mungu

  1. M

    Dubai wakumbwa na mafuriko baada ya mvua kubwa kunyesha

    Mzuka wanajamvi! Mji wa kisasa wa kitajiri unasifiwa kwa miundombinu bora duniani sasa hivi iko underwater mafuriko ya hatarii hadi shughuli zote kusimama. Hii ni baada ya mvua kubwa na dhoruba na radi. Tulikuwa tunalalamika bure mafuriko Arusha na rufiji. ==== --- Torrential rain and...
  2. Vitabu vya dini vinamuonaje/vinatoaje taswira ya Mungu?

    Maandiko ya dini yanaamini kuwa binadamu wa kwanza ni adamu hii inakubaliwa katika pande zote za imani ya kiislamu na ukristo. Kwenye maandiko ya Bibilia yanasema kuwa mungu amekuumba kwa mfano wake na hata ukiangalia mwanzo wa ulimwengu aliummbwa adamu hivyo kwa nadharia hii wengi wa waandishi...
  3. R

    Tanzania kwa sasa kuna kiongozi wa dini asiyefungamana na maovu ya kisiasa na kusimama na Mungu wakati wote anapojaribiwa?

    Zamani tulifundishwa tusiwaseme vibaya viongozi wa dini; tukaishi na huo utamaduni na kutufanya kushindwa kulijenga kanisa la kweli na uislamu wa kweli. Kutokana na kufundishwa kuwa waongo mbele ya viongozi wa dini ilituwia ngumu kuwakemea pale wanapokosea. Tukawa tunakwenda kanisani na...
  4. Muislamu au Mkristo kuamini kwamba kitabu cha dini yako ni bora kuliko akili yako ni kumkosea sana Mwenyezi Mungu. Sababu hii hapa

    Kitabu cha imani yako kimetungwa na watu. Akili yako imeumbwa na Mungu mwenyewe. Ila wewe una amini kitabu cha imani yako ambacho kimetungwa na wanadamu ni bora kuliko akili yako ambayo imeumbwa na Mwenyezi Mungu. Huko ni kumkosea heshima Mwenyezi Mungu kwa kiwango cha hali ya hali ya juu sana.
  5. Kupigana kwa Israel na Iran ni mipango ya Mungu kuipa ushindi Hamas

    Inaposemwa Mungu si Asumani wengine huwa hawafahamu maana yake.Sisi wengine tunaomfahamu Mungu(Allah) pamoja na ugumu tuliouona tulijua kuwa mwishowe Hamas ndio watakaoshinda vita kati yake na Israel. Mara ngapi Netanyahu amezungumza maneno ya kiburi kwa rafiki zake na mbaya zaidi kwa Mungu...
  6. B

    Mungu wa Lissu ni Mungu aliye hai, kumbe wanaotukana Serikali na Viongozi ni Wao wenyewe

    Kwa miaka mingi kumekuwa na jitihada za kuhadaa umma kwamba watu wanaotukana serikali na viongozi ni Wapinzani. Ukifatilia kwa umakini utaelewa kuwa wapinzani kazi yao imekuwa ni kukosoa, kushauri, kupendekeza na inapobidi kutekeleza na kutoa majibu ya Changa moto mbali mbali zinazoikabili Nchi...
  7. Mungu anafanya kazi kwa wanaojitoa kwa ajili ya wengine na kwa wanaomshukuru

    Tuendelee kufundishana. Wakati mwingine ninaumia ninapoona watu wanaomba na hawapokei kama wanavyotakiwa kupokea, si kwamba Mungu hajakusikia, amekusikia, na atakujibu, ila kuna vitu ambavyo nawe unatakiwa kufanya. Kuna dhambi ambayo Mungu anaichukia sana. Ngoja nitumie Mungu manake mtanielewa...
  8. Kuna mtu kawauliza swali wanaosema "Mungu hafananishwi na kitu chochote" wameshindwa kujibu wanamtukana na kumpa vitisho. Mpeni majibu tafadhali

    Ilikuwa kwenye mjadala kuhusu maoni ya Harmonize kwamba katika miaka ishirini aliyo ishi duniani amegundua kwamba huenda Mungu ni mwanamke.. Wenye dini zao wanasema Harmonize apigwe mawe kwa sababu amekufuru na kwamba " Mungu hafananishwi na kitu chochote kile" Swali la jamaa lilikuwa: 1...
  9. Kwanini kipimo cha nguvu za Mungu maishani mwako kiko kichwani na kinywani mwako?

    Tofauti yako na yule ambaye unaona anamfaidi Mungu na nguvu zake iko kichwani na kinywani mwako. Wote ambao akilini mwao wanaamini katika ufinyu na uhafifu wa uwezo wa Mungu watafaidi uhafifu na ufinyu huo. Wale wanaoamini katika na kusadiki kabisa kuwa kwao Mungu ananguvu na uweza wote kuliko...
  10. Sawa Harmonize kakososea, ila mungu wako sio mungu wa Harmonize

    Yaani sisi huwa tunarudi palepale, tunamtetea sana Mungu kwa kuhisi Mungu hawezi kujitetea. Binadamu huwezi kusimama mbele na kumtetea Mungu, maybe kama Mungu huyo hana nguvu. Kuna vitu ni vya kawaida tu, nachukuliaga poa sana, Mungu ninayemuabudu mimi, anayenibariki na kunipa afya njema huwa...
  11. Namshukuru Mungu Kwa Kunipa Kibali Cha Kuwa Mwanachama wa Chama Cha Mapinduzi

    Namshukuru Mungu Kwa Kunipa Kibali Cha Kuwa Mwanachama wa Chama Cha Mapinduzi
  12. Kwanini Mungu na shetani wote hawataki kufanya kazi na mtu mvivu asiye mbunifu?

    Mtu mvivu, legevu, asiyejali muda na mwenye maneno mengi kuliko vitendo Mungu hampendi na shetani hampendi. Waliomstari wa mbele (frontliners) kwa Mungu na kwa Ibirisi huwezi kukuta mtu mvivu asiyejali na mzembemzembe. Hakuna nabii wa uongo mvivu asiye risk taker. Wako smart, wanaamka mapema...
  13. Hivi kwanini Mungu ana wivu?

    Wataalamu wa bibilia, nakumbuka kuna siku nilisoma hicho kitabu nikaona historia ya mnara wa babeli Mungu aliposhuka na kuwakuta binadamu wanatengeza ule mnara alishtuka na kuwatenganisha kwa lugha pamoja na maeneo ndiyo yakazaliwa mataifa mengine. Tukio la pili kwenye sura ya mwanzo Mungu...
  14. Siri ya Mungu mwenye wivu; kwanini Mungu kuwachukua mapema wale tunaowasifu na kuwategemea kupitiliza?

    Kama kuna hatari unaweza kumsababishia ndugu, rafiki, kiongozi au yeyote unayemuhusudu ni kumsifia na kumtegemea kupitiliza. Mungu mwenye wivu huwa anawasaidia wanadamu wanaowategemea kupitiliza wenzao tena kuwapa sifa kinafiki au kihalali kwa kuwapumzisha makaburini mapema wategemewa hao. Hii...
  15. Msanii Mkubwa Bongo Fleva atabiriwa kifo na Wachungaji kutoka Kenya na Zimbambwe

    Msanii Mkubwa Bongo Fleva atabiriwa kifo na Wachungaji kutoka Kenya na Zimbambwe Sasa shughuli inabaki kwetu kama sio Ally bhasi ni Nasibu, maana ndiyo sifa walizotajwa nazo. Nawatakiwa Asubuhi Njema
  16. 4

    Nina mpango wa kuwashitaki wateuliwa wa CCM ndani na nje ya nchi, Mungu nisaidie

    Wakuu JF Mungu amebariki. Sio mda nitawashitaki wateuliwa wa CCM, nitanza na Makonda wengine watafutia. Haiwezekani nchi endeshwa kihuni namna hii kisa watu pitia mgongo wa CCM. Nitawashitaki and then watalipa Taifa sio mie. Wanasheria mlio tiyari zama Dm tuyajenge. Thanks
  17. Nachukia wanaopenda kuuliza suala la dini sababu siamini katika dini bali uwepo wa Mungu. Je, nipo sahihi?

    Kiukweli kwa Tanzania ukimwambia mtu huna dini unaonekana mtu wa ajabu sana. Ila kwangu nimekuwa nikijilazimisha sana na kuishi maisha ya kinafki sana ili tu nionekane nina dini ila kadri muda unavyokwenda najiona kabisa sina mihemko na hizi dini jamani iwe Christian au Islamic au buddha sijui...
  18. Naomba kujua kwanini ukimtolea Mwenyezi Mungu Fungu lake la 10% kutoka katika Mshahara wako huku ukiwa na Furaha nae hukubariki maradufu?

    Asante sana Kwako uliyenipa hii Elimu kwani tokea nianze Kufululiza kuhudhuria Ibada zangu Kanisa Katoliki na Kumtolea Mwenyezi Mungu Fungu lake la Kumi ( 10 ) Maajabu yanayonitokea ya Kimafanikio, Baraka na Neema huwezi kamwe kuyapata kwa Mganga wa Kienyeji au wale Waganga Watatu wa Madhabahuni...
  19. Kama ambavyo aliachana na wana wa Israel, huenda Mungu alishaachana na sisi

    Naamini huenda akawepo. Ila sasa huenda labda alishaachana na sisi. Ana Dunia yake huko nyingine kaanzisha ambayo hatuwezi ifikia au kuijua. Maana yeye ni muweza wa yote.. Au labda ana mpango mwingine tu lakini kuhusu sisi huku alishaamua kututelekeza. Kutuacha tu kama tulivyo tutajijua wenyewe.
  20. C

    Mrejesho wakuu nilileta mkasa hapa baada ya kuyatimba yapata sasa week ya8 nimepima bado Neg hukunikiendelea kumuomba Mungu.

    Habarini wa Jf imepita sasa takribani week7 na nusu niko week ya 8 baada ya kuishi kwa msongo mkubwa sana wa mawazo kupelekea afya kudhorota na ufanisi wa kazi kuwa mbovu baada ya kuyatimba kwa mdada ambae anamoto aka umeme bado naendelea kumuomba Mungu. Nimeleta mrejesho huu nitumaini nitapata...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…