Hellow. Wana jf, naitwa mjuzi wa juzi ni member mpya wa jamii forum na omba usaidizi wa kutambua zaidi kuhusu jamii forum

MJUZI WA JUZI

Member
Jun 28, 2019
17
45
Naitwa Mjuzi wa Juzi, ni mwana jf mpya kabisa kwa miaka kadhaa nimwkuwa msomaji tu tu lakini leo nimeamua kujiunga. Asanteni sana
 

syllae

JF-Expert Member
May 29, 2015
1,712
2,000
Mbona hii njia sikuipita na Mimi?au enzi zile hatukuwa tunaanzia uku??

Anyway jf nawashauri wanaojiunga waje na vyeti vya kuzaliwa,cha ndoa(kam umeolewa/umeoa,mwakyembe ndo anahitj sio Mimi nimesema)

Mwisho kabisa wapimwe akili kam sio (oil)
 
Similar threads

Top Bottom