muujiza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Hekima

    Usitake muujiza , kama unaweza kutumia maarifa ukafanikiwa . Hekima uwa Ina jieleza yenyewe.
  2. Muujiza wa Mtakatifu Francis Xavier na Kaa wa Msalaba

    Hadithi ya Mtakatifu Francis Xavier na Kaa Mnamo mwaka 1546, Mtakatifu Francis Xavier alikuwa akisafiri kwa njia ya bahari kuelekea Malacca (katika Malaysia ya leo). Safari iliyoanza kwa utulivu ilibadilika ghafla na kuwa ya kutisha. Mawingu meusi yalitanda, upepo ukavuma kwa nguvu, na mawimbi...
  3. Manabii na mitume; hamna muujiza wowote wa maji?

    Kitaa hali ni ngumu sana, hata ukiacha haka kamvua ka leo. Ukame Joto Fukuto Ukosefu wa maji Mke wa Kapola aliwahi kuishiwa na gesi ya kupikia. Mumewe akafanya muujiza, mtungi ukajaa gesi, mambo yakawa sawa. Japo hatukuwahi kupata mrejesho kama ile gesi ya muujiza iliisha au la, wala kama...
  4. Ni muujiza viongozi kama Gwajima na Heche kukamatwa na kupewe ulinzi dhidi ya mauaji yanayoendelea

    Ni muujiza viongozi wakina gwajima na heche kukamatwa na kupewe ulinzi dhidi ya mauwaji yanayoendelea sisi tutakinukisha tarehe 9/12 kwa wauwaji.
  5. Leo tena Yesu amenitendea muujiza mkubwa!

    Kwa zaidi ya wiki moja nimekuwa nikihisi kana kwamba kuna mdudu anatambaa tambaa kwenye bega langu la kushoto. Nikipapasa sehemu hiyo sioni kitu. Leo nikasema "enough is enough"(yatosha sasa). Nikaweka mkono sehemu hiyo na kuikemea hali hiyo kwa Jina la Yesu. Hivi sasa hali ya mdudu kutambaa...
  6. GE2025 Kwa maandalizi ambayo Mama Samia amefanya kwa ajili ya huu Uchaguzi Polepole na agenda zake anahitaji muujiza

    Kuna kitu kinaitwa point of no return it is either you win or loose in the battle field. Live or die hard Mama Samia amesha invest sana kwa ajili ya kampeni za mwaka huu. Asipogombea kwa mfano nani atamfidia gharama zake? It's obvious hawezi kukubali hasara kubwa namna hii. Leo katika kuchukua...
  7. Pastor Tony Kapola kama Mungu alimtendea muujiza wa gesi kwanini ana panic na kukejeli wanaobeza?

    Mungu aliye hai haitaji ushahidi wa shuhuda zake na maajabu yake, Mungu wetu anatenda mengi juu yetu. Je, kama ndivyo na ndiye Mungu ambaye pastor Tony Kapola anamwamini sasa kwa nini ana panic na kufikia hatua ya kutukana, kukejeli na kudharau wanaobeza muujiza wa gesi. Kama huyu ndio pastor...
  8. Ni kituko mtu anayeamini mwezi uliwahi kupasuka vipande viwili kisha ukajiunga tena kucheka muujiza wa gesi ya kupikia kujazwa kwa mdomo.

    Dini zote mbili kubwa huwa zinajitamba sana kwa miujiza mbalimbali, sasa kama unaamini miujiza inayosemakana kuwahi kutokea kwenye dini yako mfano mwezi kupasuka na kisha kujirudia tena au mtu kusafiri kwenda mbinguni na farasi kwa nini ushangae mtu kujaza gesi ya kupikia kwa kupuliza na mdomo?
  9. Pastor Tony Kapola awajibu waliobeza muujiza wa kupuliza gesi: Naonekana nadhalilishwa

    Pastor Tony Kapola akiwa kwenye ibada jioni ya jana Agosti 7 amewajibu waliobeza muujiza wa kupuliza gesi ikajaa na kupika wiki 2
  10. Muujiza wa Tony Kapola: Je aliombea mtungi mkubwa au mdogo?

    Tony Kapola anatumia nguvu nyingi sana kuusafisha uongo wa mkewe kwenye muujiza wa gesi.. Anatumia cover up ya Biblia takatifu na vijembe vyenye matusi ndani yake! Lakini hatafanikiwa bali ndio anazidi kuharibu Ukweli ni kwamba hakuna watu mahiri wa kutoa mifano ya uongo kama hawa wahubiri na...
  11. JAMII CHAT: Uchawi ni sayansi ya kuunda miujiza au ni technique ya kufanya akili kuamini matokeo yametokana na miujiza?

    Karibuni:
  12. U

    Swahaba mtukufu aliyepata muujiza wa ajabu kutoka kwa Mtume Muhammad(saw) baada ya kupigwa mshale hadi mboni ya jicho ikadondoka kwenye shavu lake

    Ni Swahaba nani ambaye Mtume(saw) alirudisha jicho lake baada ya kujeruhiwa katika vita vya Uhud? Huyu ni Swahaba mtukufu aliyepata muujiza wa ajabu kutoka kwa Mtume Muhammad(saw) baada ya jicho lake kupigwa mshale katika vita vya Uhud, hadi mboni ya jicho ikadondoka kwenye shavu lake...
  13. Muujiza wa Kiti 11A: Walionusurika Ajali Mbaya za Ndege Miongo Mbili Tofauti

    Katika tukio la kushangaza linalovuka miaka na kizazi, kiti cha ndege nambari 11A kimekuwa gumzo duniani kutokana na miujiza miwili ya walionusurika ajali mbaya za ndege. Mnamo mwaka 1998, mwimbaji maarufu wa Thailand, Ruangsak Loychusak, alinusurika ajali ya ndege iliyotikisa taifa hilo —...
  14. SIMULIZI: KANGA SEASON 01

    HADITHI FUPI - S01E01 "KANGA" - [Rudisha Kwa Mhusika] Mtunzi. Xavery Luoga (Mkandarasi) Na. +255672493994 ___________________ Atuganile Chamse, mrembo aliyeshindana na mumewe kwa muda mrefu, muda huu alikua anamalizia kupanga vitu vyake kwaajili ya kumkimbia huyo mumewe. Safari yake ya siri...
  15. K

    PreGE2025 Wapinzani amkeni sasa hakuna muujiza wa kushinda kwenye sanduku la kura pasipo kujiandikisha

    Haijalishi kwenye kampeni umejaza watu kiasi gani, wingi wa watu sio wingi wa wapiga kura. Kama hawajajiandisha hao ni watazamaji tu . Haijalishi una sera nzuri kiasi gani ila ili sera zako zishinde zinahitaji wapigakura waliojiandikisha kupiga kura Haijalishi mnapambana na yapi lakini...
  16. B

    Muujiza wa Nigeria ulivyoishangaza sayansi.

    Mnamo mwaka 2010, wanandoa wa Nigeria waliokuwa wakiishi Uingereza, Ben na Angela Ihegboro, walipata mtoto wao wa kike aliyeitwa Nmachi, aliyezaliwa akiwa na nywele za rangi ya dhahabu, macho ya bluu, na ngozi nyeupe, licha ya Ben na Angela wote kuwa na asili ya Nigeria na kutokuwa na historia...
  17. K

    Muujiza wa Familia ya Nigeria ulivyoishangaza Sayansi

    Mnamo mwaka 2010, wanandoa wa Nigeria waliokuwa wakiishi Uingereza, Ben na Angela Ihegboro, walipata mtoto wao wa kike aliyeitwa Nmachi, aliyezaliwa akiwa na nywele za rangi ya dhahabu, macho ya bluu, na ngozi nyeupe, licha ya Ben na Angela wote kuwa na asili ya Nigeria na kutokuwa na historia...
  18. Usidanganyike huwezi pata muujiza kwa Mungu kama unatenda dhambi

    Usihangaike kuomba, kuombewa, mafuta ya upako, maji ya upako. Kanuni ya kupata muujiza kwa Mungu ni kuacha uovu. Kama bado unafanya uovu usitegemee muujiza kutoka kwa Mungu Maandiko yanasema akusamehe maovu yako yote, akuponya magonjwa yako yote. ( zaburi 103:3) Mahubiri ya yesu Kristo wakati...
  19. LGE2024 Chalamila: Kumbe Kuna uchawi kwenye uchaguzi, nimeshangaa kusikia huo muujiza wa watu kupiga kura kabla vituo havijafunguliwa

    “Kuna vyombo vya habari vimetangaza kuwa kuna mahali kura zimepigwa kabla ya vituo kufunguliwa nimeshangaa kumbe kuna Uchawi kwenye Uchaguzi maana nimeshangaa kusikia huo muujiza wa watu kupiga kura kabla vituo havijafunguliwa" Soma pia: Kituo cha Kupigia Kura cha Lugalo, Kawe chakutwa na...
  20. Huenda Gachagua akajiuzulu wakati wowote, maana imethibitika hakuna uwezekano wa muujiza kumnusuru kuondolewa nafasi ya unaibu rais

    Huenda haitazidi ijumaa ya kesho.. Akisubiri kubanduliwa na bunge bila kujiuzulu, basi atakua amejiondolea mwenyewe sifa na vigezo vya kikatiba kuwania nafasi za uongozi wa kisiasa wala, kushikilia nafasi yoyote ya utumishi wa umma nchini Kenya. Kwa lugha nyingine, atakua amajifungia maisha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…