mtu fulani

  1. Kimbesa11

    Watanzania tufanye kazi miaka 20-40 si miaka ya kuishi kwa wazazi au kulelewa na mtu Fulani

    Huu ni msimu wa kilimo kwenye maeneo mengi ya mikoa ya Tanzania, hebu ndugu zangu watanzania tutafute maeneo tulime, Mh. Rais Dr Samia Suluhu Hassani anagawa mbolea za ruzuku za kutosha huku mikoani. Miaka 20 - 40 si miaka ya kuishi kwa kumtegemea mtu, au kuishi kwa kubet au kuishi kwa kulelewa...
  2. DR HAYA LAND

    Mwanamke huwa anapata ugumu ku-Move on endapo alimpenda mtu fulani na akaweka matarajio makubwa kwake , so ni jukumu la mwanaume kutopasha kiporo

    Morning. Kuna Dada mmoja alimpata kijana mmoja akiwa na only 20 years . By that time Huyo Dada mchumba wake wote walikuwa wanasoma. Baadae yule Dada alimaliza masomo yake na kujariwa na Mwananchi na baadae BBC. Na yule Kijana alimaliza masomo yake akaenda jeshini na Kuwa na cheo kikubwa tu...
  3. Just Pray

    GE2025 Sheikh aibua sakata la kesi ya Tundu Lissu kanisani kwa Mwamposa. Asema 'Mtu anasema tukinukishe, haya kukishanuka hapa wewe unaenda wapi?'

    Shekhe aibua sakata la kesi ya Tundu Lissu wakati wa uzinduzi wa jengo jipya la kanisa la Mwamposa. "Mtu anasema tukinukishe, haya kukishanuka hapa wewe unaenda wapi?" anaeleza Shekhe Mohammed Mawinda
  4. Fbn

    Kuna ndenge ambayo private jate hipo kwa mtu fulani 2025 naona hii ndege sio makusudi kutumia pesa zetu

    Kuna ndege kama inatumiwa na watu wengine kwa kusingizia kuwa wanaotoa pesa ni watu furani. Ila hii ndege ni kama hipo kusikilizia 2025 someni code
  5. Setfree

    Marufuku kumwita mtu fulani: "Mwamba"

    Imezuka tabia, siku hizi, watu wanapomuona mtu fulani ana msimamo thabiti, imara, wanamwita “Mwamba.” Kwa mujibu wa Maandiko, "Mwamba" ni jina lenye uzito mkubwa kiroho. Jina hilo ni la Yesu Kristo peke yake, kama Maandiko yanenavyo katika 1 Wakorintho 10:4b. Kumwita mwanadamu “Mwamba” ni...
  6. ELI COHEN

    Hili ni janga! Nimeona watu humu wakirushiwa matusi ya "unamsifia bwana yako" kwa sababu tu amemsifia mtu fulani. Fikra zako, Ndio dunia yako

    Sijui ni watu wana stress, ulimbukeni, ujinga, utani uliopitiliza au wao ndio maofisa wa upinde sasa. Maana mindset ya mtu ni view ya mwenendo wa mtu. So unapokuwa unamlopokea mwenzako namna hio usikute mambo ya upinde ndio jadi kwako either wewe ni bwana wa mtu au wewe ni bibie wa mtu, so...
  7. K

    Je tunatakiwa kufuata sheria au maamuzi ya mtu fulani?

    Sheria, Kanuni na taratibu zimetungwa kwa ajili ya chaguzi za Serikali za Mitta. Iweje leo tunaziacha na kufuata uamuzi wa mtu binafsi. Kama mgombea kakosea sheria, kanuni na taratibu kwa nini asiondolewe kwenye uteuzi. Nashauri tufuate sheria, kanuni na taratibu. Tusiwe na double standards.
  8. ndege JOHN

    Lazima una mtu fulani ambaye huwa unampigia simu bila sababu ya msingi

    Kama sasa hivi ngoma livyo ngumu mifumo ya kihasibuhuko hazina imefungwa unajikuta hata buku ya boda huna au hela ya bundle. Sasa kama ya boda huna si inabidi uprint na miguu safari yako. Sasa katika kutembea huwa hakosekani best yako au mpenzi mmoja ambaye kama una madakika ya kumwaga lazima...
  9. Ibrahimeliza

    Kila mtu anatamani kuishi maisha ambayo sio ya uhalisia wake (Kuiga)

    Jambo linalo sikitisha ni kwamba kila mtu anatamani kuishi maisha ambayo sio ya uhalisia wake, nataka kuwa kama fulani tulivyokuwa wadogo tulikuwa tunajua ni utoto tu, hapana mpaka sasa wakubwa kila mtu anasema nataka kuwa kama mtu fulani, ukiwa kama fulani utapendeza sana, nataka niishi kama...
  10. khomgodlove

    Elizabeth Báthory: Muuaji wa kike aliyeua watu wengi kuliko mtu yeyote

    Uhalifu wachache wa wanawake umejirudia katika historia kama ule wa Countess Elizabeth Báthory de Ecsed. Hata kama hujui jina hilo, basi kuna uwezekano kwamba umesikia hadithi kuhusu huzuni yake ya hadithi. Labda unafahamu kwamba ana heshima ya kutiliwa shaka ya kuwa muuaji wa kike mwenye uwezo...
  11. DocJayGroup

    Naomba kujuzwa utaratibu wa kupata SMS za mtu kupitia watoa huduma (mitandao) na kama polisi Tanzania wanafanya polygraph test

    Nimeona sio mbaya kuingia kwa JF kupata information zaidi sababu kuna watu wana knowledge nyingi sana na mbalimbali hapa. Katika saiti yangu moja ya kazi, kuna nyumba za wafanyakazi. Kijana mmoja mwangalizi mkuu wa saiti hio, amekuwa akitunza hela kwenye ndoo sababu wazazi wake walipitia tatizo...
  12. Background Check

    Hellow. Wana jf, naitwa mjuzi wa juzi ni member mpya wa jamii forum na omba usaidizi wa kutambua zaidi kuhusu jamii forum

    Naitwa Mjuzi wa Juzi, ni mwana jf mpya kabisa kwa miaka kadhaa nimwkuwa msomaji tu tu lakini leo nimeamua kujiunga. Asanteni sana
Back
Top Bottom