muuguzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mganga Mkuu wa Serikali afafanua sakata la Muuguzi na Askari kuvutana Wodini Hospitali ya Kibondo

    Mganga Mkuu wa Serikali Dkt. Grace Magembe amewatoa hofu wananchi juu ya picha mjongeo (video) iliyosambaa mitandaoni ikimuonesha Muuguzi na Askari wakivutana katika Hospitali ya Halmashauri ya Kibondo huku ikidaiwa askari kuvamia chumba cha kujifungulia, jambo ambalo amesema sio kweli na likiwa...
  2. Malaika wa Kifo: Hadithi ya Kutisha ya Muuguzi Genene Jones

    Katika wodi ya watoto wachanga kwenye hospitali ya Texas, muuguzi mmoja alionekana mwenye tabasamu pana, uchangamfu kubwa, huruma na kujali isivyo kawaida. Alikuwa karibu na kila mtoto aliyelia, alihakikisha kila kitu kipo sawa, na mara nyingi alionekana kumfariji mzazi kwa tabasamu la matumaini...
  3. Possible za written na oral interview kwa kada za afya

    Habarini za wakati huu. Kama ambavyo kichwa cha habari kinavyojieleza, kwa ambao walishawahi kufanya written na oral interview za PRSR kwa upande wa kada ya afya Assistance Nursing Officer ( ANO) naomba anayejua maswali ambayo huwa yanaulizwa nataka nipate mwanga kidogo. Asanteni
  4. D

    Muuguzi (RN) anahitajika

    Anahitajika muuguzi (Registered Nurse). Eneo la kazi ni Dar es Salaam, Kiluvya Madukani (Madukani Dispensary). Maombi tuma kwa E-mail. jndasika3@gmail.com AU Whatsapp 07589181
  5. Mishahara ya Muhimbili kwa muuguzi mwenye certificate ni kiasi gani?

    Hivi muuguzi mwenye certificate Muhimbili anaanza na mshahara kiasi gani?
  6. S

    Hatimaye Afisa Muuguzi Msaidizi

    HATIMAYE AFISA MUUGUZI MSAIDIZI
  7. Hizi hapa Kozi zaidi ya 40 zinazoweza kusomwa na Muuguzi mwenye Diploma

    Zijue Kozi 40+ za degree ambazo Muuguzi/Nurse wa Diploma anaweza kuzisoma Tanzania kwa mujibu wa Guidebook ya TCU 2024/2025 If your a Nurse Midwifery with an ordinary Diploma save this👇🏾 1. Bachelor of Science in Nursing - MUHAS, UDOM, St. John, Kcmc, KiU, Kairuki, Agakhan, ZU, miaka 2.5 - 4...
  8. Waziri Ummy : Wagonjwa wasitozwe gharama za posho ya dereva wala muuguzi ambao usindikiza mgonjwa na ambulance

    Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amekemea na kuwaonya viongozi wa Hospitali nchini ambazo zina magari ya kubebea wagonjwa (ambulance) wenye tabia ya kutoza wagonjwa au ndugu zao malipo ya posho ya dereva pamoja na mtaalamu ambaye uhusika katika safari. Amesema kwamba ni marufuku kwa hospitali zote...
  9. Muuguzi aliyesomea Afya ya Akili (Mental Health Nurse/Nurse Psychiatry) anaomba kazi

    Habari ndg... Kama utasikia au unahitaji mtaalamu kama huyu usisite kumtafuta Ana uzoefu wa kutoa huduma ya afya akili kama Asante Karibu
  10. Watu 5 mbaroni wakihusishwa na kifo cha muuguzi wa KCMC

    Jeshi la Polisi mkoa wa Kilimanjaro linawashikilia watu watano kwa tuhuma za mauaji ya Khudheifa Changa, ambaye alikuwa ni Muuguzi wa Hospitali ya KCMC Moshi mkoani humo. Inadaiwa Khudheifa Changa aliuawa usiku wa kuamkia Julai 2, mwaka huu wakati akipita katika uchochoro wa Mtaa wa Marindi...
  11. Muuguzi KCMC auawa kwa kuchomwa na kitu chenye ncha kali uchochoroni

    Jeshi la Polisi mkoa wa Kilimanjaro linawashikilia watuhumiwa watano kwa tuhuma za kusababisha kifo cha Muuguzi wa hospitali ya KCMC Moshi Khudheifa Changa (26) Akitoa taarifaa hiyo kwa vyombo vya habari Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro ACP Simoni Maigwa amesema kuwa walio kamatwa ni...
  12. Update: Muuguzi mlevi aliyetuhumiwa kumbaka mjamzito wodini aachiwa huru

    .......................................................................................... TABORA: Muuguzi daraja la pili, Rayson Duwe aliyetuhumiwa kumbaka Mjamzito wa Wiki 32 aliyekuwa amelazwavkatika Hospitali ya Wilaya ya Sikonge, ameachiwa huru na Mahakama ya Hakimu Mkazi ya Wilayani humo...
  13. Muuguzi aliyebishana na Mtaalam wa Maabara awekwa chini ya uangalizi

    Baraza la Uuguzi na Ukunga Tanzania (TNMC) limemtia hatiani Rose Shirima aliyeonekana kwenye video katika mitandao ya kijamii akibishana na mtaalamu wa maabara kuhusu vipimo, kuwa atakuwa chini ya uangalizi wa muuguzi mkuu wa Wilaya ya Uyui, Tabora kwa kipindi cha mwaka mmoja. Rose ambaye ni...
  14. TANNA yamtetea muuguzi aliyemjibu vibaya mwenzake huko Tabora

    Muktasari: Chama cha Taifa cha Wauguzi Tanzania (TANNA) kimetoa taarifa ya video iliyosambaa mitandaoni ikionyesha malumbano kati ya muuguzi na mteknolojia wa maabara katika Zahanati ya Ishilimuya wilayani Uyui Mkoa wa Tabora, kikisema hakukuwa na vitendanishi vilivyoisha muda wake kama...
  15. D

    Uchambuzi wa sakata la muuguzi aliyetaka kutumia vifaa tiba vilivyoisha muda ni aibu

    Sakata la wauguzi huko mkoani tabora waliokuwa wakibishana juu ya matumizi ya vifaa vilivyoisha muda wake limeibua maoni mengi sana ya watu! Wengi wao wameishia kulitazama kwa juu juu na kumuona yule afisa binti mwenye Rafudhi ya KIJITA mix na KIKURYA kwamba ndiye mkosaji na yule mwingine yuko...
  16. Muuguzi Mloganzila adaiwa kujinyonga kisa kunyimwa mshahara

    Ofisa Muuguzi (II) wa Hospitali ya Taifa Muhimbili- Mloganzila, Dar es Salaam, Sarwat Soluwo amedaiwa kujinyonga hadi kufa kwa kilichodaiwa mateso aliyopitia baada ya kusimamishiwa mshahara na uongozi wa hospitali hiyo. Taarifa za ndani ya hospitali hiyo zinaeleza Sarwat alisitishiwa mshahara...
  17. Marekani: Muuguzi Mkenya akiri makosa ya ulaghai wa mabilioni katika huduma za afya

    Muuguzi Mkenya mwenye umri wa miaka 42 amekiri makosa ya ulaghai katika huduma za afya, kusaidia ulaghai wa huduma za afya, kula njama ya kulipa na kupokea marupurupu, na makosa mengi ya kudanganya wachunguzi wa shirikisho la Marekani. ======= A 42-year-old Kenyan nurse has pleaded guilty to...
  18. Muuguzi wa Kenya auawa na mumewe aliyempata Hospitalini hapo

    Lydia Nyaguthii, muuguzi wa Hospitali ya Tumutumu PCEA, Kaunti ya Nyeri ameuawa na mwenza wake, Stephen Muriithi ambaye walikuwa kwenye uhusiano kwa miaka 20 baada ya kukutana hospitali wakati Stephen alipofika hospitalini hapo kupatiwa matibabu Lydia alimhudumia Stephen aliyemwagiwa maji ya...
  19. Duka la dawa ni salama mikononi mwa muuguzi (nurse)

    Na Bernard Ntiyakama, BScN, TMCEHP, RN. Mafunzo yanayomwandaa mtu kuwa Muuguzi humpa maarifa anayo yahitaji kutekeleza wajibu mbalimbali za kitaalamu ikiwemo kutoa Dawa. Jukumu hili lanabakia kuwa salama sana mikononi mwa Muuguzi kwa sababu nyingi ikiwemo zifuatazo. 1. Anaufahamu mwili na...
  20. Mwanamke Mkenya ashinda tuzo ya muuguzi bora duniani

    Kenyan Anna Qabale Duba named world’s best Nurse. PHOTO/Courtesy Anna Qabale Duba from Marsabit County in Kenya has been named the winner of a prestigious award, which has prize money of $250,000 (Ksh29M). Sheikh Ahmed Bin Saeed Al Maktoum, President of Dubai Civil Aviation Authority honoured...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…