Muislamu akifa kwenye Jihad ni furaha kwake
Mtu anayekufa katika njia ya Allah huitwa shahidi (shahid). Katika Qur'an kuna aya inayosema:
“Wala msiwadhanie waliouawa katika njia ya Mwenyezi Mungu kuwa ni wafu, bali wao wako hai...” (Qur’an 3:169)
Tofauti na wakiristo na wegine. Wanaona wakiwaua...
Nguruwe na kisamvu cha kopo vyote haramu ila angalau nguruwe amehalalishwa kuliwa kwa kiasi kidogo kama hapo ulipo umekosa kabisa chakula na nguruwe ndo nyama pekee iliyopo inalusiwa kula kidogo ila usishibe ila kisamvu cha kopo hakirusiwa kuliwa na umuoni mtume.
Habari zenu! Mimi ni muislamu nataka kuoa binti Mkristo Mzaliwa wa Huko Gairo, Naomba nisaidiwe taratibu za huko za kuandika barua ya posa zipoje? mana nataka niende Wiki hii.
Nashukuru sana kuzaliwa nikiwa muislam. Ninaomba sana Allah aniondoshe ktk dunia hii nikiwa ni muislam tena muumin. Ningalikua nimezaliwa nje ya uislam ingalikuaje?
Nimeangalia mahojiano yake na namshangaa pale alipokazania Lissu na Heche wanahusika ktk vurugu za October 29.
Licha ya Odemba kupinga hoja hio kwa kuonesha jinsi ya vyombo vya dolla vinafanya kazi. Yeye alikazania.
Kilichonifanya nishangae kwamba kusema yeye ni muislamu mbele ya TV hio. Hii...
Mzee wa Upako Anthony Lusekelo amewataka wanaosema kuwa Rais Samia anakosolewa sababu ni Muislam, wajibu hoja na siyo kuleta mambo mengine ya udini. Ameongeza kuwa Udini ni mbaya na haufai kwenye nchi yetu, huko tumeshavuka
Lusekelo amesema, katika kura 98% alizopata Samia kuna kura za...
Samia anaongoza nchi vibaya ba ukimkosoa machawa wake watakuambia unamkosoa kwa sababu ni
1. Mwanamke
2. Mzanzibari
3. Muislamu
Sasa hapa nina swali au maswali
Tunakubali kuwa Rais naye ni binadamu kwa hiyo anaweza kukosea kama tu binadamu wengine bila kujali dini, jinsia wala kabila.
Rais...
Mwanzo sikujua kama muislam.
Baada ya kuachiwa akasoma
Surat-Tin yaani sura ya 95
"Alaisallahu bi ahkamil hakimin" (أَلَيْسَ اللَّهُ بِأَحْكَمِ الْحَاكِمِينَ)
Mafundisho wa aya hii
1. Allah ndiye Mwamuzi wa haki zaidi
Hakuna mwanadamu au kiongozi duniani anayeweza kulinganisha uadilifu...
Hili sijalielewa kabisa? Kwamba niachieni kwanza nimalize hii ngwe iliyobaki.
Huku ufisadi, dhuluma, utekaji, upendeleo wa familia zetu ukiendelea mpaka nimalize.
Mnanichukia Sababu natoka Zanzibar na mimi ni muislamu!
Moja kwa moja.
Baada ya tukio la October 7 Hamas kushambulia Israel nilikuwa kinyume na Waislamu wengi wa Jf katika mijadala ya humu tokea siku ya kwanza , na supporters wa Hamas walinipinga wakidai.
1. WaPalestina wanaonewa kila siku kwa miaka mingi tena kwa dhuluma hivyo lazima wapambane...
Hapa naona imekatazwa mbwa au mwanamke au Myahudi asipitie karibu na muislamu wakati wa maombi, kwa hivyo wanawake au jamii ya Wayahudi wanachukuliwa kama nini kwenye uislamu, kuna sehemu nimesoma Mohamad aliagiza mbwa weusi wauawe.
Book 2, Number 0704:
Narrated Abdullah ibn Abbas:
Ikrimah...
..."Alisikika mbabu mmoja akiwa amevalia kanzu nyeupe na baragashia usoni kwenye kijiwe cha Gahawa Street".
Jinsi unavyoshangaa, ndivyo hivyo hivyo na mimi nilishangaa na kuacha mdomo wazi
Nawasilisha
Kuepuka kushambuliwa na magaidi wa Waislamu maarufu kama Houthi, meli zinatangaza kwa herufi kubwa kwamba kila abiria au mhudumu ni muislamu.
Hii dini ya muarabu ikiendelea kuchekewa itaangamiza dunia, bora hivyo kubwa lao Iran limekalishwa.
=============================
'All Crew Muslim'...
I will be short
Former yanga Player Fiston Mayele has converted to Islam . ☪️
Reports say influence from Pyramids players played a major part of his conversion.
Kibongo bongo
Ni pesa za kiarabu Hizi zinatafutwa
===
Nyota wa DR Congo anadaiwa kusilimu
Katikati ya mafanikio yake ya soka...
Surat Yunus (10:94)
"Basi ikiwa uko katika shaka juu ya yale tuliyokuteremshia, waulize wale wanaosoma Kitabu kabla yako..."
(Qur’an 10:94)
Allah anasema kwa Mtume Muhammad, ikiwa unayo shaka juu ya yale yaliyoteremshwa kwako, basi waulize wale waliokuwa wakisoma vitabu vya kabla yako (yaani...
Sayyidna Abu Dharr Al-Ghifari (RA) – Kukataa Uongozi
Mtume Muhammad (SAW) alimkataa Abu Dharr alipoomba nafasi ya uongozi:
(Sahih Muslim)
Abu Dharr alikuwa mcha Mungu sana, lakini alikatazwa uongozi kwa sababu ya kutokuwa na uwezo wa kushughulika na majukumu yake. Yeye mwenyewe alikubali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.