Wizara ya Afya ijitafakari sana katika hili,, watumishi wa afya wanalia na Muundo wa mishahara miaka nenda miaka rudi,, tunaishia kusikia tu waziri akizungumzia kwenye majukwaa ya kisiasa suala la Muundo, Bunge lipo kinywa kujadili na kupitisha muundo Mpya wa Mishahara sekta ya Afya inchini...