Numerous computer and video games have been inspired by J. R. R. Tolkien's works set in Middle-earth. Titles have been produced by studios such as Electronic Arts, Vivendi Games, Melbourne House, and Warner Bros. Interactive Entertainment.
Habari wanajamii,
Naomba kuuliza kwa heshima na busara kuhusu jambo linalonitatiza kidogo moyoni. Kumekuwa na hali ambapo mwanamke anakula chakula bila kumkaribisha mume wake mara kwa mara, lakini cha kushangaza zaidi ni kwamba dada wa kazi humkaribisha mume chakula.
Je, hili linaashiria nini...
Simanzi imetawala wananchi walioathiriwa na vurugu zilizotokea wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025 waliposimulia walichoshuhudia katika matukio hayo, wakieleza walichoshuhudia baadhi ya waathirika wa matukio hayo wakiwemo waliopigwa risasi wao au waliofiwa na wapendwa wao na...
Mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Peramiho, Jenista Mhagama unatarajiwa kuzikwa leo katika Makaburi ya Senta B yaliyopo kijiji cha Ruanda, Halmashauri ya Mbinga mkoani Ruvuma, karibu na kaburi la mume wake, marehemu Leonard Mhagama.
Mwili wa marehemu umewasili katika kijiji cha Ruanda tayari kwa...
Mwanamke mmoja anayefahamika kwa jina la Veronica Muhale (40), Mkazi wa Kata ya Endagaw, Wilaya ya Hanang’ Mkoani Manyara, anadaiwa kumjeruhi Mume wake Josephati Kasi (45) kwa kuzikata kwa kisu sehemu zake za siri na kuzitupa nje ya Nyumba.
Imeelezwa kuwa chanzo cha Veronica kufanya hivyo ni ni...
Miaka ya uchaguzi Mzee Mwinyi, Mzee Mkapa, mzee Kikwete na Mzee Magufuli walikuwa wakitembea huku na kule na wenzi wao. Je rais Samia hana washauri juu ya hili? Kwanini anamtenga mume wake?
Je, anatoa picha gani kwa umma? Kikwete aliwahi kumlazimisha Magufuli kumtambulisha mke wake kwenye...
Kwani tukisema nchi inakaribia kuwa ya ki Falme au ki Monarchy tutakosea?
========================================
Katika familia zenye hadhi kubwa ya kisiasa na utawala hapa nchini, huwezi a kuacha kuitaja familia ya Mohamed Mchengerwa. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (TAMISEMI) Tawala za Mikoa...
Kulikuwa na pambano jana huko mjini Kampala lililopewa jina la Kampala Ramble
Ebana huyo mume wa Zari a.k.a mume mwenza wa Diamond Platnumz kachezea vitasa, yani kapigika haswaa.
Tumuombee tu awe hajaumizwa.
Zarithebosslady machozi na presha vyote kwa wakati mmoja wakati mume wake SHAKIBU alikuwa akipokea makonde kutoka kwa rickman hapo jana.
Unamshahuri nini Zari.
***
Mwanamama mfanyabiashara mrembo, Zari Hassan maarufu ZariTheBossLady alionekana kutetemeka sana baada ya mumewe, Shakib Cham...
Zari Hassan maarufu kama Boss Lady amejikuta mwenye majonzi baada ya mumewe, Cham Lutaaya, kuchezea kichapo heavy na kupoteza kwa knockout mikononi mwa msanii Rickman Manrick katika pambano la The Kampala Rumble.
Pambano hilo lililofanyika jana Agosti 30, 2025 katika Ukumbi wa MTN Arena...
Ndoa ni taasisi yenye nguvu kubwa kijamii na kiroho. Lakini pale panapojitokeza kutokuelewana, mara nyingi matokeo yake huwa ni migawanyiko na hatimaye talaka. Katika mazingira mengi, talaka haimalizii tatizo pekee, bali huibua hali mpya ya maumivu, visasi na mara nyingine mashambulizi ya...
Yaliyojiri siku za karibuni, Kuna taarifa kwamba mama yake Hamisa Mobeto ambae ni Mama Mobetto amemnyakua bwana/ mume wa boss wa kitambaa cheupe Jesca Kikumbi.
Kufuatia mnyakuo huo bi Jesca amedata na kwenda vacation huko Serengeti, Huku akionyesha mwili wake mzuri kwa mavazi ya kuogelea, kitu...
Mke alale uchi asilale na nguo na mume ingefaa alale pia uchi ila kwa sababu za kiusalama kitengo inabidi walau awe na kitu for emergency sasa yafaa alale na kanzu ili aipandishe kama dera wanandoa wa hivyo nawapa nyota nawapa site.vijana wadogo hawawez kuelewa.
Tumsifu Yesu Kristo ndugu zangu.
Ndugu zangu mimi ni mwanaume, miaka 40 natafuta mwanamke mwenye uhitaji wa mume ili kuishi maisha ya kumpendeza Mungu kwa kufunga ndoa na kujenga familia bora pamoja.
Elimu yangu ni ya Chuo, nina kibarua cha kunipatia kipato cha kuendesha familia vizuri...
Katika kampeni zake za kuomba kura kwa wajumbe Ndugai kasikika akisema yeye ni mke mkubwa. Swali ambalo najiuliza bila kupata majibu. Je, mme wake ni nani mwenye wake wengi na kwamba yeye anajivunia ndo mke wa kwanza?
Naomba ufafanuzi kwa hili jambo.
Ndugu zangu Moja Kwa Moja kwenye mada, nina mshikaji tumeshibana ki mtindo Japo mm nina mapungufu na yeye pia anayo ila tumechagua kusonga kama washikaji. Umri wetu ni 28+.
Mwamba alianza ku date na rafiki wamke wake ambaye ni jirani yake, kama mjuavyo mapenzi yalivo na nguvu ilikua ni ngumu...
Wakuu,
Mwanamke mmoja nchini Malaysia ameibua hisia kali baada ya hadithi yake kusambaa mitandaoni, ikionesha alivyomhudumia mume wake kwa miaka sita baada ya kupata ajali ya gari iliyomsababishia kupooza, lakini baadaye akatalikiwa na mwanaume huyo wiki moja tu baada ya kupona na kuoa mke...