muungano

Tanzania (, Swahili: [tanzaˈni.a]), officially the United Republic of Tanzania (Swahili: Jamhuri ya Muungano wa Tanzania), is a country in East Africa within the African Great Lakes region. It borders Uganda to the north; Kenya to the northeast; Comoro Islands and the Indian Ocean to the east; Mozambique and Malawi to the south; Zambia to the southwest; and Rwanda, Burundi, and the Democratic Republic of the Congo to the west. Mount Kilimanjaro, Africa's highest mountain, is in northeastern Tanzania.
Many important hominid fossils have been found in Tanzania, such as 6-million-year-old Pliocene hominid fossils. The genus Australopithecus ranged all over Africa 4 to 2 million years ago; and the oldest remains of the genus Homo are found near Lake Olduvai. Following the rise of Homo erectus 1.8 million years ago, humanity spread all over the Old World, and later in the New World and Australia under the species Homo sapiens. Homo sapiens also overtook Africa and absorbed the older archaic species and subspecies of humanity. One of the oldest known ethnic groups still existing, the Hadzabe, appears to have originated in Tanzania, and their oral history recalls ancestors who were tall and were the first to use fire, medicine, and lived in caves, much like Homo erectus or Homo heidelbergensis who lived in the same region before them.
Later in the Stone and Bronze Age, prehistoric migrations into Tanzania included Southern Cushitic speakers who moved south from present-day Ethiopia; Eastern Cushitic people who moved into Tanzania from north of Lake Turkana about 2,000 and 4,000 years ago; and the Southern Nilotes, including the Datoog, who originated from the present-day South Sudan–Ethiopia border region between 2,900 and 2,400 years ago. These movements took place at about the same time as the settlement of the Mashariki Bantu from West Africa in the Lake Victoria and Lake Tanganyika areas. They subsequently migrated across the rest of Tanzania between 2,300 and 1,700 years ago.German rule began in mainland Tanzania during the late 19th century when Germany formed German East Africa. This was followed by British rule after World War I. The mainland was governed as Tanganyika, with the Zanzibar Archipelago remaining a separate colonial jurisdiction. Following their respective independence in 1961 and 1963, the two entities merged in 1964 to form the United Republic of Tanzania.The United Nations estimated Tanzania's 2018 population at 56.31 million, which is slightly smaller than South Africa, making it the second most populous country located entirely south of the Equator. The population is composed of about 120 ethnic, linguistic, and religious groups. The sovereign state of Tanzania is a presidential constitutional republic and since 1996 its official capital city has been Dodoma where the president's office, the National Assembly, and some government ministries are located. Dar es Salaam, the former capital, retains most government offices and is the country's largest city, principal port, and leading commercial centre. Tanzania is a de facto one-party state with the democratic socialist Chama Cha Mapinduzi party in power.
Tanzania is mountainous and densely forested in the north-east, where Mount Kilimanjaro is located. Three of Africa's Great Lakes are partly within Tanzania. To the north and west lie Lake Victoria, Africa's largest lake, and Lake Tanganyika, the continent's deepest lake, known for its unique species of fish. To the south lies Lake Malawi. The eastern shore is hot and humid, with the Zanzibar Archipelago just offshore. The Menai Bay Conservation Area is Zanzibar's largest marine protected area. The Kalambo Falls, located on the Kalambo River at the Zambian border, is the second highest uninterrupted waterfall in Africa.Over 100 different languages are spoken in Tanzania, making it the most linguistically diverse country in East Africa. The country does not have a de jure official language, although the national language is Swahili. Swahili is used in parliamentary debate, in the lower courts, and as a medium of instruction in primary school. English is used in foreign trade, in diplomacy, in higher courts, and as a medium of instruction in secondary and higher education, although the Tanzanian government is planning to discontinue English as the primary language of instruction but it will be available as an optional course. Approximately 10 percent of Tanzanians speak Swahili as a first language, and up to 90 percent speak it as a second language.

View More On Wikipedia.org
  1. Keynez

    Mfumo wa Muungano wa Tanzania unaweza kuwa suluhisho la kudumu la mgogoro wa Israeli na Palestine

    Siku moja niliwahi kuwaza, hivi pamoja na matatizo ya muundo wa Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, inawezekana kwamba muundo huu huu unaweza kufaa maeneo kama Middle East katika kupata suluhisho la kudumu kati ya Israeli na Palestine? Kabla haujanicheka au kunishambulia, embu tuwaze wote...
  2. Allen Kilewella

    Ili kukuza muungano tugawane sawa kwa sawa na Zanzibar

    Hii ndiyo njia sahihi. Kama Kuna mabalozi 40 basi 20 wawe toka Zanzibar na 20 watoke Tanganyika. Kama tukikopa hela kwa jina la Tanzania basi zigawanywe nusu kwa nusu. Kama kuna ajira 1000 kwenye Serikali ya Tanzania basi mgao uwe ni nusu kwa nusu. Hii itaimarisha muungano wetu.
  3. M

    Kwa hiyo Zanzibar wananunua mchanga wa Tanzania Bara halafu mapato ya mauzo yanarudi upya Zanzibar kujenga miradi mipya ya Muungano?

    Serikali ya Zanzibar imepanga kuanza kunuuna mchanga kutoka Tanzania Bara kwajili ya miradi. Kwa hio mapato haya yanarudi upya Zanzibar kujenga barabara, shule, hospitali, madaraja, n.k. kwajili ya maendeleo ya muungano? Taarifa ndefu ipo hapa >>> Zanzibar kuanza kuagiza mchanga kutoka...
  4. The Father of All

    Kama Watanganyika hata Wazenj wangeulizwa bila mizengwe kuhusu muungano, unadhani nini ingekuwa uamuzi wao?

    Kwa sasa, sina shaka muungano wetu ulioanzishwa na wakoloni hauna maana yoyote. Umegeuka mzigo na ukoloni kwa Tanganyika iliyouawa na ubinafsi na udkteta wa Nyerere na woga wa Karume asipinduliwe na waarabu. Hayo sasa yalishapita. Inakuwaje tunang'ang'ania kitu cha hasara hasa kwa Tanganyika...
  5. O

    Endapo Muungano utavunjika, mali za Wazanzibar wanazomiliki Tanganyika zitataifishwa au zitaendelea kuwa mali halali za nchi nyingine iitwayo Zanzibar

    Uhai wa Muungano wa Tanganyika na Zanzibar unakaribia kufika ukingoni. Kuna manung’uniko makubwa sasa kutoka pande zote mbili za Muungano; mwanzoni yalikuwa zaidi upande wa Zanzibar, lakini hivi karibuni Watanganyika wameanza kuona hasara za Muungano huu. Waliotufikisha katika hali hii si...
  6. E

    Masauni awataka wanafunzi kuulinda Muungano

    Unguja. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhandisi Hamad Yussuf Masauni amewataka wanafunzi wa vyuo vya elimu ya juu Zanzibar kuwa mstari wa mbele kulinda, kuuenzi na kuutetea Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ili kuendeleza amani, umoja na mshikamano wa Taifa...
  7. E

    Masauni atoa rai kwa wabunge kupinga upotoshaji kuhusu Muungano

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhandisi Hamad Yussuf Masauni ametoa rai kwa wabunge kupinga na kusahihisha upotoshaji wa taarifa kuhusu Muungano, hususan kupitia mikutano ya hadhara na mitandao ya kijamii. Ametoa rai hiyo wakati wa semina kuhusu Muungano na...
  8. H

    Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inashiriki Mkutano wa 48 wa Baraza la Mawaziri Afrika unaofanyika jijini Addis Ababa, Ethiopia kuanzia Februari 11-12

    Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inashiriki Mkutano wa 48 wa Baraza la Mawaziri Afrika unaofanyika jijini Addis Ababa, Ethiopia kuanzia Februari 11-12, 2026. Ujumbe wa Tanzania katika mkutano huo unaongozwa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mheshimiwa Mahmoud Thabit...
  9. GISAMBO

    Changu Changu chako chetu Muungano Gani huu

    Mmetutenga tena watu wa Bara haya mambo haya Nafasi zakwanza zili tangazwa Kwa wa Tanzania wote iweje Leo mtuweke Bench Nawakizingua huko lawama ni Kwa Tanzania nzima nachoka mimi
  10. Zawadini

    Hivi tusingekuwa na Muungano leo tungekuwaje?

    Nimewaza sana kuhusu swala hili halafu nikawa najiuliza "hivi tusingekuwa na muungano leo hii tungekuwaje?" Swala hili limekuja baada ya kuona na kusikia mengi kuhusu huu muungano. Mengine yanafurahisha na mengine yanakirihisha. Lakini mengine yanamfanya anayeyasikia au kuyasoma kupatwa na...
  11. mrxtz2026

    Maoni ya Pendekezo la Katiba ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.(Katiba iliyokamilika yote na yenye ujumbe mzito mno) 🇹🇿✅ Tafadhati Usipuuze

    Habari ndugu zangu wa Tanzania. Kwa jina la Hifadhi au Kificho naitwa Mr. X, na napenda kujitambulisha kwa jina hilo huku nikificha taarifa zangu zote za elimu, umri, na anuani ya makazi. Hata hivyo, niweke wazi tu kwamba mimi ni Mtanzania mwenye asili ya Tanganyika. Nina jambo muhimu sana...
  12. Roving Journalist

    PostGE2025 Mgongano wa Kikatiba Wazuka Mahakama Kuu Zanzibar Katika Kesi za Wagombea Ubunge ACT

    Mgongano wa kikatiba umejitokeza katika Mahakama Kuu ya Zanzibar kufuatia kesi zilizofunguliwa na waliokuwa wagombea wa Ubunge kupitia Chama cha ACT-WAZALENDO kwa majimbo 19 ya Unguja Mgongano huo umeibuka leo mbele ya Jaji Hajji Suleiman Khamis katika Mahakama Kuu ya Zanzibar iliyopo...
  13. A

    DOKEZO DC wa Songea tatua mgogoro wa mpaka Kijiji cha Lugagala na Muungano Zomba, Watendaji wako wa ardhi inadaiwa wamewekwa mfukoni

    Sisi Wakazi wa Lugagala tunanyanyasika sana ikiwemo kufanyiwa fujo katika mashamba na makazi yetu ya asili. Mpaka wa Vijiji hivii umekuwa kero kwa Watendaji wa Halmashauri Wilaya ya Songea. Licha ya kukumbushia mgogoro huu wa barua mbalimbali katika ngazi ya Halmashauri kwa Mkurugenzi wa...
  14. H

    Ninawatakia Heri ya Mwaka Mpya 2026 Watanzania wenzangu wote. Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba. Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

    Ninawatakia Heri ya Mwaka Mpya 2026 Watanzania wenzangu wote. Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba. Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
  15. H

    Heri ya Mwaka Mpya 2026 Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

    Heri ya Mwaka Mpya 2026 Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
  16. M

    Kero na ubaya wa Muungano, lawama apewe Mwl Nyerere.

    Tatizo na sababu za kuutaka muungano, ilianzia kwenye maasi ya jeshi wakati huo 19/1/1964. Jeshi liliasi, na Nyerere akijificha kigamboni kunusuru maisha yake. Miezi mitatu tu baadae akamshawishi hayati Karume Rais wa Zanzibar wakati huo, waunganishe nchi. Nyerere aliona atakuwa salama kama...
  17. Bawabu wa pili

    Watanganyika bado mnataka Muungano eh? Someni hapa chini?

    Kwahiyo Mzanzibari anaweza kuwa Rais zanzibari na Tanganyika pia? Ila Mtanganyika hawezi kuwa Rais wala Raia wa Zanzibari sio? Kwahiyo sasahivi taifa lenye watu million hata tatu hawafiki wamepata Rais kwao na kwenu Tanganyika alafu ninyi watu zaidi ya Milion 65 mmeshindwa hata kupata Rais...
  18. Kipenzi Changu

    Mwalimu Nyerere anatupa taabu sana kuirudisha Tanganyika yetu

    Mtu makini na mwenye maono asingeweza kuiua Tanganyika kwa kufukia fukia mambo kwa koti la muungano. Kwenye muungano Nyerere alichemka big time, matokeo yake anatupa taabu vijana kuurudisha muungano wetu. Hata waliopo kwenye madaraka tukiwahoji hawana cha maana cha kujibu zaidi wanatupia mpira...
  19. HIMARS

    Nini umuhimu wa Muungano wa Tanganyika na Zanzibar?

    Binafsi sioni umuhimu wa huu muungano. Hauna faida kwa Tanganyika bali Zanzibar Hakuna Mtanganyika ambaye anaweza gombea chochote kile Zanzibar Hakuna Mtanganyika ambaye kaajiriwa na Serikali ya Zanzibar Mtanganyika haruhusiwi miliki ardhi Zanzibar ila Mzanzibar anaruhusiwa miliki Tanganyika...
  20. M

    Mtu mmoja amwambie Samia, Kabla ya hoja ya Udini. Achokonoe Muungano. Vinginevyo anapoteza muda

    Weakest point ya Tanzania ni Muungano, na sio dini, Udini unaweza kuja tukiwa nje ya Muungano. Samia anapoteza hela na muda wake kuchochea mgogoro wa Dini ndani ya Muungano. Kama amekusudia kweli kuleta chokochoko za Dini aanze na chokochoko za Muungano, Wahafidhina wa Zanzibar wapite naye...
Back
Top Bottom