Watukufu katika imani mara baada ya Swala ya ijumaa tutakua na maandamano ya Amani kuanzia Kinondoni Muslim -Manyanya-Morocco hadi pale ubalozi wao ili kupeleka kilio chetu dhidi ya ndugu zetu huko Iran. Wabillah Taufiq
https://www.youtube.com/watch?v=Vb7IeyvxrtE
Mzee wetu Mohamed Said ameeleza historia ya chimbuko la BAKWATA. Amesimulia kwa kina mchakato wa kuivunja East African Muslim Society na kuanzisha BAKWATA chini ya Mwl Nyerere. Amesema ndicho chanzo cha chuki ya Nyerere dhidi ya Bibi Titi.
Ameenda...
Sina chembe ya udini Ila nataka mnieleweshe imeandikwa wapi kwamba urais ni wa kupokezana ?
Imeandikwa wapi kwamba akitoka Rais mkatoliki anakuja muislamu?
Imeandikwa wapi wapi kwamba Rais akiwa muislamu Makamo wake anakuwa Catholic au Rais akiwa Catholic Makamo anakuwa muislamu?
Zanzibar...
Wala gaza sio wahanga wa uyahudi.
Wala gaza sio wahanga wa u-magharibi.
Bali gaza ni wahanga wa kufanyika midoli ya jihadi uchwala.
Masikini kwa bahati mbaya hawatakaa hawaelewe kwa maana tangu utotoni wamefundishwa kumchukia mbwa wa jirani wakati wa nyumbani kwake ndio anakula kuku wake.
Hii ni syndicate inayojificha nyuma za mamlaka kwenye mataifa ya uarabuni, kwa kuwaaidi viongozi wa mataifa haya usalama, ulinzi, wa kuendelea kuwepo madarakani au kutowekwa hatiani ili wao wapewe njia rahisi waendeleze itikadi yao ya machafuko na kufadhili vikundi vya kuleta machafuko mashariki...
1) Yahweh
name for the God of the Israelites, representing the biblical pronunciation of “YHWH,”
https://www.britannica.com/topic/Yahweh
Iran missiles cause multiple casualties after strikes in Israel
https://www.bbc.com/news/live/c93ydeqyq71t
Israeli hospital hit by Iranian missile strike...
Jiwe linaloabudiwa huko Mecca linajulikana kama Al-Hajar al-Aswad (Jiwe Jeusi). Jiwe hili lipo kwenye pembe ya mashariki ya Kaaba, Kaaba ni jengo la pembe nne lenye shuka jeusi na juu limezungushiwa urembo wa rangi ya dhahabu katika Msikiti Mkuu wa Mecca (Masjid al-Haram). Kaaba ni eneo la...
Assalam alaykum jamiah .
naam, leo nimekuja kuwananga ndugu zangu waislamu (Wahadhiri) wa Chuo Kikuu Cha Waislamu Morogoro pamoja na walimu wa shule za msingi na sekondari za kiislamu, hususan zinazojiita seminari.
Katika uzi huu nitaangazia nukta moja tu kwa vile ninazo nukta kadhaa za kusema...
Watukufu Viongozi wa TAMSYA,
Assalam Aleikum.
1. Je hamuoni mashambulizi dhidi ya Lebanon, Hezbollah si haki na anaonewa? Mbona hamtoi tamko lolote?
2. Hizi Dhuluma zitakwisha lini?
3. Dunia inasubiri tamko lenu Wasomi.
Chuo Kikuu cha Kiislam Morogoro ndio chuo pekee nchini Chenye kutoa Shahada za Sharia (Sharia Law). Tuwapongeze kwa hilo. Tayari MUM kina Campus Zanzibar na punde kitafungua campus Rufiji, Kondoa, Tanga, Mtwara na Kigoma. Na nchi jirani Mombasa (Kenya) na Bujumbura (Bujumbura).
NB: Asante MUM...
"University of Southern California Muslim students are praying Jumma (Friday prayer) and non-muslim students made a wall, surrounding them for their safety. How beautiful Scene!"
Kwa Watanzania wengi Muslim Brotherhood unaweza isiwasitue sana hasa ukizungumzia ubaya wa Ugaidi. Lakini tusichojua ni kuwa Muslim Brotherhood ndiyo ambao wamekuwa nyuma ya panzia ya utendaji wa Alqaida, ISIS Salafi na kwa sasa Hamas.
Muslim Brotherhood ilianzishwa mwanzoni kabisa mwa Karne ya...
Kipindi cha Ali Hassan Mwinyi, Aga Khan alikuja nchini kwa mara ya kwanza baada ya kutokanyaga ardhi ya Tanzania kwa miaka 20. Kwa maneno ya Mohamed Said Aga Khan aliitisha mkutano wa Waislamu ambao una mchanganyiko wa BAKWATA na wawakilishi wa iliyokuwa EAMWS. Na kwenye mkutano huo HAKUKUWA na...
Post
See new posts
A dialogue between a Muslim and an atheist: @imtiazMadmood
Muslim: There are over 1.8 billion Muslims in the World. Islam is the fastest growing religion and we'll overcome the Infidels.
Atheist: The 1.8 billion include Ahmadis & Qadianis?
Muslim: No, Ahmadi Qadiyanis dogs...
Asabuhi leo napitia pitia na kusikiliza Radio Free Africa. Jana hii Taasisi imetoa msaada wa Kilo 3 za maharage kutoka Saudia. Mayor amewashukuru sana na kuishukuru Saudia kwa msaada huu mkubwa kwa wenye shida.
Habari hii imetangazwa sana kitaifa na kimataifa. Asanteni sana ndugu zetu katika...
Jarida maarufu nchi Uturuki na Ulaya la “The Muslim 500” limemtaja Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan kama kiongozi bora Mwanamke wa Mwaka mwenye ushawishi Duniani kwa Mwaka 2021-21.
Jarida la “The Muslim 500” hutoka kila baada ya Mwaka mmoja na husomwa Dunia...
Kwa watu wanaonijua vyema, nina karama na uwezo wa kusoma siasa za nchi fulani na kutabiri mabadiliko ambayo wengi wanakuwa bado hawajayaona. Haya si majisifu, nasema tu ukweli.
Nilifanya hivyo kwa Obama kabla hajawa maarufu sana, nilifanya hivyo kwa Uhuru Kenyatta wakati huo anashika nafasi za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.