muhtasari

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Shemeji yangu amegushi muhtasari wa ukoo wa mirathi

    Wakuu kwema huko wale town na wale wa bush mko sawa wapambanaji...wahaini, magaidi wa serikali mpo pia...🤔 Wakuu ndugu yangu alifariki baada ya maziko ukoo ulikaa kikao cha kujadili mali za marehemu na kuteua msimamizi wa mirathi. Tuliamua kwa kauli 1 kwamba mke wa marehemu ndo awe msimamizi wa...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Nini Jaji Warioba Kaongea Leo! Chini ni Muhtasari wa Alichokisema

    Tanzania kwa sasa inapita katika kipindi cha mpito wa kisiasa ambacho kinahitaji viongozi wenye busara na ujasiri wa kusimamia ukweli bila uoga wala upendeleo. Katika muktadha huu, Jaji Joseph Sinde Warioba anasimama kama moja ya tunu chache za kitaifa zilizobaki—sauti ya maadili na hekima...
  3. JamiiForums Tanzania Muhtasari wa Kitabu cha The 48 Laws of Power The 48 Laws of Power

    The 48 Laws of Power, kilichoandikwa na Robert Greene na kuchapishwa mwaka 1998, ni kitabu kinachochambua dhana ya madaraka, ushawishi, mikakati na tabia za binadamu. Kwa kutumia mifano kutoka katika historia, siasa, vita, biashara na siasa za ndani za tawala, Greene anaainisha kanuni 48...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Muhtasari Rasmi wa Uchambuzi: Gama Nisamehe (DDC Mlimani Park Orchestra)

    Muhtasari Rasmi wa Uchambuzi: Gama Nisamehe (DDC Mlimani Park Orchestra) https://www.youtube.com/watch?v=MC9Ne64M6m4&list=RDMC9Ne64M6m4&start_radio=1 1. 🎼 Utanguluzi, Chimbuko na Siri ya Utunzi Wimbo "Gama Nisamehe" ni alama ya dhahabu katika muziki wa dansi nchini Tanzania. Kibao hiki...
  5. JamiiForums Tanzania Hii video imejaribu kuelezea muhtasari mfupi wa hizi beef utumbo za humu JF 😁

    Mnatukanana kwa emojis na ID hewa za majina ya uongo😁
  6. Q

    JamiiForums Tanzania Wanaokwenda kujadili Muhtasari, Wana akili timamu kweli?

    Nimeambiwa kuna viongozi mbalimbali wanaenda kuchambua Muhtasari wa Chande, wapo viongozi wa dini na wanasiasa, watuambie wanaenda kuchambua kitu gani ambacho hawakijui au wao wameshapewa ripoti nzima. Ripoti huijui, hujaisoma umeiona tu imefungwa kwenye gift wraps, kwanza umeambiwa ripoti...
  7. JamiiForums Tanzania Tazama muhtasari wa matukio muhimu aliyoyafanya Rais Samia Suluhu Hassan kuanzia 03 - 09 Novemba 2025

    #IkuluWIkiHii Tazama muhtasari wa matukio yote muhimu aliyoyafanya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika wiki hii. 📆
  8. JamiiForums Tanzania Tazama matukio muhimu aliyoyafanya Rais Samia Suluhu 04 - 10 Agosti 2025

    #IkuluWikiHii Tazama muhtasari wa matukio yote muhimu aliyoyafanya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika wiki hii. 📆 Tarehe 04 - 10 Agosti, 2025
  9. JamiiForums Tanzania Muhtasari wa Kitabu: The Winner’s Law – by Bodo Schäfer

    Tafsiri kwa msaada wa ChatGpt "The Winner’s Law" ni kitabu kinachofundisha kanuni na sheria ambazo watu wenye mafanikio huzitumia ili kufanikisha ndoto zao. Bodo Schäfer, ambaye ni mtaalamu wa fedha binafsi na maendeleo ya mtu binafsi, anaeleza kwa lugha rahisi namna mtu yeyote anavyoweza...
  10. JamiiForums Tanzania Ikulu Wiki Hii:Tazama muhtasari wa matukio yote muhimu aliyoyafanya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia katika wiki

    #IkuluWikiHii Tazama muhtasari wa matukio yote muhimu aliyoyafanya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika wiki hii 📆 16 - 22 Juni, 2025.
  11. JamiiForums Tanzania Muhtasari wa Kiama Dakika kwa Dakika: Yatakayojiri Vita ya Nyuklia Kati ya Umoja wa Nchi za Ulaya na Urusi Juu ya Mgogoro wa Ukraine

    Je, umewahi kufikiri dunia inaweza kufutwa kwa dakika ishirini tu? Je, maisha yote tuliyoyajenga – shule, familia, ndoto – yakaisha kwa sauti moja ya kishindo? Huu si utani. Si sinema ya Hollywood. Ni uhalisia unaovizia mwanadamu kwa kivuli cha siasa na teknolojia. Rais wa Urusi, Vladimir...
  12. JamiiForums Tanzania Mukhutasari wa Ripoti ya CAG Upande Wa TAMISEMI Kwa Mwaka 2023/2024

    UKAGUZI WA TAMISEMI, TAWALA ZA MIKOA NA MAMLAKA ZA SERIKALI ZA MITAA KWA MWAKA WA FEDHA 2023/24 Muhtasari huu unawasilisha matokeo muhimu ya ukaguzi, hitimisho na mapendekezo. Ukaguzi ulichunguza taasisi 220 zikiwemo Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Sekretarieti za...
  13. JamiiForums Tanzania Nimemaliza mwaka huu kwa Kupata Mtoto wa kiume; huu ni Muhtasari wa Safari tangu mwezi Februari mwaka huu

    NIMEMALIZA MWAKA HUU KWA KUPATA MTOTO WA KIUME; HUU NI MUHTASARI WA SAFARI TANGU MWEZI FEBRUARI MWAKA HUU. Anàandika, Robert Heriel Shahidi Andiko hili liwe tumaini kwa waliokata tamaa. Liwe faraja kwa wasio na mfariji. Liwe funzo kwa wenye kupenda ufahamu. Basi nikasema, hili nalo nitaandika...
  14. JamiiForums Tanzania Kamati ya sera ya fedha yaridhishwa na utekelezaji wa sera ya fedha nchini na mwenendo wa ukuaji wa uchumi Tanzania

    Saa chache zilizopita kupitia kurasa zake katika mitandao ya kijamii, Benki Kuu imetoa taarifa ya Kamati ya sera ya fedha ambayo kazi yake kubwa ni kufanya tathmini ya utekelezaji wa sera ya fedha na mwenendo wa uchumi. Chini ya Rais Samia Suluhu ukuaji wa uchumi wa Tanzania imeendelea...
  15. JamiiForums Tanzania Muhtasari wa elimu ya Maombi, Dua na Sala kwa Mtu Binafsi, na Familia

    MAOMBI, DUA NA SALA KWA MTU BINAFSI, AU FAMILIA Anaandika, Robert Heriel. Andiko hili lafaa kwa mtu yeyote, lafaa kwa rika zote, hadhi, elimu na hali. Andiko hili ni sehemu tuu ya kumbukumbu kwa wajuao mambo haya, aidha andiko hili ni elimu ya manufaa kwa wageni wa mambo haya. Haya basi...
  16. JamiiForums Tanzania Spika Ndugai: Mnaogopa nini kuleta viambatanishi ili tuwavue Ubunge kwa Haki?

    Spika Job Ndugai ameendelea kutoa ufafanuzi juu ya utaratibu wa kuwavua ubunge wabunge 19 wa viti maalumu wa CHADEMA, Mh Spika ameendelea kusisitiza kuwa anaongoza Bunge kwa Katiba, Sharia, Kanuni, Hekima na Utamaduni ili kutenda haki. Mhe. Spika amevitaka vyama vya siasa pale wanapotaka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…