. Kwa lugha rahisi, ni kipimo kinachojibu swali: โ€œKila shilingi moja iliyowekezwa na wanahisa, kampuni inaleta faida kiasi gani?โ€ ๐Ÿ“Œ Jinsi ya kuipata ROE...
  8. JamiiForums Tanzania Anahitajika muwekezaji au mnunuzi wa mgodi wenye riport zote za exploration upo Geita

    Kama kichwa cha habari kinavyosema nahitaji muwekezaji au mnunuzi WA mgodi, mgodi huu umefanyiwa drilling hivyo sample na majibu ya sample vyote vipo. Alie na connection anitafute DM
  9. B

    JamiiForums Tanzania Nahitaji muwekezaji katika video production!!

    Naitwa Andrew naishi Dar es salaam,nafanya video production na picha najitaji muwekezaji wa kufungua ofisi kwa mkataba atakaekuwa tayari namba yangu hii-0774179495 au anicheki DM
  10. JamiiForums Tanzania Nina wazo la biashara mlimani City natafuta muwekezaji, wazo zuri ninalo

    Nina wazo la biashara mlimani City natafuta muwekezaji, wazo zuri ninalo Naishi mkoa wa Dar es salaam -> mawasiliano: inbox
  11. JamiiForums Tanzania Mgodi wa dhahabu unatafuta muwekezaji au mnunuzi mkoa wa Mtwara

    RIPOTI FUPI YA UHITAJI WA UWEKEZAJI AU MNUNUZI WA MGODI WA DHAHABU Historia: mgodi una leseni PMLs na ziko tatu zilizo ungana pamoja Mgodi ulianza rasmi shughuli za uchimbaji mwaka 2019. Ni mgodi mpya ambao bado haujafikia uchimbaji wa kina, kwani uchimbaji upo kwenye miamba laini karibu na...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kamati yafichua wananchi waliopigwa risasi na kujeruhiwa na muwekezaji

    kamati ya bunge imebainisha vitendo vya uvunjifu wa haki za binadamu vinavyofanywa na na walinzi wa malonje na kua vitendo hivyo vinatokana na miongozo kutoka kwa wamiliki wa shamba hilo, amesema kua kamati imebaini kuwepo na vurugu kati ya walinzi wa shamba la malonje na wananchi wa vijiji...
  13. JamiiForums Tanzania Serikali inatafuta muwekezaji wa kukifufua kiwanda cha matairi cha General Tyre, atakikodisha kwa miaka 33

    Serikali ya Tanzania inatafuta muwekezaji wa kukifufua kiwanda cha kutengeneza matairi kilichopo jijini Arusha cha General Tyre kuhudumia soko la ndani na kanda. Uhuishaji wa General Tyre East Afrika(GTEA) kilichoanzishwa miaka 55 iliyopita unalenga uzalishaji wa matairi milioni moja kwa mwaka...
  14. JamiiForums Tanzania Dar: Wananchi wamelalamikia kujengwa kwa Kituo cha kuuza mafuta cha Barrel Petrol Station karibu na makazi yao

    Wananchi wakazi wa Mtaa wa Ally Hassan Mwinyi, Kata ya Mikocheni wilayani Kinondoni Dar es Salaam wamelalamikia kujengwa kwa Kituo cha kuuza mafuta cha Barrel Petrol Station karibu na makazi yao. Kituo hicho kinajengwa katika Barabara ya Senga, Mtaa wa Ally Hassan Mwinyi Kata ya Mikocheni...
  15. JamiiForums Tanzania Natafuta muwekezaji wa Golden Feldspar itokayo Tanga

    Hello, Been a while since I posted here,,,nadhani vijana wenzangu mpo poa,,na wazee mpo fresh kabisa kiafya. Mimi ni mchimbaji wa feldspar na nina migodi ya Golden Feldspar pamoja na carrot na mengine. Sasa nilikuwa nina mgodi wangu mmoja wa Golden Feldspar ambao survey yake ime turn to...
  16. JamiiForums Tanzania Dodoma: Ikulu imejengwa juu ya Madini aina tofauti 28. Je, Tuipige mnada au tumpe Mwekezaji?

    Salaam Wakuu, Imegundulika Ikulu ya Tanzania iliyozinduliwa hivi karibuni iyopo Chamwino Jijini Dodoma, imejegwa Juu ya Madini tofauti 28 ikiwemo dhahabu Sio Ikulu ya Chamwino tu, bali Dodoma yote na Wilaya zake zina Madini tofauti. Huko tuendako, Tujiandae Bunge kuhamishwa na kupewa...
  17. JamiiForums Tanzania Prof. Mbarawa: Tukipata muwekezaji mahiri bandarini, 67% ya bajeti itatoka bandari ya Dar na kuacha kutembeza bakuli

    Waziri Mbarawa akiongea na waandishi wa habari leo Julai 14, 2023 Dar ikiwa ni zoezi la kutoa elimu kuhusu uwekezaji kwenye bandari, amesema kama Taifa litapata muwekezaji mzuri kwenye bandari, asilimia 67 ya bajeti ya Tanzania itatoka bandari ya Dar. Mbarawa anasema Serikali inajenga miradi...
  18. JamiiForums Tanzania Tanzania inatarajiwa kuingia mkataba na Kampuni ya DP World ya Dubai kuendeleza bandari ya Dar es Salaam

    Kwa mujibu wa Waziri wa Ujenzi na Usafirisha, Profesa Makame Mbarawa, Tanzania na Dubai zinatarajiwa inatarajiwa kujadili na kupitisha Mkataba wa Kiserikali (IGA) kuhusu kuendeleza Bandari ya Dar es Salaam. Habari zaidi, soma: Sakata la DP WORLD: Rais Samia asema Serikali itatafuta mbia wa...
  19. V

    JamiiForums Tanzania Natafuta investment patner/co-founder, aina ya biashara - Software as service business model (Saas)

    Wakuu habari Mimi ni software engineer by profession, nimetengeza software na Application za simu kwa ajili ya hospitali, clinics na medical center) ni aina ya software ambayo inatumika mahospitalini kuingiza data za wagonjwa (treatments record pamoja payment records) ****Im looking for...
  20. A

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Hai, Saashisha Mafuwe anachochea mgogoro kati ya muwekezaji wa Makoa Farm na Wananchi

    Mbunge wa Hai ndugu Saashisha Mafuwe amekuwa source ya mgogoro kati ya muwekezaji wa makoa farm na wananchi wa kijiji cha uduru ambao ndiyo wamiliki wa shamba hilo. Muwekezaji huyo mjerumani aitwaye Elizabeth ana mkataba wa uwekezaji unaofika ukomo mwaka 2039. Mapema mwezi huu mbunge SAASHISHA...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ