Je umeshawai kuiona movie ya Titanic ya mwaka 1997 ??
Bila shaka baada yakuiona hiyo picha hapo juu,, jibu ni ndiyo na kama bado unaweza kuitafuta sasa kwenye site mbalimbali na kuitazama movie ya kipekee kabisa ,, sasa basi mwanzoni kabisa mwa movie hii iliyongozwa na director bora kabisa...