Wakuu,
Vyombo vya usalama nchini Uganda vimewakamata washukiwa wanne wa uhalifu wa mtandaoni wanaodaiwa kujifanya Binti wa Rais, Natasha Karugire, kwenye mitandao ya kijamii kwa lengo la kuwalaghai wananchi.
Washukiwa hao, waliokamatwa kupitia operesheni ya pamoja ya JATT, CID na Idara ya...
Dalitso Lungu ambaye ni mtoto wa aliyekuwa rais wa Zambia amepoteza magari 79 na mali zisizohamishika 23 baada ya kushindwa kesi iliyokuwa ikimkabili. Kimsingi mahakama ilithibitisha pasi na shaka kuwa Dalitso hakuwa na kipato chochote cha kumwezesha kupata mali anazomiliki hivyo ikaamriwa...
Brenda Biya, binti wa Rais Paul Biya, amejitokeza kwenye mitandao ya kijamii akieleza kuchoshwa na kile anachokiita unyanyasaji na ufuatiliaji unaoendelea dhidi yake tangu kumalizika kwa uchaguzi wa urais.
Kupitia video inayosambaa mtandaoni, Brenda alisema:
“Imetangazwa kwamba Tchiroma ndiye...
Ndugu wajumbe. Nimekaa nikifikiria namna mambo yanavyoenda, nikafikia hitimisho kwamba Mtu pekee kwa sasa anayeweza kuikoa hii nchi na kumuokoa Mh. Rais Mama yetu Samia Suluhu Hassan ni Mtoto wake aitwaye Abdul. Hivyo nimemwandikia Rai Mh Abdul, aliye karibu naye tafadhali naomba amfikishie rai...
Brenda Biya, binti wa Rais wa Cameroon Paul Biya, amewaomba wananchi wa nchi hiyo kutompigia kura baba yake katika uchaguzi wa Oktoba 2025.
Kupitia moja ya matangazo ya moja kwa moja kwenye TikTok, akitumia jina la utani “King Nasty,” alimkosoa kwa uongozi wake wa miaka 43 akisema umesababisha...
Kwenye press yake Jana Mgombea Udiwani Kariakoo, Haji Manara katetea kitendo cha Abdul kumiliki magari ya kifahari eti ni haki yako sababu ni mama yake ni Rais. Huu utetezi wa kihuni ungeupeleka Kwa Wahuni wenzio.
Pia soma >>> GE2025 - Haji Manara: Hii nchi ina utawala Octoba 29 hatoki mtu...
Watu wanaomfahamu Abdul wanaelewa kuwa huyu Kijana ni mchakarikaji wa miaka mingi.
Kwahiyo issue Kama kupata Gari la 1-2B sio jambo la kushangaa.
Tuache wivu na chuki .
Mtoto wa Rais kwenye jamii kwa namna Moja au nyingine ni prominent figure.
Ndio maana kwa kawaida mtoto wa Rais anatakiwa kupewa Ulinzi muda wote. Watu wa Itifaki wanafahamu.
Vyombo vya habari huwa attracted na habari za kushtua, kushangaza, kufurahisha au kuumiza.
Hivi karibuni kumekuwa na...
Machine kadhaa na magari mfano ile Rolls Royce yenye insurance ya Sh.55,000,000 ni mali ya Abdul. Ameiandikisha kwa China Xiping yang Chan Tc Milestone Ltd. Kampuni ya Kichina iliyopo Tanzania.
Nchi inamegwa halafu wanaweka majina ya Wengine
Britanicca
Kundi kubwa la Wamama wa Tanzania , Ambao wengi Wana Elimu za kawaida kabisa , Wanaelewa hii Hoja ,japo ni mfano !!.
Fikiria unamwambia Mama wa Moshi huko Ndani Ndani...
Mtoto wako anatekwa, anauliwa , Rais yuko kimya , Je angekua ni mtoto wa Rais ametekwa, Rais angekaa kimya?.
Kati ya Hoja...
Nchini Tanzania, Mbunge wa Jimbo la Kinondoni Abbas Tarimba amemshutumu vikali mbunge mwenzake wa chama tawala CCM kwa kukosoa juhudi zinazofanywa na Rais Samia Suluhu Hassan huku akiziomba mamlaka kumchukulia hatua.
"Kuna mtu mmoja humu ndani mwenzetu, mbunge, tena ana nafasi ya kuzungumza...
Rais wa Angola atoa msamaha kwa makumi ya wafungwa, akiwemo mtoto wa mtangulizi wake
27 Desemba 2024
Picha maktaba:. João Lourenço, rais wa Angola. Picha ya faili: Cia Pak/ONU
José Filomeno Dos Santos, mtoto wa rais wa zamani wa Angola aliyefungwa jela kwa udanganyifu, amesamehewa na kiongozi...
MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Victoria, Ezekiah Wenje ambaye anatuhumiwa kumpeleka Abdul kumhonga Mapesa Tundu Lissu.
Wenje anasema Tundu Lissu alikuwa anadai pesa zake za Matibabu, Abdul ikabidi amfuate Tundu Lissu Tegeta kichukua Documents za matibabu ili...
Baada ya Miezi zaidi ya mitano Makamu Mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu kutuhuma hadharani kwamba kuna hela za Mama Abdul na Abdul zilipelekwa kuvuruga uchaguzi wa Chadema.
Lissu pia akaenda mbali zaidi na kuanza kutaja watu na miongoni mwao ni Mtu anaetajwa alikuwa ndiye Dalali wa kuunganisha...
"Kuna mahali naingia nafanya kazi zangu naondoka bila Watu kujua kama nilikuwa pale, lakini unapokwenda kwenye shughuli za kijamii hasa harusi kuna Watu lazima wanitambulishe kama mtoto wa Rais, ile huwa inanifanya nisiwe huru katika mazingira yale" - Mhe. Wanu Hafidh Ameir, Mbunge na Mwenyekiti...
Makamu mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu akizungumza kwenye kipindi cha Medani za Siasa, Star TV, leo Agosti 17, 2024, amesema Mtoto wa Rais Samia aliyemtaja kwa jina la Abdul alitaka kumhonga pesa Novemba 2023.
Tundu Lissu amesema Abdul hakutaja kiwango cha pesa, na alitaka aende usiku kwenye...
Mwanamke anakupa stress ukienda kwao mlango wa jikoni ukiupiga teke unadondoka.
Choo mlangoni wameweka gunia au khanga
Kanyumba kenyewe ka slope sebuleni ndio stoo ya kutunza udaga.
Ukimleta mjini akaanza kutakata anaanza maringo bila kujali umemsitiri.
Huyu mwamba wa Arusha aliyeoa mtoto wa...
Salaam Wakuu,
Nimekutana na maandiko yanadai kuwa Lissu akiwa kwenye mkutano Singida alisema mtoto wa Rais Samia aitwaye Abdul aliwahi kumpelekea rushwa akamfukuza.
Je, kauli hii ni kweli?
Tunaomba mtusaidie kutafuta uhakika
---
Video 1: Lissu akiwa Mkutanoni Singida akielezea kufuatwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.