musoma vijijini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    KERO Waziri wa Madini tuma timu ifuatilie utendaji wa Kampuni ya Madini Musoma Vijijini inanyanyasa Wafanyakazi

    Ombi kwa Waziri wa Madini kuna kampuni ya uchimbaji dhahabu ipo Musoma Vijijini, Kijiji cha Kwitope inaitwa GDM, haitendi haki kwa sisi wafanyakazi, mshahara ni shida, mikataba ya ujanja, mtu hapewi stahiki zake kwa wakati akiondolewa kazini. Pia kuna kauli mbovu kwa wafanyakazi, watumishi wa...
  2. Stephano Mgendanyi

    Matunda Mazuri ya Uvuvi wa Vizimba Yaanza Kuonekana Musoma Vijijini

    MATUNDA MAZURI YA UVUVI WA VIZIMBA YAANZA KUONEKANA MUSOMA VIJIJINI Jimbo la Musoma Vijijini lenye jumla ya Kata 21, lina Kata 18 zilizoko pembezoni mwa Ziwa Victoria. Kwa hiyo, uvuvi ni kazi inayoajiri watu wengi wa Jimboni mwetu. Wataalamu wa uvuvi wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi, wakiwemo wa...
  3. Stephano Mgendanyi

    PreGE2025 Mafanikio ya Utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM ndani ya Jimbo la Musoma Vijijini

    MAFANIKIO YA UTEKELEZAJI WA ILANI YA UCHAGUZI YA CCM NDANI YA JIMBO LA MUSOMA VIJIJINI ILANI: 2020-2025 TAARIFA ZA MAFANIKIO *Taarifa za miradi inayotekelezwa kwa kila Mwaka wa Fedha zinatolewa na kusambazwa kwa njia mbalimbali, zikiwemo: (i) Mikutano mbalimbali ya Chama (CCM) na Serikali...
  4. Stephano Mgendanyi

    Matokeo ya Mjadala wa Uboreshaji wa Ufundishaji, Ujifunzaji, Uelewa na Ufaulu wa Shule za Musoma Vijijini

    MATOKEO YA MJADALA WA UBORESHAJI WA UFUNDISHAJI, UJIFUNZAJI, UELEWA NA UFAULU WA SHULE ZA MUSOMA VIJIJINI Mgeni Rasmi: Ripoti & Zawadi za Ufaulu Mkuu wa Wilaya ya Musoma, Mhe Juma Chikoka alikabidhiwa Ripoti ya Matokeo ya Mjadala huo. Vilevile, Mkuu huyo wa Wilaya alikabidhi zawadi za ufaulu...
  5. Stephano Mgendanyi

    Musoma Vijijini Yaendelea na Ujenzi wa "High Schools" za Masomo ya Sayansi

    MUSOMA VIJIJINI YAENDELEA NA UJENZI WA "HIGH SCHOOLS" ZA MASOMO YA SAYANSI Mahitaji makubwa ya sasa ya Dunia ni kuongeza wataalamu kwenye nyanja za sayansi, teknolojia na ubunifu (science, technology and innovation, STI). Msingi mkuu wa wataalamu wa aina hiyo ni masomo ya sayansi kuanzia shule...
  6. Stephano Mgendanyi

    Wanakijiji Waamua Kujenga Sekondari Yao: Musoma Vijijini

    WANAFUNZI KUACHA KUTEMBEA KILOMITA KUMI KWENDA MASOMONI: WANAKIJIJI WAAMUA KUJENGA SEKONDARI YAO Kijiji cha Kataryo ni moja ya vijiji vitatu vya Kata ya Tegeruka. Vijiji vingine ni vya Mayani na Tegeruka. Sababu zinazohamasisha ujenzi wa sekondari ya Kijiji cha Kataryo: (a) Kijiji cha Kataryo...
  7. Stephano Mgendanyi

    Mjadala Wenye Mapendekezo ya Uboreshaji wa Ufundishaji, Ujifunzaji na Uelewa wa Wanafunzi Wetu - Musoma Vijijini

    MUSOMA VIJIJINI, ELIMU: "THE DIALOGUE" - MJADALA WENYE MAPENDEKEZO YA UBORESHAJI WA UFUNDISHAJI, UJIFUNZAJI NA UELEWA WA WANAFUNZI WETU Tarehe: 25 - 27 Machi 2025 Wataalamu: 1. Dr Zabron Kengera, UDSM 2. Dr George Kahangwa, UDSM 3. Mr Japhet Makongo, Ubunifu Associates Washiriki...
  8. Stephano Mgendanyi

    Ujenzi wa Maabara za Masomo ya Sayansi na Uanzishwaji wa "High School" za Sayansi, Musoma Vijijini

    UJENZI WA MAABARA ZA MASOMO YA SAYANSI NA UANZISHWAJI WA "HIGH SCHOOLS" ZA SAYANSI Musoma Vijijini- kila Sekondari inapaswa kuwa na maabara tatu za masomo ya sayansi. Masomo hayo ni yale ya Fizikia, Kemia na Bailojia Jimbo letu linao mradi kabambe wa ujenzi wa maabara hizo tatu kwa kila...
  9. Stephano Mgendanyi

    Ujenzi wa Sekondari Mpya Musoma Vijijini: Twende kwa Kasi Kubwa

    UJENZI WA SEKONDARI MPYA MUSOMA VIJIJINI: TWENDE KWA KASI KUBWA Kumbukumbu: Naomba kuwakumbusha kwamba hivi karibuni Mbunge wa Jimbo aligawa Saruji Mifuko 150 kwa kila kijiji kinachojenga sekondari mpya. Fedha za saruji hiyo ni zile za Mfuko wa Jimbo Kijiji cha Mmahare, Kata ya Etaro kinaenda...
  10. Stephano Mgendanyi

    Utoaji wa Huduma za Afya Waendelea Kuboreshwa na Kuimarika Musoma Vijijini

    Mkuu wa Wilaya ya Musoma, Mhe Juma Chikoka amezindua utoaji wa Huduma za Afya kwenye Kituo kipya cha Afya cha Kata ya Makojo (vijiji vya Chimati, Chitare na Makojo) Jimbo la Musoma Vijijini linaendelea kuboresha na kuimarisha utoaji wa Huduma za Afya ndani ya Kata zake 21 zenye jumla ya vijiji...
  11. Stephano Mgendanyi

    Usambazaji wa Maji ya Bomba Musoma Vijijini

    USAMBAZAJI WA MAJI YA BOMBA MUSOMA VIJIJINI Jimbo la Musoma Vijijini lenye vijiji 68 linayo miradi ya usambazaji wa maji ya bomba ndani ya vijiji vyote 68 - tunaishukuru sana Serikali yetu Mradi wa Kata za Busambara & Kiriba: Tenki la ujazo wa lita 500,000 limejengwa Kijijini Mwiringo kwa...
  12. Stephano Mgendanyi

    Kamati ya Mfuko wa Jimbo la Musoma Vijijini Yagawa Vifaa vya Ujenzi

    Leo, Mbunge wa Jimbo la Musoma Vijijini, Prof Sospeter Muhongo, ameitisha Kikao cha Kamati ya Mfuko wa Jimbo kwa lengo la kugawa vifaa vya ujenzi vitakavyonunuliwa kwa kutumia Fedha za Mfuko wa Jimbo. Waliohudhuria Kikao hicho: (i) Wajumbe wa Mfuko wa Jimbo (ii) Sekretariati ya Mfuko wa Jimbo...
  13. Stephano Mgendanyi

    Musoma Vijijini Inajitayarisha Kufungua Sekondari Mpya Sita (6) Mwakani 2025

    MUSOMA VIJIJINI INAJITAYARISHA KUFUNGUA SEKONDARI MPYA SITA (6) MWAKANI (2025) Kipaumbele namba moja cha Jimbo la Musoma Vijijini kinatekelezwa kwa kasi ya kuridhisha. Kipaumbele hicho ni: ELIMU Jimbo lina Kata 21 zenye vijiji 68 na vitongoji 374. Tunazo Sekondari za Kata 26 na za Binafsi ni...
  14. Stephano Mgendanyi

    Wanavijiji Waipokea Zawadi ya Rais Samia kwa Shangwe Tele - Musoma Vijijini

    WANAVIJIJI WAIPOKEA ZAWADI YA MHE RAIS DKT SAMIA SULUHU HASSAN KWA SHANGWE TELE Leo, Kituo cha Afya cha Kata ya Bugwema kimepokea Gari jipya la Wagonjwa (Ambulance) kutoka kwa Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan. Wanavijiji kutoka Kata hiyo yenye vijiji vinne (Bugwema, Kinyang'erere, Masinono na...
  15. Stephano Mgendanyi

    Mbunge wa Jimbo Apongeza Vijana 32 wa Musoma Vijijini Waliotembea kwa Miguu Kutoka Butiama - Mwanza

    MBUNGE WA JIMBO APONGEZA VIJANA 32 WA MUSOMA VIJIJINI WALIOTEMBEA KWA MIGUU KUTOKA BUTIAMA HADI MWANZA Leo ilikuwa siku ya Kikao cha Baraza la Vijana wa CCM (UVCCM) wa Wilaya ya Musoma Vijijini. Kikao kimefanyika Kijijini Murangi, Makao Makuu ya Chama Wilaya Mbunge wa Jimbo la Musoma Vijijini...
  16. Stephano Mgendanyi

    CRDB Yafungua Tawi Lake Musoma Vijijini

    CRDB YAFUNGUA TAWI LAKE MUSOMA VIJIJINI Mgeni Rasmi: Ndugu Gerald Musabila Kusaya Katibu Tawala wa Mkoa wa Mara Mahali: Kijijini Kwibara, Kata ya Mugango Leo, Alhamisi, 19.12.2024 Benki ya CRDB imefungua Tawi lake Kijijini Kwibara, Kata ya Mugango. Mgeni Rasmi alikuwa Ndugu Gerald Musabila...
  17. Stephano Mgendanyi

    Zahanati Inayojengwa Nyasaungu Kuanza Kutoa Huduma za Afya Disemba 2024 - Musoma Vijijini

    ZAHANATI INAYOJENGWA KIJIJINI NYASAUNGU KUANZA KUTOA HUDUMA ZA AFYA MWEZI DISEMBA 2024 Kijiji cha Nyasaungu chenye vitongoji vitano (5) kinakamilisha ujenzi wa zahanati yake ambayo inatarajiwa kuanza kutoa Huduma za Afya ifikapo Disemba 2024 Kijiji hiki ni moja ya vijiji vitatu vya Kata ya...
  18. Stephano Mgendanyi

    MUWASA Yaendelea Kusambaza Maji ya Bomba Musoma Vijijini

    MUWASA YAENDELEA KUSAMBAZA MAJI YA BOMBA MUSOMA VIJIJINI Mitambo iliyofungwa Bukanga, Musoma Mjini, kwa ajili ya kuzalisha maji kutoka Ziwa Victoria ina uwezo wa kuzalisha lita milioni 36 za maji kwa siku - haya ni maji mengi mno ukilinganisha na mahitaji ya maji ya kila siku ya Mji wa Musoma...
  19. Stephano Mgendanyi

    Uchimbaji wa Visima Virefu vya Maji Umeanza Ndani ya Jimbo la Musoma Vijijini

    UCHIMBAJI WA VISIMA VIREFU VYA MAJI UMEANZA NDANI YA JIMBO LA MUSOMA VIJIJINI Jumatatu, 26.8.2024, Mkuu wa Wilaya ya Musoma (DC), Dkt Khalfany Haule amepokea na kushuhudia gari lenye mtambo wa uchimbaji wa visima virefu vya maji ukianza kazi kwenye Kata ya Bugwema ya Jimboni mwetu. Jimbo letu...
  20. Stephano Mgendanyi

    Wananchi Waongeza Kasi ya Ujenzi wa Sekondari Mpya Kwenye Kata za Jimbo la Musoma Vijijini

    WANANCHI WAONGEZA KASI YA UJENZI WA SEKONDARI MPYA KWENYE KATA ZETU Jimbo la Musoma Vijijini linaongeza kasi ya ujenzi wa sekondari mpya za Kata kwa kushirikiana vizuri na Serikali yetu. Vilevile, kasi imeongezeka kwenye ujenzi wa maabara tatu (3) za masomo ya sayansi (physics, chemistry &...
Back
Top Bottom