mtu

  1. Nataka nilipize kisasi kwa dada ambae sasa ni mke wa mtu

    Huyu dada tumesoma nae shule ya msingi. Nikiwa msingi, waliniita mtoto wa mama, kwakua nilikua naogopa wanawake. Siku moja alimwambia rafiki yangu kua, ajifanye tunaenda chooni kisha tukifika, yeye atanivuta kwenye choo cha wanawake, rafiki yangu kwakua alishakua mzoefu wa wanawake, yeye alikua...
  2. T

    Naombeni Ushauri kuna mtu amenitishia

    Wakuu kwema. Nimekuwa nikiishi kwa amani sana mpaka pale nilipoenda kupanga mtaani, Kuna mpangaji mgeni ila inaonekana yeye ni mwenyeji hapa mtaani , ni mvutaji bangi mkubwa mno, utulivu hakuna. Juzi natoka zangu kampas nakuta mtu kanisubiri akisema nimeiba kitu chake ambacho hata mimi sikijui...
  3. Mtu aliyelelewa na mzazi mwenye akili utamjua kwenye mambo yafuatayo

    1.Hutamkuta akichanganya matumizi vyombo yaani kwa mfano beseni la kufulia hilohilo aoshee vyombo hata kama an umaskini ila atatafuta njia nyingine sio kushare matumizi. 2.Akimaliza kula au kupika utamuona anasuza vyombo uchafu hata kama ataviosha baadae.sio mwingine kapika usiku analaza...
  4. H

    "Kila mtu anapaswa kuamua hatima yake mwenyewe"-Prophet Bob Marley

    "Kila mtu anapaswa kuamua hatima yake mwenyewe, Na katika uamuzi huu hakuna upendeleo. Kwa hivyo mkono mikononi, kwa mikono, tutapambana na mapambano haya madogo, Kwa sababu hiyo ndiyo njia pekee tunaweza kushinda shida yetu ndogo "-Prophet Bob Marley
  5. Huu ni moja wa ushauri bora niliwahi kuona mtu akipewa JF. Yani uko simple na precise ila unafikirisha.

    👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿 BALENSIAGA 🙌🏿🙌🏿
  6. USIUDHARAU UJINGA WA MTU— BADALA YAKE, UGEUZE KUWA BIASHARA YAKO!!

    ------------------------------------ Katika dunia ya sasa, kuna ukweli mchungu lakini wa kuvutia sana: watu wengi hawafanyi maamuzi kwa kutumia akili, bali kwa kutumia hisia. Wakati wachache wakitumia busara, wengi hukwama katika mtego wa maamuzi ya kupendeza moyo pekee—na si maamuzi ya...
  7. Mtu mmoja mwenye tamaa za tumbo anapoamua kuzuia haki za walio wengi kushiriki haki ya kuchagua!

    Dikteta ucharwa msimamo wake wa kutaka kuzuia uchaguzi unapelekea kuwanyima haki au kuzia haki ya wapenda haki katika kushiriki katika zoezi zima la uchaguzi dikteta uchwara..ameweka msimamo huo kwa kuwatisha wasaidizi wake wote hata mteule wake katibu mkuu mnyika ametishwa jana asishiriki kikao...
  8. PreGE2025 Mbunge Boniphace Getere: Tunachotaka ni kuona PM Majaliwa anarudi bungeni kuhusu vyeo anajua Mungu

    Mbunge wa Bunda Vijijini, Boniphace Mwita Getere akizungumza Bungeni Aprili 10 amesema; "Wengi mnakaa humu ndani Bungeni ila sijawahi kuona unakaa na mwanadamu mstaarabu kama Waziri Mkuu tuliyenaye sasa hivi, ni mstaarabu mno, ni mchapakazi na mstaarabu, kila mtu anamsikiliza." "Sasa mimi...
  9. Masikini tumebobea katika uchambuzi wa maisha ya tajiri lakini inapokuja upande wetu tukichambuliwa tunasema ni unfair huku tukipoint ni mkono wa mtu.

    🤣habari za tajiri muulize masikini. Utasikia: "Oooh yani mwanaume mzima kama yule anatembela IST" "Oooh ule ukuta hakupaswa kuufanyia vile skimming" "Ooh yani jamaa ana hela ila mke wake anasuka twende kilioni" Yakija maswala yake sasa utasikia ooh mtaani hapa watu wanafuga fisi ndio maana...
  10. K

    Nimemnunulia mke wa mtu zawadi ya chupi,kazipokea

    Kila nikitoka home nikirudi,huyu mke wa mpangaji mwenzangu ananiomba zawadi. Nikasema ngoja nimtege kidogo,jioni hii nimepita duka flani la nguo za kike nikanunua chupi za kike kama 3 hivi ,nimefika tu home naingia getini nashangaa mtu ananiulizia zawadi zake,nimetoa mfuko nikampa Nikamwambia...
  11. Anthony D. Luvanda Kuna MC wanapost video na picha ambazo zinadhalilisha utu wa mtu

    “Siku hizi kumekuwa na wimbi kubwa la mc kupost video clips kwenye sherehe lakini sasa wengine wanapost mpaka video ambazo zinadhalilisha utu wa mtu sasa inabidi kuzingatia sio kila kitu unapost na kama unavyojua tasnia ya MC imekuwa ikivamiwa na watu wengi na kila mtu anataka kuonekana yeye ndo...
  12. Mtu akikutukana, usimrudishie tusi -Aliyetuumba ameonyesha mfano

    Katika jamii, ni jambo lisiloepukika kukutana na watu wanaotukana au kusema maneno ya kuumiza. Hali kama hii hutufikisha kwenye options mbili: kulipiza au kujibu kwa hekima bila matusi. Biblia inatufundisha kuchagua option ya pili: kutokurudisha tusi - kujibu kwa upole na kusamehe. Yesu Kristo...
  13. Huko Yemen magaidi wa Ki-houthi wanaendelea kupata kipondo cha kufa mtu kutoka majeshi ya Marekani

    Magaidi wa Houth wanaendelea kupata kichapo kutoka majeshi ya Marekani. Kipondo hicho kimefanya wapate kiwewe na walipohojiwa huku wakiwa wamebugia miru hi mdomoni walisema “ Imekuwa kila usiku watu wana kosa Amani maana hatujui leo Marekani itashambulia wapi, maisha kama haya ni lazima...
  14. Inakuwaje tunalazimishana Maisha ya utajiri wakati kila mtu ana malengo yake?

    Inakuwaje mnataka kuset standard ya maisha kwa kila mmoja wetu,tumeziharibu tamaduni kwa kuifanya dunia yote iwe na tabia moja,akili na muelekeo mmoja. Tunaforce kila mmoja afikirie utajiri na kwanini isiwe elimu au watoto? Sikuhizi limezuka wimbi la vijana kukashifu ndoa hivi vijana mnakwama...
  15. Mtu asiye na Uso

    By SHANWA, 1967. SURA YA KWANZA MGENI ANATOKEA TEGU, mwana wa Goja, alisimama kwenye ardhi iliyoinuka ambayo iliyatenga mabonde ya Ugweno na Usangi, mahali alipozaliwa. Ingawa alikuwa mvulana mwenye umri wa miaka kumi na sita tu, lakini alionekana kuwa alikuwa mrefu kama mtu mzima. Ngozi ya...
  16. Wanawake mkitaka kushindana na wanaume zenu, shindana nae kweny kila sekta

    Eti niki cheat na yeye analipiza ana cheat na mwanaume mwingine. Sasa najiuliza kama yeye ni jemedari wa kulipiza visasi, mbona nikilipa bills za nyumbani halipizi? Na yeye akawa analipa bills. Mbona nikilipa ada za watoto halipizi? Nayeye akalipa ada za watoto. Mbona nikifungua biashara kwa...
  17. B

    PreGE2025 Kishoa: Hakuna mtu wa kuweza kuzuia uchaguzi, uchaguzi utakuwepo

    Mbunge wa viti maalumu Mkoa wa Singida ,Mhe Jesca David Kishoa amepinga vikali kampeni ya No Reform No Election inayofanywa na Chama Cha Demokrasia na maendeleo(CHADEMA) kikishinikiza uchaguzi mkuu wa mwaka 2025 kutokufanyika mpaka pale serikali itakapofanya mabadiliko ya mfumo wa uchaguzi...
  18. P

    Hivi mtu kama huyu una deal nae vipi? ananizungusha kunilipa pesa yangu

    Iko hivi... Kuna Mzee mmoja naheshimiana nae Sana, imepita kama muda alienda dukani kwangu kuchukua vifaa Kwa ajili ya kufanya finishing ya apartments zake anazojenga, akachukua vifaa vya 7,280,000/= ikaandikwa deni, sio mara ya kwanza kufanya hivo ni mtu nimeshafanya nae biashara muda mrefu...
  19. Nahitaji mume mtu mzima

    Hello, nahitaji mume mtu mzima, miaka 45-78. Mwanaume mtu mzima ambaye yuko tayari kuwa na mimi anicheki WhatsApp kwa maongezi zaidi 0747855329. UNAPOKUJA PM ZINGATIA MAELEZO.
  20. No reform No election mipaka ifungwe asikimbie mtu nje ya nchi wote wahesabiwe hapa hapa kama Mbowe...

    Naona ngojera zimepamba moto kila anaye kwenda tofauti kimtazamo na dikteta uchwara ana tenguliwa bila kufatwa kwa taratibu...ombi letu ni moja No reform haipingwi ila wakati ukifika wote wasihame nchi kenge wa mtandaoni na kenge walio nje ya maji huko nairobi waje hapa hakuna kukimbia...Dikteta...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…