Asili ya fisi huyu kuitwa Musa ni kwa vile siku moja alipojaribu kumkamata mwanamke aliyekuwa amelewa; bibi huyo alimdhani fisi ni mumewe aitwaye Musa, hata akamwita kwa sauti kuu, “Musa Musa! Bwana wangu silewi tena, bwana! Usiniadhibu namna hii, kwanza makucha yako leo makali bwana.” Basi watu...