mtu

  1. JamiiForums Tanzania Tuchanane: Mambo ambayo akifanya mtu aibu unaona wewe!

    Binadam alivyo leo kitabia na mwenendo ni zao la mambo 3. 1. Jenetiki alizorithi 2. Mazingira aliyokulia 3. Mazingira aliyomo. Tunakutana ukubwan, si vibaya tuambizane mambo yanayotia kinyaa kwenye jamii.(general bad manners). Haijalishi kwa makusudi au bahati mbaya. 1. Kuongea na simu sauti ya...
  2. JamiiForums Tanzania Urais siyo nafasi ya Majaribio lazima apatikane mtu madhubuti

    GT Hatupaswi kuchezea nafasi ya uraisi kwa tamaa binafsi hili ni suala la kitaifa. Linapokuja suala la uraisi maslahi ya Taifa lazima yakae mbele kwanza vyama pembeni Samia hana uwezo na udhubutu huo.
  3. JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli mtu anaweza kuendesha maisha yake kwa kutegemea betting tu?

    Kuna yule jamaa kule twitter anaitwa Sativa17... nilikuwa nafuatilia video yake akielezea jinsi alivyotekwa na kunusurika kufa baada ya kupigwa risasi ya kichwa. Aliulizwa anafanya kazi gani akadai anafanya betting ( michezo ya kubashiri ) tu, hafanyi inshu nyingine yoyote na kupitia hiyo...
  4. C

    JamiiForums Tanzania Sekta ya madini kuipeleka Tanzania uchumi wa kati juu 2050 wenye Pato la TZS50,000 Kwa kila Mtu kwa siku.

    Mojawapo ya sekta zilizochaguliwa kupewa kipaumbele na Dira2050 ya maendeleo katika kuleta mageuzi kiuchumi ifikapo 2050 ni sekta ya madini ambayo kwa kipindi cha miaka kumi (2014-2024) imekuwa ikikua kwa wastani wa 9% mpaka 10% ambapo jumla ya mchango wake katika pato la taifa kwa kipindi cha...
  5. F

    JamiiForums Tanzania GE2025 Yeyote anayetaka CCM iendelee kubaki madarakani baada ya utawala kwa miaka zaidi ya 60 huyo sio mjinga tu ni limbukeni mkubwa

    Mtu yeyote anayetaka CCM iendelee kubaki madarakani hata baada ya utawala kwa miaka zaidi ya 60 huyo sio mjinga tu bali ni limbukeni mkubwa!
  6. JamiiForums Tanzania Una mwambia nini mtu ambaye ana mpenda mpenzi wako ?

    Una mwambia nini mtu ambaye ana mpenda mpenzi wako ?? :Mimi namwambia aendelee kumpenda tu asikate tamaa.
  7. JamiiForums Tanzania Kwa mara ya kwanza Sayansi inaweza kumgundu mtu mchawi

    Wahini siti nitaeleza elimu ya ndani sana. Vitu nitakavyo gusia ni 1. Mambo ya kidini (Kikiristo). Nitaongelea Mwili, Nafsi na Roho 2. Artificial Intelligence (AI) Technology na Machine Learning 3. Brain Computer Interface Technology (BCI) 3.Teknolojia ya BCI ya Kusoma na Kutafsiri Mawazo...
  8. JamiiForums Tanzania Wazalendo wasiruhusu kabisa Uhuni wa Dodoma kua Desturi , itaangamiza Taifa , MTU mmoja' anaweza mpitisha Mwanae 2030 kugombea Urais na asihojiwé !!

    Mkutano ulikua wa kumteua Makamo!!. Wahuni na Machawa wakiwa tayari wameshajipanga, Anaibuka MTU ,kama vipi TUMPITISHE hapahapa? Makofi na kelele vikawa vingi. Wakaibuka Machawa na Vilaza na wahuni wengi wengi kufanya Fujo za makofi na vigelegele. Lini Samia alichukua Fomu? Licha ya...
  9. JamiiForums Tanzania Uchambuzi wa Sura ya 1: Kila Mtu Anaweza Kuwa Mshindi

    Kutoka Kitabu: The Winner’s Laws – Bodo Schäfer Katika sura hii ya kwanza, Bodo Schäfer anaweka msingi muhimu sana: hakuna mtu anayeumbwa mshindi wala mshindwa. Kila mtu anazaliwa akiwa na nafasi sawa ya kufanikiwa, na kinachowatofautisha watu ni maamuzi wanayofanya kila siku. Dondoo Muhimu...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Walikuwa Mungu mtu 2016-2020 sasa wako wapi?

    Tubadilishe mifumo ya demokrasia na haki. Bila hivyo mabaya yatawarudia. Vyombo vya unyanyasaji na utekaji unavitumia leo lakini kesho utatekwa wewe Hawa walikuwa Mungu mtu Mungu katuonyesha walikuwa binadamu leo wote wako wapi
  11. K

    JamiiForums Tanzania Kila mtu anaishabikia CCM kwa style yake

    KILA MTU ANAISHABIKIA CCM KWA STYLE YAKE Kitu muhimu wananchi wanachopaswa kufahamu ni kuwa huu ni mwaka wa uchaguzi; kelele, mivutano na shutuma zisizo na maana ni sehemu ya maisha. Hakika katika jicho la tatu; jicho la kutulia na kutumia akili nyingi - ni wazi Upizani dhidi ya Chama Cha...
  12. JamiiForums Tanzania Prof. Kitila: Mwaka 2050 Pato la Mtanzania litakuwa Dola 7,000 (Milioni 18.2) kwa mwaka

    Wakuu, Suala la pato la mtanzania pia limetajwa kwenye dira ya Taifa ambapo kufikia 2050 linatarajiwa kuwa Dola 7000 kwa mwaka
  13. N

    JamiiForums Tanzania Nchi yetu kuwa na mtu au kikundi kidogo kinacho controll uraisi haikwepeki, Nashukuru tu remote haiko kwa kabila kubwa.

    REMOTE NI LAZIMA IWEPO – SWALI NI IKO WAPI NA KWA NANI? Katika mfumo wa kisiasa hapa kwetu mamlaka huwa hayatelezi hewani bure. ni mara chache sana huwa hivyo, huwa kuna mtu au kikundi kinachoshikilia "remote." Malalamiko kuhusu nani yuko nayo remote kwa sasa yanaweza kuwa ya msingi, lakini...
  14. JamiiForums Tanzania Kulingana na Pole pole mtu ukishakuwa makamu wa raisi hutakiwi kuwania uraisi sasa inamaana samia anawania uraisi kwa katiba gani ?

    Kulingana na Pole pole mtu ukishakuwa makamu wa raisi hutakiwi kuwania uraisi sasa inamaana samia anawania uraisi kwa katiba gani ? Unajua huyu msajiri wa wa vyama vya siasa nae simuelewi sijui hili halioni ?
  15. JamiiForums Tanzania Kumbe kule gizani kulikuwa na giza lingine bila wao kujua sasa ni Mtu kati lazma akubali na kuna lingine zito zaidi linakuja vipi Mtoto wa mjini?

    Wakuu things are cottonfire the ground is hot,tutarajie something worst as soon as possible. siyo yeye tu anayetetemeka kwa presha na hasira kali habari ni kwamba ile press ya Slow Slow ni cha mtoto kuna mtu mzito anataka kuachia bomu na hapatakalika tena. unaambiwa hadi yule mtoto wa mjini...
  16. JamiiForums Tanzania Katika maongezi na mtu ambaye ni stranger au ambaye hauna mazoea nae makubwa usithubutu kumuuliza kama haya maswali, umeoa ,umeolewa ,una watoto ,n.k

    Watanzania asilimia kubwa wanashida kubwa katika kufanya mawasiliano na maongezi kiujumla . Mfano MTU mmekutana kwa Mara ya kwanza tayari anaanza kukuuliza maswali Kama haya umeoa ,umeolewa ,Una mtoto ,umejenga Una gari ,Unakunywa pombe n.k Maswali Kama haya ni too personal kumuuliza MTU...
  17. JamiiForums Tanzania Nilidhani haya Mauaji ya kutumia Pikipiki na Muuaji kujificha Uso yalishaisha Kitambo tangia alipouwawa Yule Mtu wao Uwanja wa Ndege miaka iliyopita!

    Nimetoka kutizama Video Clip ya East Africa TV na kuona kuwa Jana maeneo ya Kinondoni Makaburini Mtanzania mwenye Asili ya Uturuki kauwawa kwa Kupigwa Risasi na Mtu aliyepanda Pikipiki mida ya Mchana kabisa huku Watu wakiona kisha alipokamilisha huo Uuaji wake akaangalia kushoto na kulia kisha...
  18. JamiiForums Tanzania Unaenda ukweni kutoa posa unakuta beki tatu ya ukweni ina NYAASHI ya kufa mtu

    😂🙌🤣
  19. M

    JamiiForums Tanzania History ya mtu

    History ya mtu huandikwa na watu wengine, kile tunachoandika sisi kuhusu maisha yetu kinaitwa memory (kumbukumbu). Je watu wameandika na kuandika history Gani kukuhusu wewe iwe mioyoni mwao au mahali popote hadi sasa?
  20. JamiiForums Tanzania Njia rahisi ya kumjua mtu mwenye IQ ndogo katika uwanja wa siasa ni pale anapopost Clip za polepole kipindi akiwa mwenezi wa CCM

    Wataalamu wa mambo na wenye weledi huwa wanazingatia wakati uliopo wa MTU na mahitaji yake na ya waliomzunguka . Katika Mabadiliko ya binadamu yanautegemea wakati ulipo na ujao na kuutumia wakati uliopita Kama uzoefu na kujifunza . Nimeona watu badala wachambue hoja za polepole na sehemu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…