Kuna hii concept ya "Open relationship" kwamba wewe uko kwenye mahusiano na mtu lakini mnapeana ruhusa ya kuwa na mahusiano na watu wengine nje ya mahusiano yenu.
Miezi kadhaa iliyopita niliwahi kukutana na rafiki yangu ambaye niliwahi kufanya nae kazi miaka ya nyuma. Ni kijana flani hivi mzuri...
Wakati huu moto unaendelea kuwaka inatakiwa aibuke mtu mmoja mwenye kauli za kuchochea kama vile Lema, Lusinde, Lissu, marehemu Ndugai, Askofu Gwajima n.k
Mtu ambaye yeye kazi yake itakuwa ni kuwasimanga na kuwapachika majina mabaya viherere wote wa CCM mtandao (Wananchi wajinga) kuwashambulia...
Wakuu
Yericko Yohanesy Msambila Mkana Nyerere, mwanachama wa chama cha ukombozi wa Umma (CHAUMMA), ameweka wazi kuwa siku Mwenyekiti wa chama hiko Tundu Lissu akiondoka basi yeye atarejea CHADEMA.
Ujasiriamali si jina la kampuni, si cheo au mtaji mkubwa unaoonekana kwa macho. Ujasiriamali ni mtazamo wa moyo, ni tabia ya akili, ni mabadiliko ya roho ndani ya mwili wa mtu aliyeko kazini lakini anayefikiri na kutenda kama mmiliki.
Kuna watu wanatembea kazini kila asubuhi kama watalii kwenye...
Ujasiriamali si jina la kampuni, si cheo au mtaji mkubwa unaoonekana kwa macho. Ujasiriamali ni mtazamo wa moyo, ni tabia ya akili, ni mabadiliko ya roho ndani ya mwili wa mtu aliyeko kazini lakini anayefikiri na kutenda kama mmiliki.
Kuna watu wanatembea kazini kila asubuhi kama watalii kwenye...
......................Ni sawa na kusema kua Mjasiriamali Hata Ukiwa Mfanyakazi.
Ujasiriamali si jina la kampuni, si cheo au mtaji mkubwa unaoonekana kwa macho. Ujasiriamali ni mtazamo wa moyo, ni tabia ya akili, ni mabadiliko ya roho ndani ya mwili wa mtu aliyeko kazini lakini anayefikiri na...
KUTEMBELEA NYOTA YA MTU MWINGINE!
Fuatana nami
Dr *MAGICAL POWER *
Je, umewahi kusikia watu fulani fulani huko wakisema "fulani anatembelea nyota ya fulani?"
Na je, nini ulikuwa mtazamo wako kuhusiana na kauli hiyo au kauli kama hiyo?
Tumefundisha kwa miaka mingi kuhusiana na...
Shida ni kwamba wakati mtu anaanza kukusaliti wewe ndio unakuwa mtu wa mwisho kujua.. ni heli maumivu ya mwili kuliko maumivu ya moyo wa mapenzi...
Endeleeni kupendana
Leo nitakusimulia story yenye machozi ya damu ya mahasimu wawili wa biashara kwenye Sekta moja, "alcohol"
Mr. Jackson (fiction name) ni Mmiliki wa Kampuni ya SIMBA inayojihusisha na uzalishaji na usambazaji wa pombe Kali tuiite NDOVU.
Ana mpinzani wake kwenye Sekta hiohio Mr. Juma (fictional...
Ukurasa wa Facebook wa Mheshimiwa Waziri Gwajima: KWENU WAZAZI MNAOLAZIMISHA WATOTO WAOLEWE.
Hivi kwanza huwa mnatoa wapi ujasiri, nguvu na mamlaka ya kumlazimisha mtu mwingine afanye lile asilolipenda tena la pingu za maisha yake yote? Tena ambalo ni kinyume na sheria na...
KUTEMBELEA NYOTA YA MTU MWINGINE!
Fuatana nami
Dr DOGOLI KINYAMKELA 💀☠️
Je, umewahi kusikia watu fulani fulani huko wakisema "fulani anatembelea nyota ya fulani?"
Na je, nini ulikuwa mtazamo wako kuhusiana na kauli hiyo au kauli kama hiyo?
Tumefundisha kwa miaka mingi kuhusiana na elimu ya...
Kwa mtazamo wangu, wakati wanaangalia au wanajipanga namna ya ku'-deal na Gwajima, siku chache zijazo, anaweza kutokea kiongozi mwingine au mtu mwingine mstaafu ndani ya CCM, ambae nae atapita mule mule alikopita Gwajima
Hata hivyo, mtu huyo anaweza kuja na hoja nyingine za ziada lengo likiwa...
Je unafahamu Mteja ambaye ameelekezwa na mtu mwingine ni rahisi kumfanya alipie bidhaa yako kuliko mteja anayekuona direct kwa mara ya kwanza?
Tuangalie the power of Patnership Katika online business
Ndio maana mara nyingi huwa tunawatumia watu wengine kuwafanya wapost huduma zetu kwenye...
Kujilinganisha na wengine kunaweza kuwa na madhara makubwa kwa ustawi wako wa kihisia na kisaikolojia. Hapa kuna sababu kadhaa kwa nini ni muhimu kuepuka tabia hii:
* Kila mtu ni wa kipekee:
* Kila mtu ana safari yake ya kipekee, yenye nguvu zake na udhaifu wake.
* Kulinganisha maisha...
Wanachuo wanatumika zaidi ya madada poa ni wajuaji, wabishi na wajeuri now days wanajiita feminist ni uchafu mtupu.
Ona Binti wa kidato Cha nne au aliemaliza darasa la Saba inatosha.
Utapata mke wa kulea watoto wako na kupata malezi Bora
Wanachuo wa kike ni takataka
Aslaam,
Kuna jamaa hapa amepigwa tukio na mtu wake wakaribu.
Alimkopesha ela ila alimtumia kupitia mtandao wa simu.
Jamaa baada ya muda saana amemgeuka, amemwambia hajawahi kukopa ela kutoka kwake.
Na sms ya Muamala anayo, alijaribu kumfoadia ile sms ya ela ambayo alimtumia
Jamaa akajibu...
Huku mtaani kuna baadhi ya watu ukikutana nao hata kama hamjuwani unakuta mtu analazimisha kukusalimu kwa salamu ya imani yake.
Jambo ambalo wakati mwingine linakuwa kama kero.
Ukisalimu mtu kwa salamu ya kiimani hakikisha unajuwa imani ya mtu huyo ili wakati mwingine kupunguza kumkwaza mtu...
ZINGATIA HAYA UNAPONUNUA SIMU ILIYOTUMIKA AU KWA MTU
1. Angalia IMEI namba kwa Android na IMEI/MEID namba kwa iPhones, na zitumie kuhakikisha simu sio ya wizi
2. Kagua iwapo simu iliwahi kufanyiwa marekebisho na hakikisha vifaa vyote vipo sawa na vinafanya kazi
3. Kagua simu ina muda gani wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.