mtumishi wa mungu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. petro matei

    Nimesoma kitabu chote cha Mtumishi wa Mungu Dana Morey sijaona viashiria vyovyote vya ushoga

    Yes! nimesoma kitabu chote kimenibariki sana kwa Neno la Mungu, sijaona hata Maneno au habari mbaya zilizo na viashiria vya ushoga hakika. Nimebaki najiuliza waliompa taarifa Mkuu wa mkoa JE ni rangi ya nje ya kitabu au rangi ya mipira maana pia Haina rangi za upinde wa mvua (Rainbow) Kwa...
  2. Kimbesa11

    Nimebarikiwa na mahubiri kutoka kwa mtumishi wa Mungu Dr. Alex G. Malasusa

    Namuona Mungu akinena ndani ya kinywa cha mtumishi wake Dr. Malasusa, hakika nimeponywa nafsi nimeuona utume wa Mungu ndani ya Malasusa. Ee! Mungu wetu Asante kwa kutuletea mtumishi huyu. Malasusa anasimama pamoja na watumishi wa Mungu wote wenye mapenzi mema na mioyo ya watanzania mfano wa...
  3. DuaZaMama

    PostGE2025 Mtumishi wa Mungu Kuhani Mussa amewajia juu wanao beza juhudi za Rais Samia, ni ubaguzi wa kidini

    Kuhani Musa amewajia juu wale wanaobeza juhudi za Mh. Rais Samia katika kuleta maendeleo nchini. Amesema amepokea nchi katika mazingira magumu, na kwa yale aliyoyashuhudia, ifike mahali tumwogope Mungu. Ameeleza kuwa ni akili za darasa la saba kuona kwamba “huyu ni Mwislamu, mimi ni mchungaji”...
  4. PAYE

    Mtumishi wa Mungu: Samia ukiendelea na Urais unaenda kufa, maana hana kibali cha Mungu

    Mtumishi wa Mungu amesema "Samia ukiendelea na Urais unakwenda kuuawa, utaondolewa: Mungu kakukataa”
  5. kyagata

    Hivi ni sahihi kwa mtumishi wa Mungu kutoa majibu kama haya?

    Wakuu Mchungaji anatoa majibu kama haya. Ni sahihi kweli?
  6. Q

    Boniface Mwabukusi: Si kila Kiongozi wa Dini ni Mtumishi wa Mungu

    Katika historia ya mwanadamu na hata katika maandiko matakatifu, ipo tofauti kubwa kati ya viongozi wa dini na watumishi wa kweli wa Mungu. Ni muhimu kwa jamii kutambua kuwa si kila kiongozi wa dini ni mtumishi wa Mungu. Na si kila anayesema "Bwana, Bwana" ataingia katika Ufalme wa Mungu...
  7. Setfree

    Vijana takriban 40 wauawa baada ya 'kumzodoa' Mtumishi wa Mungu!

    Habari hii ni ya kweli kabisa. Sio chai wala udaku. Taharuki imetanda katika mji mmoja baada ya tukio la kutisha lililowahusisha vijana zaidi ya 40 walioshambuliwa na wanyama wakali wa porini. Kwa mujibu wa mashuhuda waliokuwepo karibu na eneo la tukio, kundi la vijana zaidi ya 40 lilijikuta...
  8. Q

    Ushuhuda wangu kwa mtumishi wa Mungu Askofu Gwajima

    Mwaka 2014. Ulikuwa mwaka WA kumaliza chuo kikuu Moshi... Nilianza first year Na GPA 3.8 kufika mwaka WA pili ilishuka had 2.9. Na kuanzia kulemewa Na masomo Na kuchukiwa Na ma lecture KWENYE kila course pale chuo. .. Kufika mwaka WA Tatu wenzangu wanapoenda nyumban Nina sup ya masomo ma NNE...
  9. Genius Man

    Gwajima ni mwanasiasa mbunge na ni mchungaji hata kama angekuwa mtumishi wa Mungu pekee bado kukemea utekaji sio kosa wala siasa

    Gwajima ni mwanasiasa mbunge na ni mchungaji hata kama angekuwa mtumishi wa Mungu pekee bado kukemea utekaji sio kosa wala sio suala la kisiasa ni suala la kupinga ugaidi sasa uagidi na siasa wapi na wapi ? Lawama hizi za uminyaji mkubwa wa wananchi atabeba Samia hata kama kuna watu wanamjaza...
  10. Mzalendo2015

    Nabii Rolinga: Madhara ya kumwaga damu, suluhisho ni kukaa pamoja

    https://youtu.be/gRFTQaTOCUg?si=7yOQzFaQ7gsU5Y8a Rais wetu na mama yetu mpendwa, Dr. Samia Suluhu Hassan, kama Serikali yako ni sikivu na wewe mwenyewe ni msikivu, hebu sikiliza sauti hii ya mtume wa Mungu. Kwa imani yako kama Mwislamu unaye mwabudu Allah, naomba utafakari ushauri huu wa...
  11. Carlos The Jackal

    Mzee asiye na Chama na Mtumishi wa Mungu, aionya CCM , adai Mabadiliko ni Lazima !!

  12. S

    PreGE2025 Mtumishi wa Mungu afichua Mpango wa CCM kuwaengua Wabunge wa Kanda ya Ziwa

    Mtumishi wa Mungu wa Huduma ya Kristo, Steven Jacob amefichua mpango wa Chama cha Mapinduzi kuwafuta wabunge wote wa Kanda ya Ziwa na kuweka watu wao sikiliza kwa makini video hii inayofichua mpango mzima. https://youtu.be/jXrtCkOsKBQ?si=-IbKOvkyyzaCB09s
  13. R

    Shetani ni mtumishi wa Mungu, siyo adui wa Mungu

    Najua hoja yangu itaibua ukinzani wa kitheolojia na niko tayari kwa hilo hata kama majibu hayatakuwa timely kwa sababu ya majukumu mengine. Mungu ametuumba na kutupa FREE WILL. Kazi ya kuona free will inafanya kazi amemuachia malaika huyo tuliyembatiza majina mengi tu likiwemo jina la SHETANI...
  14. Setfree

    Mtumishi wa Mungu anusurika kuuawa kwa bomu

    Jana asubuhi, Alexandra, Mtumishi wa Mungu katika jiji la Kiev, Ukraine, alinusurika kuuawa kwa bomu lililodondoshwa na drone ya Urusi, juu ya nyumba aliyokuwa amelala. Mlipuko wa bomu hilo uliiteketeza nyumba hiyo kwa sekunde chache tu. Kwa njia inayoonekana wazi kabisa kuwa ni muujiza wa...
  15. Robert Heriel Mtibeli

    Hakuna Nabii na mtumishi wa Mungu aliyejiingiza kwenye siasa akashinda pasipo kuwa Mpiganaji wa Vita. Manabii wengi walioingia kwenye siasa waliuawa

    HAKUNA NABII NA MTUMISHI WA MUNGU ALIYEJIINGIZA KWENYE SIASA AKASHINDA PASIPO KUWA MPIGANAJI WA VITA. MANABII WENGI WALIOINGIA KWENYE SIASA WALIUAWA KWA SABABU HAWAKUWA WARRIOR Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Hii ni angalizo kwa wale Watumishi wa Mungu, Manabii na mitume wa wakati huu...
  16. M

    Tahadhari Kwa Mtumishi wa Mungu B. Mwamposa

    Sina tatizo na siasa za nchi hii. Mimi kwangu ni sawa tu CCM wakiendelea kutawala hii nchi au CHADEMA wakapokea kijiti Sina Cha kupoteza. Ninachotaka ni maendeleo. Kwa mfano Mbeya watakuwa wendawazimu wakampa jimbo mtu mwingine yeyote wakamtema Tulia Akson Mwansasu bila kujali maendeleo makubwa...
  17. B

    Huyu Mtumishi wa Mungu Dickson Cornel Kabigumila ameniamsha imani Upya, kweli Mungu yupo

    Mimi Bushdokta kwa muda mrefu sasa nimekuwa msomaji wa Biblia na kufatilia mafundisho ya Neno la Mungu na Ibada mabli mbali pamoja n harakati za injili. Ktk kufanya hivyo ilifika mahali nikataka kukata tamaa. Kulikuwa na hofu kwamba huenda huyu Mungu anayehubiriwa ni Mungu Dhaifu asiyeweza vitu...
  18. Mtoa Taarifa

    Leo ni kumbukumbu ya miaka 25 ya Kifo cha Baba wa Taifa Mwalimu Julius K Nyerere, unakumbuka nini kuhusu huyu mzee?

    Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, Baba wa Taifa na Rais wa kwanza wa Tanganyika (baadaye Tanzania), alikuwa kiongozi mwenye ushawishi mkubwa barani Afrika na duniani. Katika kumbukumbu ya miaka 25 ya kifo chake, haya ni mambo 7 muhimu kuhusu Nyerere: 1. Muanzilishi wa Taifa la Tanzania: Nyerere...
  19. matunduizi

    Jinsi mtumishi wa Mungu alivyoelekezwa kukosoa watumishi wenzake wa serikali na siasa

    Anatakiwa kwenda moja kwa moja kwa muhusika. Sio kurusha barua au andiko jumlajumla tena hadi kwetu wananchi tusiohusika. Nathan alimfuata Daudi moja kwa moja alipozini na kuua raia. Yohana mbatizajialipotaka kumsaidia Herode alimfuata. Paulo alipotaka kumsaidia Rais wa Cyplus Sergio Paulus...
  20. DR Mambo Jambo

    Msanii Mkubwa Bongo Fleva atabiriwa kifo na Wachungaji kutoka Kenya na Zimbambwe

    Msanii Mkubwa Bongo Fleva atabiriwa kifo na Wachungaji kutoka Kenya na Zimbambwe Sasa shughuli inabaki kwetu kama sio Ally bhasi ni Nasibu, maana ndiyo sifa walizotajwa nazo. Nawatakiwa Asubuhi Njema
Back
Top Bottom