mtu mmoja

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. N

    JamiiForums Tanzania Siasa za figisu nani ya UWT Mbeya inadaiwa zinalindwa kwa maslahi ya Mtu mmoja na kuchelewesha maendeleo

    Siasa za figisu ndani ya Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania, UWT, Mkoa wa Mbeya, zimetajwa kuwa miongoni mwa mambo yanayokwamisha na kuchelewesha utekelezaji wa baadhi ya miradi yenye lengo la kuwainua wanawake kiuchumi kutokana na viongozi wa jumuiya hiyo na Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa...
  2. JamiiForums Tanzania Sometimes Huhitaji Ushauri Wala Pesa… Unahitaji Tu Mtu Mmoja Akukumbatie na Kukuambia: Everything Will Be Okay

    Kuna wakati maisha yanakupeleka sehemu mpaka unatamani usingezaliwa kwenye hiyo familia uliyopo. Au unajikuta unajuta kuishi, imefikia hatua mpaka mtu unatamani kujiua tu ili uepukane na madhila ya dunia. Naandika hii thread huku nikiwa natetemeka na kukata tamaa. Natamani mtu aniambie tu...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Ujumbe wa leo: Hakuna uhaini wa mtu mmoja, labda kama ulimlenga risasi rais

    Tafakari kesi ya Lisu inavyoendelea......................................... Anyway kesi ikiwa mahakamani wanasema tusiijadili....
  4. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Nilishamsikia mtu mmoja mkubwa tu wa nchi moja anasema sisi yoyote anayeendelea kimaendelea kwa kasi huyo ni adui yetu

    Rais Samia anasema kuwa "Nilishamsikia mtu mmoja mkubwa tu wa nchi moja anasema sisi yoyote anayeendelea kimaendelea kwa kasi huyo ni adui yetu"
  5. JamiiForums Tanzania Waasisi wa Taifa letu waliwafukuza mabeberu ili ku-mantain Tanzania's sovereignty leo chadema wanawatumia mabeberu ili kuhujumu Tanzania's sovereignty

    Chadema haikuanzishwa ili kupingapa na dhamira ya waasisi wa Taifa letu ya ku-mantain national sovereignty. Nashangaa kuona Leo hii chadema wanafanya siasa kwa mgongo wa mabeberu hii ni aibu na ni ujinga mkubwa. Chadema haikuanzishwa ili kuirudisha nchi kwenye utawala wa mabeberu, chadema...
  6. JamiiForums Tanzania Kumbukeni ukoloni wa wajomba na history wa kulipiza kuna mtu mmoja analipeleka taifa sababu ni ujombani

    Hapa kinachoendelea ndio kile kinachoendelea afrika kila kona,maana ndio muendelezo wa familia zengine zilipata embe dodo,zengine zina endelea kwa kujificha. kwa kwetu hapa leo mda huu 11:18 nimetoa mada siku ya alhamisi. Utabiri afrika inaweza kuwa sehemu zilizo saidia na ndizo zitakuwa...
  7. JamiiForums Tanzania Wakristo tujengeni hoja hapa: Mchungaji akikutongoza ukamkataa ni laana? Alisikika mtu mmoja akisema

    Kuna mtu mmoja alisikika huko mitandaoni akisema kwenye video mjongeo maneno hayo aliyosasema kama inavyoonekana hapo chini... Mama kauliza hapo wakuu.. tusaidiane kupata majibu mpaka imfikie mama Cc. Mhe. Dkt Dorothy Gwajima . waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum...
  8. JamiiForums Tanzania Waheshimiwa viongozi, 2026-2035 ni muda wa ujenzi wa treni za katikati ya miji ili kuongeza uchumi wa taifa na mtu mmoja mmoja

    Ndugu zangu nawasilimu kwa majina yote ni imani yangu mko salama. Leo nimeamka na kufikiria kuhusu nchi yetu pendwa baada ya muda mrefu kutoa michango kwa ajili ya maendeleo ya Taifa letu, nilifurahi kuona swala la kilimo kwa vijana likitiliwa mkazo hiyo itakuwa chachu ya maendeleo kwa vijana...
  9. JamiiForums Tanzania Tumekuwa na ndoto kama waafrika kwamba itakuja kutokea mtu mmoja wa kutukomboa lakini nasikitika kusema it will never happen

    UBINAFSI ULAFI UKANDA TAMAA UNYAMA UMALAYA WA KISIASA. Hivi ni vitu ambavyo vipo kwa kila mwanadamu ila kwa mtu mweusi ndio pumzi yake. Tulipata watu wachache ambao waliviweka hivi kando ila mkaishia kuwageuka nyie wenyewe na kuwaua. Mnakula vya watu kwa ulafi huku mkisingizia wazungu kwa...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Media na wasanii Bongo ni wanafiki sana, walikufa watu wengi Oktoba 29, 2025 hamkupost, akifa mtu mmoja post kila kona

    Media na wasanii Bongo ni wanafki sana, walikufa watu wengi Oktoba 29, 2025 hamkupost, kafa mtu mmoja post kila kona halafu mnajiita nyie ni vioo vya jamii. Nyie ni vioo vya jamii gani? Mbona hiyo jamii haiwatambui kama vioo, kwanza vioo mmetoa wapi, unafki tu
  11. JamiiForums Tanzania Hoja ya bunge kutaka kumsifia rais halina msingi wowote wala faida kwa wananchi na linaegemea maslahi ya mtu mmoja yasiyo na maana

    Hoja ya bunge kutaka kumsifia rais halina msingi wowote wala faida kwa wananchi na linaegemea maslahi ya mtu mmoja yasiyo na maana. Hizi ndio baba wa taifa anaziita siasa za kimalaya, bunge Tuacheni siasa za kimalaya kusifia mtu hakuwezi kuleta maendeleo kwa wananchi na kuwaondoa kwenye...
  12. JamiiForums Tanzania Profesa Mkumbo: Pato la mtu mmoja nchini laongezeka karibu mara tatu

    Tathmini ya utekelezaji wa mipango mitatu ya maendeleo ya miaka mitano imebaini mafanikio makubwa ya kiuchumi yaliyopatikana kupitia Mpango Elekezi wa Maendeleo wa Muda Mrefu (LTPP) 2025, hususan kuongezeka kwa pato la mtu mmoja mmoja. Akizungumza Bungeni jijini Dodoma leo Jumatatu, Februari 2...
  13. JamiiForums Tanzania Ungepewa nafasi ukutane na mtu mmoja kutoka kwenye BIBLIA na umuulize swali, ungependa ukutane na nani na umuulize swali gani?

    Nasoma Comment! Ungepewa nafasi ya kukutana na mtu mmoja tu kutoka kwenye BIBLIA na umuulize swali, ungependa ukutane na nani na umuulize swali gani? haya twende kazi
  14. M

    JamiiForums Tanzania Mtu mmoja anaweza kuruhusu inchi izidi kuingia shimoni?

    Kwa kweli ukiachana sijui TEC kule Mashekhe huku wasiojulikana yaani msababishi wa yote ni Samia,hakuna kuzungukana zitaundwa tume mpaka za maraika hakuna kitakachoturiza nyoyo za watanzania Bila huyu mama kuondoka kwa hiari yake au hiari ya mwenyezi Mung Tanzania itaendelea kutumbukia shimoni...
  15. Q

    JamiiForums Tanzania Serikali inataka kutumia mbinu ya 'Sharpeville Massacre" kuifuta CHADEMA kama serikali ya Makaburu ilivyoifuta ANC

    Credit to Hilda Newton (X) 1960, polisi wa Makaburu katika kitongoji cha weusi cha Sharpville nchini Afrika Kusini walifyatua risasi kwa umati wa watu wasio na silaha waliokuwa wakiandamana kwa amani kupinga sheria kandamizi na kuua watu 69 na kujeruhi 186. Serikali ya Makaburu ilidai kuwa...
  16. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mtangazaji wa Clouds TV: Doria ya Polisi, Wanajeshi iwe endelevu

    Mtangazaji wa Clouds TV, Paul James maarufu PJ amesema, "Asubuhi wakati nakuja kwenye kipindi nilikutana na askari kwenye daraja linalotenganisha mkoa wa Pwani na Dar es Salaam. Wapo askari wanafanya kazi yao vizuri. Wameniuliza kama nina kitambulisho cha NIDA. Nikaonyesha. Mmoja wapo aliponiona...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Mtu mmoja amwambie Samia, Kabla ya hoja ya Udini. Achokonoe Muungano. Vinginevyo anapoteza muda

    Weakest point ya Tanzania ni Muungano, na sio dini, Udini unaweza kuja tukiwa nje ya Muungano. Samia anapoteza hela na muda wake kuchochea mgogoro wa Dini ndani ya Muungano. Kama amekusudia kweli kuleta chokochoko za Dini aanze na chokochoko za Muungano, Wahafidhina wa Zanzibar wapite naye...
  18. Q

    JamiiForums Tanzania AU haitashirikiana na serikali ya Guinea-Bissau ambayo haijaua hata mtu mmoja. Serikali ya Samia imeua watu zaidi ya elf 10, alafu AU ipo kimya.

    Umoja wa Afrika (AU) umeisimamisha nchi ya Guinea Bissau kushiriki katika shughuli zake zote, siku mbili baada ya jeshi kumpindua Rais Umaro Sissoco Embaló. Mwenyekiti wa Kamisheni ya AU, Mahmoud Ali Youssouf, amethibitisha kusimamishwa huko, akisema hatua hiyo inachukuliwa kufuatia ukiukaji wa...
  19. JamiiForums Tanzania Tumekubali kuharibu kwa ajili ya kumlinda mtu mmoja?

    Ni kweli jeshi limekubali hali hii? Lockdown siku 1.5 plus kwa ajili ya kumlinda Samuya na Kiwete? Mahitaji ya vijana yajulikana ni matatizo ya nchi pia. 1. Wanahitaji katiba mpya ili waweze kuchagua viongozi wanaowataka. Kukowa na tume huru ya uchaguzi mambo yanakwisha. 2. Upendeleo kazini...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Swali fikirishi: Hivi Jeshi lipo kwa ajili ya kulinda wananchi au mtu mmoja?

    Naomba tuijadili hii mada bila mihemuko wala uchawa. Tumeona maelfu ya wananchi wameuwa, na inasemekana kuna hadi wanajeshi wameuawa na polisi, hii yote ni kwa ajili ya kumlinda mtu mmoja tu. Sasa swali la msingi ni hili; hivi jeshi lipo kwa ajili ya kumlinda rais au wananchi.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…