Numerous computer and video games have been inspired by J. R. R. Tolkien's works set in Middle-earth. Titles have been produced by studios such as Electronic Arts, Vivendi Games, Melbourne House, and Warner Bros. Interactive Entertainment.
Nimesikitika baada ya kusoma thread ya member humu anayeitwa Marry Diana jinsi anavyoilalamikia jamii forum na member wake kwamba watu wengi humu ni wabaya kusema ukweli nimeumia sana hivi unakuaje mwwnamke mzuri na brain woman wanamkosea hivyo? Ila ninachomuambia huyu member Marry Diana ya...
Mabinti wawili walikua wanapiga story ndani ya daladala:
Binti 1: je ungependa mume wa aina gani ?
Binti 2: Awe bilionea ..! 🙄
Binti 1: Je ukimkosa ? 🤔
Binti 2: Awe milionea ..! 🙄
Binti 1: Je asipopatikana ? 🤔
Binti 2: Awe japo na laki tano ..! 🙄
Ghafla mvuta bangi mmoja akiwa kajilaza...
Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Jerry Silaa, akimbusu mke wake Mariamu, wakiagana naye kabla ya kuingia bungeni kuwasilisha hotuba ya taarifa ya makadirio, mapato na matumizi ya wizara hiyo, jijini Dodoma, leo Mei 16, 2025.
Jamani tambueni hakuna kitu kinaitwa mume wa mtu, ndioo najua unashangaa..
Ndio maana huwa hatuwatolei mahali hawa viumbe, tofauti na sisi tunakuja kuzolewa juu juu kwa mabadilishano ya kifedha (barter trade).
Huu mfumo ndio unefanya wanawake baadhi wananyanyasika sana kwakigezo Mume anasema...
Ktk swala la wao kuvumilia muda mrefu bila kushiriki tendo wanetuzidi wanaume.lakini pale wanaposema mume hata akisafiri muda mrefu si tatizo ni uongo hawawezi hao. Ieleweke wazi hapa sisemi kwamba huyo mwanamke atachit hapana.Ila kiakili na ile kumic kuwa karibu humfanya asikubali mwezake awe...
Mume wangu tajiri wa kusini nakupenda sana jamoni yaani bila wewe siwezi kuishi japo wewe ni tajiri ila umeamua kujishusha,kunihudumia,kunilinda na kunijali jamoni wewe ndiyo umenifanya nione thamani ya Maisha tena baada ya kutendwa mume wangu Tajiri wa kusini hivi nimpende nani zaidi yako...
Naomba kufahamu, kama kesi ilienda mahakama ya kadhi na TALAKA ikatoka kupatiwa mke, Je wakiridhiana wanaweza rudiana, au nini hatma yake!?
Nawasilisha
Naendelea kutoa masomo kuhusiana na Muhamad na Quran ili watu waufahamu Uisilamu. Watu wengi wakiwemo waisilamu wenyewe wamekuwa hawamfahamu Muhamad na hawaufahamu Uisilamu ulivyoanzishwa. Hawamfahamu vizuri Muhamad na matendo yake ambayo ndo msingi wa Uisilamu.
Tunaenda kwa maandiko hakuna...
Mume na mke wakazi wa Kijiji cha Gidimadoy, Kata ya Maga, Tarafa ya Haydom, Wilaya ya Mbulu mkoani Manyara, wamehukumiwa kutumikia kifungo cha miaka mitano jela na kulipa faini ya Shilingi milioni tatu kila mmoja kwa kosa la kuwakeketa watoto watatu yatima wa familia moja.
Watoto hao walikuwa...
Niliona uchafu wa haja kubwa kwenye nguo yake ya ndani, nikajua kama mwanaume hawezi kutawaza vizuri basi pia hawezi kuja kua kichwa cha familia yangu.
Niliona anavyoongea kwa dharau na mzazi yake nikajua huyu hana heshima kuanzia nyumbani kwao, hanifai.
Alinipigha alivyotoka mpirani amelewa...
Assalaam Alaykum Warahmatullah Wabarakatuh.
Kwa jina naitwa Aziza Ramadhan Abdallah, nahitaji mume miaka 40-70 ambaye anajua wajibu na majukumu yake kwa mwanamke wake, familia yake.
Nicheki WhatsApp kwa ajili ya maongezi zaidi. 0711297086.
Assalaam Alaykum Warahmatullah Wabarakatuh.
Kwa jina naitwa Aziza Ramadhan, nahitaji mume mtu mzima ambaye anajua wajibu na majukumu yake, miaka 40-75. Niko serious kabisa kwa hili. Kwa maongezi zaidi njoo WhatsApp 0711-297 086.
NB: KAMA HUNA MIAKA 40-75 USINITAFUTE.
Assalaam Alaykum Warahmatullah Wabarakatuh.
Kwa jina naitwa Aziza Ramadhan, nahitaji mume mtu mzima ambaye anajua wajibu na majukumu yake, miaka 40-75. Niko serious kabisa kwa hili. Kwa maongezi zaidi njoo WhatsApp.......
==>> 0711-297 086.
NB: KAMA HUNA MIAKA 42-75 USINITAFUTE.
UKIWA CHINI YA MIAKA 45 NI MARUFUKU KUNITAFUTA.
Hello mimi niko single, nahitaji mume, Miaka 45-75.....awe anajiweza kutunza na kuhudumia mke, familia. Dini yoyote, niko tayari kuwa hata mke wa 2, 3, 4.
Hello, nahitaji mume mtu mzima, miaka 45-78. Mwanaume mtu mzima ambaye yuko tayari kuwa na mimi anicheki WhatsApp kwa maongezi zaidi 0747855329.
UNAPOKUJA PM ZINGATIA MAELEZO.
Sehemu ya Kwanza: Mchezo wa Mapenzi na Mume wa Mtu.
Nilipofikisha miaka 27, nilianza kuhisi shinikizo kubwa la kupata mume. Marafiki zangu wengi walikuwa tayari wameolewa na baadhi yao walikuwa na watoto. Nilihisi kama muda wangu ulikuwa unaisha. Kwa hiyo, nilianza kujaribu njia mbalimbali za...