mtu

  1. Hizi wi-fi routers ni utapeli tu kama mwingine, yani mtu una download file la gb 3 spidi kama ya konokono

    Yani wabongo tunachezeshwa pass tu za ulaghai, ukienda hapa unapigwa ukirudi unapigwa tena huku wanakutekenya usihisi machungu ya kufinywa Ooh sijui unlimited data, sijui 5G, 4G, kumbe fix tu wanajua kukula kwa namna yao. Pure evil bastards.
  2. Mtu anahangaisha kichwa chake kuhakikisha kuwa Yesu sio Mwana wa Mungu lakini mtu huyo huyo anaamini kitabu chao cha dini kilipokelea kutoka mbiguni😁

    Sawa, wala sijali unaamini nini, naheshimu unacho kiamini. Ila kama unaamini vitu ambavyo wewe mwenyewe haukuwahi kushuhudia sasa kwanini unakataa kuamini vitu vingine vinavyoaminiwa na watu wengine walio kama wewe ingawa wana itikadi tofauti. Sasa nani mshamba? wewe unaepata maelekezo ya mtu...
  3. Je wajua shepu ya pua inaweza kukuelezea wewe ni mtu wa tabia zipi?

    Haya twende kazi, 1. Hawa wa pua za hivi wanapenda kuangalia mambo yao. Hawasumbuliwi na mambo ya watu wengine. 2. Hawa wengi wao wana sifa za uaminifu na uvumilivu. 3. Hawa hawapendi kujibebisha wala kubebishwa, wengi wao ni mabandidu toka ndani ya sakafu ya roho zao, ni watu wakuchukua...
  4. Hakuna mtu alie arrogant kama demu alielewa pesa za kuhongwa

    Unakuta mtu basi tu ni tako ndio limemuokoa kutoka bunyokwa ndani ndani huko sasa ana enjoy pesa za wanaume, ameshajisahau kabisa, hata akiona mtu anakula mlenda anajisikia kutapika sasa hivi😁 wakti ndio ilikuwaga menu yao Eti demu anamuambia mshikaji mmoja hivi inakuwaje mbwa unampa makombwe...
  5. H

    Maisha ya mtu mzima na urafiki unaobadilika polepole

    Mtu anatoka kazini, anarudi nyumbani. Anafanya shughuli zake. Labda aende dukani.Akiwa njiani, salamu kwa majirani—hakuna mazungumzo marefu.Ni maisha ya kawaida, ya utulivu. Ule urafiki wa “buda niko base, pita” umeisha. Sasa ni “tupange weekend” lakini weekend ikifika kila mtu ana shughuli...
  6. Yule anayetoa pole mtu akipata madhila kwenye kurasa za Rais Samia kaenda likizo kwenye tukio la Kitima?

    Wakuu, Ni swali tu nauliza maana kama sijaelewa hivi👀 Tumekuwa tukiona watu mbalimbali maarufu na hata kundi la watu wakipata madhila Rais Samia kupitia kurasa zake za mitandao ya kijamii hutoa pole, na kwengine huenda mbali hata kutoa mkono wa pole, na kwa wengine hufika kabisaaa, kama...
  7. Jinsi mtu mmoja anawaingiza maelfu ya watu kwenye uovu ili dili lake lifanikiwe

    Mfano. MBUNGE ambaye atashinda kwa kura za wizi. Siku hiyo ya uchaguzi maelfu ya watu huingia kwenye mauvu ili mbunge ashinde. Ataanza mkuu was wilaya na mkurugezi halafu wanafuatia wakuu wote wa vituo vya POLICE halafu wanakuja maaskari wanaosimamia vituo siku hiyo baadae wasimamiza wa...
  8. Muheshimu sana mtu aliyekuletea mshumaa ukiwa gizani

    In this life muheshimu sana mtu aliyekuletea mshumaa ukiwa gizani. Usiwe msahulifu kwa watu waliowahi kukusaidia . Kumbuka kile kipindi umekwama hauwezi , hauoni pakushika lakini alitokea fulani akakushika mkono , unapopata nafasi ya kulipa fadhila do it more
  9. Kuna mtu ana boda Morogoro anipelekee mzigo Kwa mwanangu Mzumbe shule?

    Wadau kama Kuna mtu ana boda wake Morogoro mjini anamuamini Kuna vifaa vidogo Kwa bahasha mwanangu yupo Mzumbe chuo anahitaji kupelekewa. Nataka mtu avipokee mjini na ampelekee mpaka chuo ndani atapewa nauli yake. Asante sana.
  10. mtu anayefanya mauwaji sababu ya madaraka ni chizi viongozi wa dini wanapaswa kuimarisha ulinzi wao wakati huu pale wanapo hamasisha haki

    Siamini kama muovu ni mtu timamu kiakili alietimia namchukulia kama chizi anayepaswa kuchukuliwa hatua za taahadhari wakati wote, kwani chizi anaweza kukuuwa yeye ni jambo dogo hilo yani hana akili. Mtu mwenye akili timamu hawezi kufanya mauwaji ya wenzie wanao hamasisha haki na demokrasia bali...
  11. Nimekumbana na matusi ya kufa mtu kutoka kwa GenZ kisa nimehoji uhakiki wa "maendeleo" anayofanya Ibrahim Traore

    Huyu dogo alichukua uongozi kimabavu na baada ya hapo akawa anasifiwa Afrika yote na mitandao ya kijamii, sawa tufumbie macho hilo la kutumia nguvu kwenye kuchukua uongozi, maana kuna viongozi wengine huganda kwenye uongozi na kuharibu nchi mpaka unatamani tu hata jeshi lichukue nchi, tuje...
  12. Kumbe wakati mwingine ngada inafanya mtu uwe na akili na maamuzi sahihi, Basi sasa ndio nimejua umuhimu wake.

    Amani iwe nanyi! Kuna muda boss wangu nilikuwa nawaza sana anavyofanya maamuzi yake, Kuna wakati mpaka nilikuwa naona tunaenda kifirisika kumbe yeye ana target zake. (Off course ni mtu wa real estate) Lakini nikafanya utafiti mazuri sana kumbe kwanzia saa nane na nusu usiku mpaka saa Tisa...
  13. Unakumbuka yale ya AGP Siro na Dereva wa Tex kumteka Mo? ndio haya ya mtu mmoja anashikiliwa kwa kumdhuru Dr Padri Kitima

    Hii Move ni kama za Kihindi vile, stelling anafia kwenye maua, ukisoma sana na kutafakari unaona ni move inatengenezwa. Padri kashambuliwa na haraka haraka mtu mmoja anashikiliwa kwa kumuumiza Padri, na baadse utasiki ana tatizo la akili au alisha wahi fanya kazi eneo husika hivyo ana hasira za...
  14. Polisi: Tunamshikilia Mtu mmoja kutokana na tukio la Padri Kitima kushambuliwa

    MMOJA ASHIKILIWA KWA KUHUSISHWA NA TUHUMA ZA KUJERUHIWA KWA PADRI KITIMA Tarehe 30 April 2025 majira ya saa nne usiku maeneo ya Baraza la Maaskofu Tanzania Kurasini Temeke Dar es salaam ilipokelewa taarifa ya kujeruhiwa kwa Padri Charles Kitima ambaye ni Katibu wa Baraza la Maaskofu Tanzania...
  15. K

    Yakitokea yale ya Magufuli tusije kusema alikuwa mtu wa haki kinafiki

    Yakitokea yale ya Magufuli tusije kusema alikuwa mtu wa haki kinafiki. Maana yatatokea mtakuja hapa na kusema alikuwa mtu wa haki sijui nini wakati Polisi wanavunja miguu watu wakienda mahakamani kutafuta haki! stay tuned Mungu achezewi anakupa nafasi ukiipata itumie kwa mazuri akija kuiondoa...
  16. S

    Ukiona mtu amekaa ....

    Vipi ukiona mtu amekaa ,utaenda kumwambia dada/kaka kaa vizuri ,na uchukulie kuna watu wengi ,mi nilimtazama nikamuashiria sa sijui akunifaamu,nikageuka na sikurudi tena mpa sheree zimeisha
  17. Ezra Pound: "mtumwa ni yule anayengoja mtu mwingine aje amfanye kuwa huru"

    Ukata usikudondoshe, ila ukuunde. Ukapuku usikuharibu, ila ukuhamasishe. Njaa isikupoteze, ila ikuimalishe. Haujalaaniwa, Hauna gundu, Hautabiishwi binafsi. SHIKAMANA AMKA PAMBANA.
  18. Jesca Magufuli ni mtu ambaye analazimisha Mfumo umbembe wakati hana uwezo wa kiuongozi, CCM stay alert!

    To be honest Jesca Magufuli, she is not smart and visionary. Hakuna kitu kibaya Kama hawa watoto wa viongozi kuamini kuwa they deserves kuwa viongozi wao tu. Wananchi wa Chato mpigeni chini huyo Jesca Magufuli. Mirrad ayo unatumika vibaya.
  19. Usimuonee mtu wala kutesa wengine, duniani hapa tunapita

    Nimeona kijana tajiri aliyekuwa na biashara kubwa akizikwa kiurahisi kabisa baada ya kufa ghafla. Nikiwaza Ile fahari aliyokuwa nayo, nasema hapa duniani tuishi kwa upendo na unyenyekevu maana tunapita. Tujikite katika kutenda haki.
  20. M

    Huyu mtu hafai atakutesa sana na kufanya usione thamani yako

    1.Ambaye muda wote anakukosoa kana kwamba hakuna hata siku moja umewahi kupatia hii ni dalili kuwa wewe sio yule akutakaye 2.Muda wote anakulaumu tu kana kwamba hakuna hata siku moja umewahi kuwa mwema kwake hii ni dalili HANA MUDA NA MAZURI YAKO 3.Mara nyingi anakutishia kuwa kuna watu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…