mtu mweusi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mtu Mweusi Hakuumbwa na "Mungu Wake" Hadi Aabudu Mungu wa Wazungu, Wayahudi na Mungu wa Waarabu?

    Haiwezekani na haiingii akilini iweje mtu mweusi asiabudu Mungu wake kama ilivyo jamii zingine Duniani zilivyozaliwa Hadi awe Anaabudu Mungu wa Wazungu,Mungu wa Wayahudi na Mungu wa Waarabu? Binafsi Sina huo ujinga wa kuabudh kina Mungu wa jamii zingine ni utumwa wa kifikra na kutojitambua...
  2. Maturity ni kuelewa kuwa kama mtu mweusi angekuwa mkuu wa maarifa na teknolojia kuliko mzungu angemtawala kwa mabavu mzungu kama alivyofanyiwa

    Ni kwa sababu hii ni dunia ya mwenye nguvu na mamlaka, kwa maana hata machifu/watemi waliokuwa na nguvu na mamlaka kuliko babu zetu ndio waliowakamata babu zetu na kuwauza kwa wazungu na waarabu kama kuku.
  3. Hadi leo mtu mweusi bado anakamatwa na kuuzwa, utumwa dhidi ya mtu mweusi ni kama jadi kwa baadhi ya waarabu, miaka 1400 ya kutuuza haikutosha.

    Familia za wazamiaji wengi kutoka west africa walibaki na maswali kuhusu ukimya mkali wa ndugu zao walio waaga kwenda kutafuta maisha ughaibuni kwa kupitia njia za north africa. Miaka ilipita na ukimya mkali, wanafamilia walidhani wamefariki au pengine kukamatwa na makosa mbali mbali...
  4. Ni upumbavu mtu mweusi kuishi tamaduni za kiarabu

    1. Unakuta mnyamwezi au Muha anaomba Bismillah, salamaleko alhamudilalah hicho kiarabu na hajui maana yake, Hivi ukisema Asante Mungu utakufa? 2. Mgogo au Mluguru na kipiripiri chake eti anafuga ndevu ili awe kama mwarabu? Hajui waarabu wao wameubwa na ndevu nyingi hata wakifuga ndevu...
  5. Mtu mweusi akikamata pesa ndefu anakuwa limbukeni

    Watafiti wanadai hii inatokana na mazingira duni "darkie" anapitia. Nigger anasavaivu shida na dhiki anavyokua. Na akizikamata anatafuta attention kwa fujo, dhihaka na madharau.
  6. Kumkomboa mtu mweusi, anzia kumkomboa kichwani kwanza

    Inasikitisha sana Nimepita Kawe hapa, aiseee wanachi wanapigwa na jua mpka huruma, na bado wana hongwa baiskeli na nyama za ng'ombe. Ila wanasiasa wanabagaza, na kubananga kodi za wananchi kwa kununua magari makali , na kuishi maisha ya starehe, mbaya zaidi pesa zingine wamezificha huko nchi...
  7. Byabato popote ulipo nadhani salamu umezipata na kama haujazipata nakupatia muda huu.

    Ndugu Byabato usiendelee na hizo dharau za kusema unaweza kuwachagulia wananchi wa Bukoba mjini Mbunge . Kuwa makini Sana wala usithubutu kuingia katika huo mtego wa kushindana na Mwenyekiti wa chama na kamati kuu waliokukata.
  8. Dudu Baya ajuta kuzaliwa mtu mweusi

    Akihojiwa na MaxMedia aliyekuwa msanii maarufu wa bongo flavour Dudu Baya anajutia kuzaliwa mtu mweusi. Kauli Yake. I hate blacks. Mimi najuta kuzaliwa jitu jeusi. Nachukia sana majitu meusi. Yani jitu jeusi kugewa hela kamuue max ni jambo la kawaida halafu wazungu wamekaa wanachekelea. We are...
  9. Jinsi Mungu alivyombariki mtu mweusi. Namna Biblia inavyomuongelea mtu mweusi

    Uzi huu natamani hata usomwe na mtu mmoja tu ntafurahi, Ilimradi mtu huyo mmoja spare ufahamu juu ya ukweli juu ya Baraka alizokirimiwa mtu MWEUSI na namna mtu mweus alivyo ongelewa kwa uzuri ktk biblia . Kuanzia sa nne naanza kupost taratibu, Sasa uuonapo Uzi huu comment kitu chochote ili...
  10. Kuzaa mtoto ili akikua akusaidie ni moja ya kichocheo cha umasikini wa mtu mweusi

    Sababu ya kumzaa mtoto ni ili umsaidie ikiwezekana hadi uzee wake. Ni utegevu kutafuta watoto ili waje wakusaidie. Kabla haujapanga kupata mtoto weka na mikakati ya kumsaidia hadi mwisho. Muandalie mifumo, urithi wa kutosha ikiwezekana hadi wa wajukuu wako ( watoto wake). Hivi ndivyo vitabu...
  11. Waafrika wengi tunapenda kusema kuwa mzungu ndio adui yetu mkubwa wa ustawi wetu na hataki kutokee maendeleo yoyote katika kizazi cha mtu mweusi

    Mara ooh "dawa ya ukimwi ipo sema tu anataka tuendelee kufa ili waje waichukue Africa" Mara ooh "hizi chanjo tunazochanjwa ndio zinatufanya kuendelea kudaa akili na tusiweze kuwafikia wao" Mara ooh "mzungu ndio anaesababisha vita ili waingilie kati wachukue vito na rasilimali" Saw hadi siku...
  12. Je ni kweli mtu mweusi alipata laana badala ya kuchungulia utupu wa Baba yake ?

    Je ni kweli mtu mweusi alipata laana baada ya kuchungulia utupu wa Baba yake ? Ukweli ni upi maana duniani kote mtu mweusi anachapika hatari.
  13. Mwaka 2025 uwe mwaka wa kuuthamini Uafrika wa mtu mweusi

    Japo watu weusi tuna matatizo mengi sana na ye kipekee tofauti na races lakini sio jambo jema kujidharau kama watu weusi, sio vyema kudharau hali yetu kutokana na weusi tu, sio sawa kujiona duni na dhalili na vituko mbele ya jamii nyingine zilizoendelea. Mwaka 2025 uwe ni mwaka wa kujikubali...
  14. Akili za mtu mweusi zinashangaza , unanunua jengo la Billion 1.6 baada ya hapo unasema hauna hela ya uchaguzi!.

    Chama Chadema kuna watu waliokosa maono . Tundu lissu , yupo sahihi kutokubali kukichangia hiki chama I agree with him. Mimi nachojua life is about priority Maisha ni swala la vipaumbele zaidi . Kulikuwa kuna haja gani ya kununua jengo la billion 1.6 wakati tunashindwa kugharamikia uchaguzi...
  15. Miaka 63 ya uhuru wenye ukoloni wa mtu mweusi.

    Kwanza kabisa poleni na pilika za mwisho wa mwaka, mambo yamekuwa mengi ajali, magonjwa na kila aina ya ubaya unaotulenga sisi binadamu. Tuwe na mwisho mwema. Hili suala la uhuru kiukweli mimi sioni kama ni uhuru wenye haki na kufuatwa kwa misingi ya katiba kama inavyoagiza. Kama haitoshi...
  16. Tofauti kati ya vitukuu vya mzungu na vitukuu vya mtu mweusi. Miaka 137 iliyopita na leo

    Mercedes benzi miaka 137 iliyopita na leo. Mswahili akipanda miaka 137 iliyopita na leo.
  17. Kumbe Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ni ukoloni wa mtu mweusi kwa mweusi mwenzake na hofu ya Uislam ?

    Msikilize hapa aliyewahi kuwa Waziri wa ardhi JMT Ni kwamba watu weusi hatukujifunza kabisa kuwa ukoloni, utumwa na kutawaliana kimabavu kuwa ni kitu kibaya. Kumbe wazungu na waarabu walikuwa sahihi sana kututawala kimabavu na kutukamata watumwa na kuuza sokoni kama mbuzi sasa nimeelewa kuwa...
  18. Nitaendelea kuwalaumu wakoloni kwanini hawakusisitiza elimu kwa mtu mweusi ila waliona dini ndio muhimu?

    Sisi watu tuna akili ndogo. Kwa nini hawa wakoloni hawakulazimisha elimu kwa jamii yetu lakini wakalazimisha dini? Kwa malengo gani hasa tuzidi kuwa wapumbavu? Mwafrika mweusi mwenzangu namuona takataka kwa sababu hayupo upande wangu wa kiimani hawa wakoloni walitutaka nini hasa sisi waafrika...
  19. Naungana na Vladimir Putin kuthibitishia ulimwengu kwamba Yesu alikuwa mtu mweusi

    Mungu sio mbaguzi kiasi icho haiwezekani mitume na manabii wote Mungu alio watuma wawe rangi nyeupe hizo ni fix. Mungu alimtuma yesu kama kiwakilishi kwa watu weusi kwamba hatuja hachwa nyuma tukapewa mwakilishi wetu. Kwanini wapindishe ukweli huu mchungu lengo na madhumuni yao ni nini? Sipo...
  20. Biashara Kuu za Mtu Mweusi

    Kusema "Africa ni bara lenye giza" ninaweza kueleweka vibaya na kuonekana kama siyo sahihi. Lakini ukweli uliopo naona Africa ni bara lenye giza totoro, lililokosa watu welevu, ingawa natambua uwepo wa utajiri katika bara la Afrika, tamaduni zake pamoja na mandhari mbalimbali. • Ndio, kuna...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…