musoma vijijini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Stephano Mgendanyi

    Elimu ya Sekondari Ndani ya Jimbo la Musoma Vijijini

    ELIM ELIMU YA SEKONDARI NDANI YA JIMBO LA MUSOMA VIJIJINI Ukubwa wa Jimbo letu: Kata 21 zenye vijiji 68 na vitongoji 374 Idadi ya sekondari Jimboni mwetu: +26 za Kata zinatoa elimu +2 za Binafsi zinatoa elimu +3 mpya zinajengwa kwa fedha za Serikali Kuu. Wanavijiji kuchangia nguvukazi +3 mpya...
  2. Stephano Mgendanyi

    Uanzishwaji wa "High Schools" za Masomo ya Sayansi Kwenye Sekondari Zetu za Kata: Musoma Vijijini

    Tumeanza kupata usajili wa "High Schools za Masomo ya Sayansi:" (i) Suguti Sekondari itakuwa na "High School" ya masomo ya: PCM, PCB, CBG na EGM (ii) Mugango Sekondari itakuwa na "High School" ya masomo ya: CBG na EGM Kila Sekondari iliyotajwa hapo juu ina maabara 3 za masomo ya sayansi...
  3. Stephano Mgendanyi

    Jimbo la Musoma Vijijini: Serikali Yaendelea Kuchangia Ujenzi wa Sekondari Mpya za Kata

    Serikali imetoa fedha kwa Kata mbili (2) kujenga sekondari mpya za Kata hizo. Kata hizo ni: 1. Nyamrandirira Sekondari itajengwa Kijijini Kasoma 2. Bukima Sekondari itajengwa Kijijini Butata Serikali imetenga Tsh 584,280,000.000 (Tsh 584.28m) kwa ujenzi wa kila moja! Ushauri...
  4. Stephano Mgendanyi

    Vijiji vya Jimbo la Musoma Vijijini Vyaendelea Kusambaziwa Maji ya Bomba Kutoka Ziwa Victoria

    VIJIJI VYA JIMBO LA MUSOMA VIJIJINI VYAENDELEA KUSAMBAZIWA MAJI YA BOMBA KUTOKA ZIWA VICTORIA Wiki hii imekuwa ya furaha tele kwa vijiji vya Mabuimerafuru (Kata ya Musanja) na Chumwi (Kata ya Nyamrandirira) kupata maji ya bomba ya kutoka Ziwa Victoria. Tenki la ujazo wa lita 300,000 limejengwa...
Back
Top Bottom