mungu

  1. Mungu Baba asante kwa jumamosi mpya katika maisha yetu. Tukumbuke katika mengi tuyatamaniyo katika maisha yetu twaomba.

    Mungu Baba asante kwa jumamosi mpya katika maisha yetu. Tukumbuke katika mengi tuyatamaniyo katika maisha yetu twaomba Eee Mungu wetu, tutendee wema wako katika hatua zetu za maisha. Usitunyime tuombapo kwako, uzisikilize kwa wema sala na haja zetu. Baraka na neema zako ziwe pamoja nasi Bwana...
  2. Saa nane usiku nitakua na maombi ya kufunguliwa unahitaji nikuombee nini Mungu afanye kwako

    Saa nane usiku nitakua na maombi ya kufunguliwa unahitaji nikuombee nini mungu afanye kwako.🙏❤️
  3. Uvumilivu wa Kidini; Bomu zaidi ya "Nyuklia" kwa Watanzania wengi (eeh Mungu tuepushe)

    Habari Wana JF na WATANZANIA kwa ujumla. It has come to my ATTENTION kwa kauzoefu kadogo nilikonako hapa JF, Nime experience kwamba NYUZI zenye mielekeo ya Imani Fulani (Islam or Christianity) ndio NYUZI zinazochangiwa kwa hisia KALI na CHUKI dhidi ya imani nyingine waziwazi , thanks to JF...
  4. Ufalme wa Mungu jinsi unavyotafsirirwa

    Ufalme wa Mungu ni tofauti kabisa na mifumo ya Dini na madhehebu. Dini na madhehebu ni Matakwa ya kibinadamu ya kumtafuta Mungu, na mfumo huu kamwe hautakuja kufanikiwa milele wala haujawahi kufanikiwa Tangu mwanzo. Ufalme wa Mungu ni mfumo wa Maisha mbali na Maisha ya kidini na Dhehebu. Ni...
  5. F

    "Wife Material" Mcha Mungu - KARIBU

    HABARI ZENU NDUGU ZANGU 🙏 Najitokeza kwenu, na kwa kumshirikisha Mungu kuwa natafuta mwanamke wa kujenga nae familia pamoja. Kama kuna mwanamke ambaye anaji-consider yeye mwenyewe kuwa ni "WIFE MATERIAL NA PIA ANA HOFU YA MUNGU" ( after evaluating herself) na ana uhitaji wa "MUME" na sio...
  6. Yanga jifunzeni Kwa meli ya Titanic. Mungu huchukia maapizo.

    Wakati meli ya Titanic inazinduliwa, walioijenga walisema kuwa ile meli haitazama Kamwe (unsinkable) Historia inaonesha kila aliyepanda ile meli alikuwa na Imani nayo kubwa Sana kuwa haitazama. Lakini mwisho wa siku ilizama na kuua watu kadhaa. Yanga nao mpaka wakatuga na wimbo kabisa kuwa...
  7. Napendekeza Rais wetu aitwe Mungu

    Katika kuonyesha imani, mapenzi, utii, kumkubali, kumtakia mema yote makubwa na madogo, kumhusudu, kumsifia na kumtukuza, napendekeza rahis wetu mtukufu mwenye maono, mpendwa na mpendeka, akapendeza, mwenye akili na busara nyingi, uwezo, utakatifu, ukuu, utukufu, vyote visivyo vya wa kawaida...
  8. J

    Tumtolee Mungu Vitu Vinavyotugharimu Zaidi

    Tumtolee Mungu Vitu Vinavyotugharimu Zaidi Tumtolee Mungu vitu vinavyotugharimu hata kuhatarisha Maisha. Mfano wa mashujaa watatu wa Daudi Hebu tuangalie mfano kuhusu Daudi, kupitia Mfalme wa pili, aya ya 23. 2Samweli 23:15 Daudi akatamani, akasema, laiti mtu angeninywesha maji ya kisima cha...
  9. Nimechoka kuitwa Mshangazi, Mungu nipe mume tafadhali

    Eh, Nyie watoto acheni kumsumbua Mungu jamaan Leo nimekaa kwenye lounge ya ofisi moja mjini, naskia wadada wawili wanaongea kwa kutiana moyo Maongezi ya mmoja yalikuwa hivi, "Nimechoka kuitwa Mshangazi, Mungu nipe mume please 🙏 " Nilitaka kumjibu lakini user yangu ikawa imefika Wewe...
  10. PreGE2025 Dkt. Slaa amvaa mazima Askofu Shoo amwambia "Kuwa na misimamo"

  11. Hili janga lililopiga Valencia utaona sisi Mungu anatuepusha na mengi sana

    Nawaangalia wakazi wa Valencia namna wanashirikiana kusafisha mji wao hadi Raha maana bila kujali muonekano wala nini wote wanakula tope mwanzo mwisho tena wakiwa na staha sio Madera bila chupi Wala vifua wazi. Sisi Mungu katuepusha na majanga makubwa kama haya ya asili sema kinachotuangusha ni...
  12. Huu mfuko mdogo kwenye suruali nyingi za jeans huwa ni wa kazi gani haswa?

  13. Tashwishwi ya Biblia kweli ni kitabu cha Mungu?

    BAADHI YA MISTARI YA BIBLIA 2 samweli 1:18 (Kama ilivyoandikwa katika kitabu Cha YASHARI), akasema , wana wa Yuda wafundishwe haya. Yoshua 10:13 Ndipo jua likasimama, na mwezi ukatulia, Hata hilo taifa lilipokuwa limekwisha jipatiliza juu ya adui zao. Hayo, je! Hayakuandikwa ndani ya kitabu...
  14. Nilichelewa sana kujua kwamba Mungu Baba ni huyu Baba yangu mzazi aliyenizaa na kunilea. Mzee nisamehe kwa kuabudu miungu wengine

    John Kapongo Mugwata unisamehe sana, nimechelewa sana kujua kuwa wewe ndio Mungu Baba. Najutia kosa langu hili kubwa, nilidanganywa na walimwengu wenye mangozi meupe, wakanipotosha. Sasa narudi kwenye njia kuu naomba nikiahidi sitaenda tena kwa yule mungu baba feki niliyedanganywa
  15. Ni ipi dini ya kweli kama huku wanafungamana na huyu mungu wa wafu na mlinda makaburi

    Nb: Zingatia neno "mungu" nimeandika kwa herufi ndogo hivyo haimaanishi Mungu. Ndugu zangu hapa tutaona anubis akiwa na kiongozi mkuu wa dhehebu fulani la dini pamoja na anubis wengine kuvalia mrengo wa upande wa pili. a)Maana ya anubis. Anubis, ancient Egyptian god of funerary practices and...
  16. G

    Nahisi niliuziwa machungwa yaliyoivishwa kwa kekimikali zilizoanza kutumika Mbeya kuivisha matunda, Mungu atusaidie lakini Idara zetu zimelala mno

    N:B: Sina uhakika wa asilimia 100 kama niliuziwa chungwa lililoivishwa kikemikali ila kwa dokezo >> hili << nimepata wasiwasi Nipo Mbeya kwa wiki kadhaa, Nilikuja na mashine yangu ya kusagia juisi ya machungwa, Napenda sana kunywa juisi hii. Wiki iliyopita nilizinguka soko la soweto nilikuta...
  17. B

    Huyu Mtumishi wa Mungu Dickson Cornel Kabigumila ameniamsha imani Upya, kweli Mungu yupo

    Mimi Bushdokta kwa muda mrefu sasa nimekuwa msomaji wa Biblia na kufatilia mafundisho ya Neno la Mungu na Ibada mabli mbali pamoja n harakati za injili. Ktk kufanya hivyo ilifika mahali nikataka kukata tamaa. Kulikuwa na hofu kwamba huenda huyu Mungu anayehubiriwa ni Mungu Dhaifu asiyeweza vitu...
  18. M

    Kusainiwa Mkataba ujenzi wa Barabara za DSM - MUNGU TUSAIDIE ISIWE NI SIASA ZA UCHAGUZI

    Serikali kupitia waziri wake wa Tamisemi Mh Mchengerwa imetutangazia kusainiwa kwa mikataba ya ujenzi wa Barabara za halmashauri za jiji la DSM. Maoni ya wananchi wengi wanaonyesha kutokuamini uhalisia wa jambo hili kwani inaonyesha ni kila mwaka kumekuwa kukitolewa ahadi nyingi ambazo zimekuwa...
  19. Ukisikia mumeo anachepuka na mwanamke mwingine mshukuru Mungu

    Katika nyakati hizi ngumu tulizonazo, mwanamke ukisikia mumeo anachepuka na mwanamke mwingine mshukuru Mungu. Sio kama nahamasisha uzinzi nje ya ndoa lahasha ila tambua kwamba kuna baadhi ya wanaume wameoa na wana watoto wamepata na wake zao lakini wanaume hao hao wakitoka kwenye nyumba zao ni...
  20. Naungana na wasioamini uwepo wa Mungu

    Ndugu zangu niwasalimu kwa jina la mizimu ya mababu wema walio itunza asili ya kiafrika, mizimu iwalaani mababu waovu walio rubuniwa kupoteza uafrika na kutuletea Imani za ajabu zisizo kuwa na matokeo...! Kwenye maisha yangu niliwahi kutekwa na Imani ya dini Fulani ambayo kupitia mafundisho ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…